Warioba, akuchukiaye hakosi ila ya kukutia
ANAYEKUCHUKIA hakosi kasoro au ila ya kusema kuwa nayo. Twashauriwa kutoshangaa, hasa tusikiapo maneno fulani yakisemwa na watu wasiotupenda. Yesu alisema “Nabii hakosi kupata heshima, isipokuwa katika nchi yake, na...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
9 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-uKLJ9Ntx00A/VgFSUrXVFrI/AAAAAAAAn6Q/65ZBlXFYSkY/s72-c/1.jpg)
JAJI WARIOBA AMNADI KIPPI WARIOBA KWENYE KAMPENI ZA UBUNGE JIMBO LA KAWE
![](http://2.bp.blogspot.com/-uKLJ9Ntx00A/VgFSUrXVFrI/AAAAAAAAn6Q/65ZBlXFYSkY/s640/1.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-D6jzGhxpqTw/VgFSU7wmRFI/AAAAAAAAn6U/Tt1AlaI5QWY/s640/3.jpg)
9 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-uKLJ9Ntx00A/VgFSUrXVFrI/AAAAAAAAn6Q/65ZBlXFYSkY/s72-c/1.jpg)
JAJI WARIOBA AMNADI KIPPI WARIOBA
![](http://2.bp.blogspot.com/-uKLJ9Ntx00A/VgFSUrXVFrI/AAAAAAAAn6Q/65ZBlXFYSkY/s640/1.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-wj5l-WSI6eA/VgFSUm3kmGI/AAAAAAAAn6Y/SduVxz1S-9c/s640/2.jpg)
10 years ago
Mtanzania10 Apr
Julio: Nilijua tutafungwa, ila si hivi
NA MWALI IBRAHIM, DAR ES SALAAM
KOCHA Mkuu wa Coastal Union, Jamhuri Kihwelu ‘Julio’, amesema kuwa alijua atafungwa na Yanga, lakini si kwa idadi kubwa ya mabao kama waliyofungwa.
Yanga juzi iliwastaajabisha Coastal Union ya Tanga kwa kuwafunga mabao 8-0, ikiwa ni idadi kubwa ya mabao waliyofungwa msimu huu wa Ligi Kuu Tanzania Bara, iliyo kwenye hatua za lala salama.
Akizungumza baada ya kumalizika kwa mchezo huo, Julio alisema, hakuwa na taarifa ya mchezo huo, kwani alijua watakutana nayo...
9 years ago
Mzalendo Zanzibar18 Oct
Maradhi yote ugua ila BT usiombe
“…Eee bwana wee isiwe tabu huu muembe chukua wewe isipokua embe tu zikizaliwa nitachukua mie! Sasa huo muembe unautaka wa nini? Kivuli?…”Alihoji bwana Othman. Hio ilikua ni shabihisho ya funga mwaka alioitoa bwana Othman Masoud, aliyekua […]
The post Maradhi yote ugua ila BT usiombe appeared first on Mzalendo.net.
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/7fSVyjXLzVgxVJ7xR7A3mG-xD5K*c0J0Qi6d6359pykXaVmB9A00IAvJE0Ysd54B6PBc-OwXDuDDuXd5uyvl4ABVom*vCxpm/MLELA11.jpg?width=650)
MLELA: SANAA NGUMU ILA SIACHI
9 years ago
Mwananchi08 Oct
Samatta, Ulimwengu waizima Malawi, ila...
10 years ago
Bongo Movies07 Aug
Nisha: Natamani Kuzaa Tena Ila….
Staa wa Bongo Movies , Salma Jabu ‘Nisha’ ambaye ni mama wa mtoto mmoja kiutani utani amefunguka kutamani kuzaa ila anahitaji ushauri azae na nani.
Nisha ambaye kwa sasa yupo nchini China, alitanhaza nia yake hiyo kupitia ukurasa wake kwenye mtandao wa Instagram.
"Mwaka huu mastaa wengi wamezaa na mimi nimetamani kuzaa tena dah.. lakini wakuzaa naye sasa nanii ... sponsor ana mkewe
gandalandizi?? atanifilisi...
Pls nishaurini jamaniii nna hamu kweliii...Niolewe na kuzaa na sponsor...