DAVINA: KUNA WAKATI NATAMANI KUJITOA UHAI!
![](http://api.ning.com:80/files/a8ZZitQ2zfWAdbW8Y64B*rsn1lBTBM7slmj-Izk-zR7z3uhfkNAq9-2qrtVmP47aMMwFUdIXnyo4SEHFgRpkPX8KVcRFyj2o/Davina.gif?width=650)
BRIGHTON MASALU “MOYO wangu umegandwa na mavumbi, macho yamepofuka kwa machozi, kwani mateso yangu hayapimiki kwa mizani, kila mtu ananihukumu kwa uongo na hadithi za kutunga juu ya ndoa yangu pasipo kujua ukweli,†ndivyo anavyoanza kusimulia staa wa filamu za Kibongo, Halima Yahya ‘Davina’ akielezea wakati mgumu anaokutana nao baada ya kuwepo na mgogoro kwenye ndoa yake. ...Soma...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo Movies02 Aug
Davina: Kuna Wakati Natamani…
“MOYO wangu umegandwa na mavumbi, macho yamepofuka kwa machozi, kwani mateso yangu hayapimiki kwa mizani, kila mtu ananihukumu kwa uongo na hadithi za kutunga juu ya ndoa yangu pasipo kujua ukweli,” ndivyo anavyoanza kusimulia staa wa filamu za Kibongo, Halima Yahya ‘Davina’ akielezea wakati mgumu anaokutana nao baada ya kuwepo na mgogoro kwenye ndoa yake.
Akizungumza kwa njia ya simu na mwandishi wetu hivi karibuni, msanii huyo alisema kila mahali anapopita ananyooshewa vidole kwa watu...
11 years ago
BBCSwahili10 Jan
'Afufuka baada ya kujitoa uhai'
11 years ago
Tanzania Daima29 Mar
Mzee wa Kujitoa natamani liundwe Bunge jipya la Katiba!
UUUWIIII! Nasikia kuna dalili kwamba wabunge wa Bunge Maalumu la Katiba wanaweza sasa kupewa likizo ya muda. Hayo si ya Mzee wa Kujitoa, nilimsikia mwenyewe kwenye vyombo vya habari Waziri...
11 years ago
BBCSwahili13 Jul
Tutu aunga mkono sheria ya kujitoa uhai
9 years ago
BBCSwahili24 Sep
Kujitoa uhai:Vijana wengi wamo hatarini
10 years ago
Bongo Movies07 Jul
Davina : Natamani Kuchepuka Ila Nashindwa
Staa wa bongo movies, Halima Yahaya ‘Davina’ amekiri kuwa makundi huwa yanaharibu watu walio kwenye ndoa kwa kuwalaghai kwamba wakaonje nje kwa lengo la kuangalia radha nyingine hali amabayo wakati mwingine mawazo hayo humjia lakini ghafla huhisi kaama mumewe atamuona na kuhatarisha ndoa yake.
Akizungimza na Tanuru la Filamu , Davina alisema kwamba alipata wakati mgumu wakati wakuigiza filamu ya SHANTA inayotarajiwa kuingia sokoni wiki hii ambayo alicheza kama mke wa mtu ambaye ...
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/b8YL1Nsfi8mhyvpj0CXv04DPhNlU0IAtTTGZ0yQeCaJ7JbVmSaszTQ7WkfGvBrZsiJ0UYsXIFJHJAMCLTZoKo7s*x-2b4uJR/Mama.jpg?width=650)
MAMA; SIAMINI KAMA KUNA UHAI TENA
11 years ago
GPLKUNA WAKATI MAKONDA HAWANA HATIA