Davina : Natamani Kuchepuka Ila Nashindwa
Staa wa bongo movies, Halima Yahaya ‘Davina’ amekiri kuwa makundi huwa yanaharibu watu walio kwenye ndoa kwa kuwalaghai kwamba wakaonje nje kwa lengo la kuangalia radha nyingine hali amabayo wakati mwingine mawazo hayo humjia lakini ghafla huhisi kaama mumewe atamuona na kuhatarisha ndoa yake.
Akizungimza na Tanuru la Filamu , Davina alisema kwamba alipata wakati mgumu wakati wakuigiza filamu ya SHANTA inayotarajiwa kuingia sokoni wiki hii ambayo alicheza kama mke wa mtu ambaye ...
Bongo Movies
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo Movies02 Aug
Davina: Kuna Wakati Natamani…
“MOYO wangu umegandwa na mavumbi, macho yamepofuka kwa machozi, kwani mateso yangu hayapimiki kwa mizani, kila mtu ananihukumu kwa uongo na hadithi za kutunga juu ya ndoa yangu pasipo kujua ukweli,” ndivyo anavyoanza kusimulia staa wa filamu za Kibongo, Halima Yahya ‘Davina’ akielezea wakati mgumu anaokutana nao baada ya kuwepo na mgogoro kwenye ndoa yake.
Akizungumza kwa njia ya simu na mwandishi wetu hivi karibuni, msanii huyo alisema kila mahali anapopita ananyooshewa vidole kwa watu...
10 years ago
Bongo Movies07 Aug
Nisha: Natamani Kuzaa Tena Ila….
Staa wa Bongo Movies , Salma Jabu ‘Nisha’ ambaye ni mama wa mtoto mmoja kiutani utani amefunguka kutamani kuzaa ila anahitaji ushauri azae na nani.
Nisha ambaye kwa sasa yupo nchini China, alitanhaza nia yake hiyo kupitia ukurasa wake kwenye mtandao wa Instagram.
"Mwaka huu mastaa wengi wamezaa na mimi nimetamani kuzaa tena dah.. lakini wakuzaa naye sasa nanii ... sponsor ana mkewe
gandalandizi?? atanifilisi...
Pls nishaurini jamaniii nna hamu kweliii...Niolewe na kuzaa na sponsor...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/a8ZZitQ2zfWAdbW8Y64B*rsn1lBTBM7slmj-Izk-zR7z3uhfkNAq9-2qrtVmP47aMMwFUdIXnyo4SEHFgRpkPX8KVcRFyj2o/Davina.gif?width=650)
DAVINA: KUNA WAKATI NATAMANI KUJITOA UHAI!
10 years ago
Bongo Movies27 Dec
Davina:Steve Nyerere ni Mtu Poa Ila Ana Vimatatizo Kidogo....
Mwigizaji Halima Yahya “Davina” amekuwa sio mchoyo wa shukrani baada ya kufunguka yake ya moyoni kwa kile ambacho migizaji mwenzake, Steve Nyerere alichokifanya hapo jana kwenye uzinduzi wa kundi lao jipya la KAONE. Nahivi ndivyo alivyofunguka;
"Dah kiukwel napenda kuchukua nafasi hii kumshukuru huyu mtu (SteveNyerere) kwa support kubwa aliyotupa jana katika uzinduzi wa kundi la #KAONESANAAGROUP ,ahsante sana jamani yaan kiukweli mnyonge mnyongen haki yake mpeni na sisi Watanzania tuna...
10 years ago
Bongo Movies20 Apr
Davina Akanusha Habari “Davina Amchokonoa Wema” Adai ni Uchonganishi
Staa wa bongo movies, Halima Yahaya ‘Davina’ ameonyesha kushitushwa na habari zilizoripotiwa leo nagezeti moja la udaku limeripoti habari yenye kishwa cha habari “Davina Amchokokoa Wema” kitu ambacho Davina amedai ni uchanganishi kati yake na Staa mwenzake Wema Sepetu.
Gazeti hilo limedai kuwa Davina alisema kuwa anamshukuru Mungu kwa mawanae kutimiza miaka miwili kwani kuna watu wanatafuta watoto mpaka sasa hawajapata.
Davina aliyaongea hayo katika birthday ya mwanae iliyofanyika ...
10 years ago
GPL02 Apr
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/p8dNfbTfHuAee2mNYbajU-XVTgj2ZjeauB1ndEua4X22WeJCiqMtMHSMWTuqIm7QkYjzzOC4gmmJ*UNWwjPPFn5y13O-d1Gu/TANGAZO.jpg?width=750)
10 years ago
GPLBELLA KUTAMBULISHA USIKU WA NASHINDWA DAR LIVE!