Nisha: Natamani Kuzaa Tena Ila….
Staa wa Bongo Movies , Salma Jabu ‘Nisha’ ambaye ni mama wa mtoto mmoja kiutani utani amefunguka kutamani kuzaa ila anahitaji ushauri azae na nani.
Nisha ambaye kwa sasa yupo nchini China, alitanhaza nia yake hiyo kupitia ukurasa wake kwenye mtandao wa Instagram.
"Mwaka huu mastaa wengi wamezaa na mimi nimetamani kuzaa tena dah.. lakini wakuzaa naye sasa nanii ... sponsor ana mkewe
gandalandizi?? atanifilisi...
Pls nishaurini jamaniii nna hamu kweliii...Niolewe na kuzaa na sponsor...
Bongo Movies
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo Movies07 Jul
Davina : Natamani Kuchepuka Ila Nashindwa
Staa wa bongo movies, Halima Yahaya ‘Davina’ amekiri kuwa makundi huwa yanaharibu watu walio kwenye ndoa kwa kuwalaghai kwamba wakaonje nje kwa lengo la kuangalia radha nyingine hali amabayo wakati mwingine mawazo hayo humjia lakini ghafla huhisi kaama mumewe atamuona na kuhatarisha ndoa yake.
Akizungimza na Tanuru la Filamu , Davina alisema kwamba alipata wakati mgumu wakati wakuigiza filamu ya SHANTA inayotarajiwa kuingia sokoni wiki hii ambayo alicheza kama mke wa mtu ambaye ...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/iJVROLF4NIsDzJvBWoJjN0g-EFgP6kEbEInfunvvLhjzzAJ1e*BR20tSjWZciB3kuqV49t*hHE1XjUmFCYq07ZcUeECWqKrO/Penny.jpg)
PENNY: NATAMANI MTOTO, SINA WA KUZAA NAYE
10 years ago
Bongo Movies04 Mar
Nisha: Mimi ni Msanii Wa Filamu,Ila Napenda Muziki
Mwigizaji wa Bongo Movies, Salma Jabu ‘Nisha’ amesema japo kuwa anafanya sanaa ya uigizaji ila anapenda sana kuwa mwanamuziki.
Nisha aliyasema hayo hivi majuzi alipokuwa kwenye studio za THT pamoja na mastaa wengine wakirekoni wimbo maalumu wa maombolezo ya msiba wa marehemu Captain John Komba.
Kila la kheri Nisha kama kweli unakipaji,...nitafurahi kama ukija kivingine, uwe tofauti na kina shilole na H mama.
Mzee wa Ubuyu
9 years ago
Bongo510 Oct
Khadija Kopa: Natamani kuolewa tena
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/dM6a4AYRwJOPkFQ6Y5*UahcclfdL-kOa-4kJFIXSYMCMLOI5I*4tTs7ZS2u4xJsxzqgF6DIkLzgSqey9AUXWvhJe*R7sAnPF/kajala.jpg?width=650)
KAJALA KUZAA TENA!
10 years ago
Mtanzania13 May
Keisha: Sitamani kuzaa tena
NA SHARIFA MMASI
BAADA ya mashabiki wake kumtaka aongeze mtoto wa tatu, msanii wa Bongo Fleva, Khadija Shaban (Keisha), ameibuka na kuweka wazi kwamba hana mpango wa kuzaa tena kwa sasa.
Keisha aliliambia MTANZANIA kuwa, sababu kubwa inayomfanya asitamani kuongeza mtoto kwa sasa ni kutokana na kuwa na watoto wawili wa kiume wenye umri mdogo.
“Najua watu wengi wanapenda watoto na hata mashabiki wangu wanatamani sana niendelee kuzaa, kiukweli bado nahitaji kulea madume yangu, kwani umri wao...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/gikBPgJguSWRjKmCeQwv4wmvozo0et-ym1AcBuUz3vELZQkCIpFyruHpg-O780*GlUXicceZ8GkSYWzqrtK4sRutU7HLKyw4/FRONTIJUMAA.jpg?width=650)
DAKTARI: KAJALA HAWEZI KUZAA TENA!
11 years ago
Tanzania Daima12 Jan
Julio: Natamani kunoa vijana
ALIYEKUWA Kocha Msaidizi wa Simba, Jamhuri Kihwelu ‘Julio’, amesema mawazo yake kwa sasa ni kufundisha soka la vijana au timu ya nje ya Tanzania. Julio, baada ya mzunguko wa kwanza...