Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Davina: Kuna Wakati Natamani…

“MOYO wangu umegandwa na mavumbi, macho yamepofuka kwa machozi, kwani mateso yangu hayapimiki kwa mizani, kila mtu ananihukumu kwa uongo na hadithi za kutunga juu ya ndoa yangu pasipo kujua ukweli,” ndivyo anavyoanza kusimulia staa wa filamu za Kibongo, Halima Yahya ‘Davina’ akielezea wakati mgumu anaokutana nao baada ya kuwepo na mgogoro kwenye ndoa yake.

Akizungumza kwa njia ya simu na mwandishi wetu hivi karibuni, msanii huyo alisema kila mahali anapopita ananyooshewa vidole kwa watu...

Bongo Movies

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

DAVINA: KUNA WAKATI NATAMANI KUJITOA UHAI!

BRIGHTON MASALU “MOYO wangu umegandwa na mavumbi, macho yamepofuka kwa machozi, kwani mateso yangu hayapimiki kwa mizani, kila mtu ananihukumu kwa uongo na hadithi za kutunga juu ya ndoa yangu pasipo kujua ukweli,” ndivyo anavyoanza kusimulia staa wa filamu za Kibongo, Halima Yahya ‘Davina’ akielezea wakati mgumu anaokutana nao baada ya kuwepo na mgogoro kwenye ndoa yake. ...Soma...

 

10 years ago

Bongo Movies

Davina : Natamani Kuchepuka Ila Nashindwa

Staa wa bongo movies, Halima Yahaya ‘Davina’ amekiri kuwa makundi huwa yanaharibu  watu walio kwenye ndoa kwa kuwalaghai kwamba wakaonje  nje kwa lengo  la kuangalia radha nyingine hali amabayo wakati  mwingine  mawazo hayo humjia lakini ghafla huhisi kaama mumewe atamuona na kuhatarisha ndoa yake.

Akizungimza na Tanuru la Filamu , Davina alisema  kwamba alipata wakati  mgumu wakati wakuigiza  filamu ya SHANTA inayotarajiwa kuingia sokoni  wiki hii ambayo alicheza kama mke wa mtu  ambaye ...

 

11 years ago

GPL

KUNA WAKATI MAKONDA HAWANA HATIA

NIANZE kwa kuwasalimu kwa heshima na taadhima maanko, wakati huu macho na masikio yetu, kwa mara nyingine yakiwa Dodoma, kwenye ule mjengo maarufu, ambako waheshimiwa wasiozidi 400 wako kujadili mustakabali wa uhai wetu kama taifa la watu milioni 45. Kule wanaizungumzia bajeti ya serikali kwa mwaka ujao wa fedha. Ninajua mnajua kuwa mwaka wa serikali huanza Julai, kwa hiyo wale wawakilishi wetu tuliowachagua kwenye ule uchaguzi...

 

11 years ago

GPL

KUNA WAKATI HISIA ZA KUPENDA, MSISIMKO HUPOTEA!-4

TATIZO la kupoteza hisia za kupenda ni kubwa kwenye uhusiano. Hiyo ndiyo sababu nimetoa nafasi katika ukurasa huu kujadili kuhusiana na mada hiyo. Nimeshaandika mengi, leo katika sehemu ya mwisho nitakazia zaidi kwenye kumtibu mpenzi aliyeathiriwa na tatizo hilo. Bila kupoteza muda, twende kwenye vipengele vilivyobaki. USIFIKIRIE KUACHANA
Kuna tofauti kubwa kati ya usaliti na kupoteza msisimko. Aliyepoteza msisimko siyo kwamba...

 

11 years ago

GPL

KUNA WAKATI HISIA ZA KUPENDA, MSISIMKO HUPOTEA!-3

NAFURAHI kuona kwamba somo limepokelewa vizuri na wadau na wengi wameonekana kulielewa vizuri zaidi. Marafiki wamejitokeza kwa wingi kuuliza maswali kwa njia mbalimbali huku wengine wakihitaji ushauri. Ni wengi sana. Marafiki, kiukweli inakuwa vigumu kuwafikia wote, kama ulinitumia meseji sijakujibu, tafadhali usikasirike. Zipo nyingi sana. Kitu kimoja nikuhakikishie, majibu ya maswali yote utayapata katika mada hii. Jambo kubwa...

 

11 years ago

GPL

KUNA WAKATI HISIA ZA KUPENDA, MSISIMKO HUPOTEA!

NI somo gumu kidogo lakini ni vizuri kulijadili maana linajenga na kustawisha uhusiano. Wengi huogopa kujifunza kuhusu hili. Ndugu zangu huu ni ugonjwa, tena hatari sana kwenye uhusiano. Kuna watu wapo kwenye uhusiano na wenzi ambao wamepoteza msisimko wa mapenzi. Yaani wanashindwa kuwa na uwezo wa kupenda. Upo uwezekano kwamba, hukumwelewa vizuri mpenzi wako mwanzoni, lakini sasa unagundua kwamba amepoteza uwezo wa kupenda....

 

11 years ago

GPL

KUNA WAKATI HISIA ZA KUPENDA, MSISIMKO HUPOTEA!-2

KUPENDA ni hisia za ndani. Hata siku moja, mtu hawezi kulazimisha kupenda. Ni mpaka moyo wake uamue wenyewe. Wakati fulani hisia hizo hutoweka. Kwa bahati mbaya ni kwamba, wakati hisia za kupenda na msisimko wa mapenzi vikiondoka, mhusika huwa hana taarifa. Ni wachache sana hujigundua.
Wengi hujikuta tu– tena wenzi wao ndiyo hugundua mapema na huathiriwa na mabadiliko hayo kuliko wahusika wenyewe. Hata hivyo hao...

 

10 years ago

Bongo Movies

Davina Akanusha Habari “Davina Amchokonoa Wema” Adai ni Uchonganishi

Staa wa bongo movies, Halima Yahaya ‘Davina’ ameonyesha kushitushwa na habari zilizoripotiwa leo nagezeti moja la udaku limeripoti habari yenye kishwa cha habari “Davina Amchokokoa Wema” kitu ambacho Davina amedai ni uchanganishi kati yake na Staa mwenzake Wema Sepetu.

Gazeti hilo limedai kuwa Davina  alisema kuwa  anamshukuru Mungu kwa mawanae kutimiza miaka miwili kwani kuna watu wanatafuta watoto mpaka sasa hawajapata.

Davina aliyaongea hayo katika birthday ya mwanae iliyofanyika ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani