KAJALA KUZAA TENA!
![](http://api.ning.com:80/files/dM6a4AYRwJOPkFQ6Y5*UahcclfdL-kOa-4kJFIXSYMCMLOI5I*4tTs7ZS2u4xJsxzqgF6DIkLzgSqey9AUXWvhJe*R7sAnPF/kajala.jpg?width=650)
Stori: Imelda Mtema MWIGIZAJI Kajala Masanja amefunguka kuwa anatamani kuongeza mtoto wa pili kwani tayari aliyenaye ameshakua vya kutosha. Mwigizaji wa filamu Bongo, Kajala Masanja akiwa na mwanaye Paula. Akipiga stori na mwandishi wetu, Kajala alisema anasaka mimba kwa namna yoyote ili mwanaye Paula apate mdogo wake hivyo suala hilo lipo katika mchakato yakinifu na mpenzi wake wa sasa ambaye hakupenda kumwanika jina...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/gikBPgJguSWRjKmCeQwv4wmvozo0et-ym1AcBuUz3vELZQkCIpFyruHpg-O780*GlUXicceZ8GkSYWzqrtK4sRutU7HLKyw4/FRONTIJUMAA.jpg?width=650)
DAKTARI: KAJALA HAWEZI KUZAA TENA!
10 years ago
Mtanzania13 May
Keisha: Sitamani kuzaa tena
NA SHARIFA MMASI
BAADA ya mashabiki wake kumtaka aongeze mtoto wa tatu, msanii wa Bongo Fleva, Khadija Shaban (Keisha), ameibuka na kuweka wazi kwamba hana mpango wa kuzaa tena kwa sasa.
Keisha aliliambia MTANZANIA kuwa, sababu kubwa inayomfanya asitamani kuongeza mtoto kwa sasa ni kutokana na kuwa na watoto wawili wa kiume wenye umri mdogo.
“Najua watu wengi wanapenda watoto na hata mashabiki wangu wanatamani sana niendelee kuzaa, kiukweli bado nahitaji kulea madume yangu, kwani umri wao...
10 years ago
Bongo Movies07 Aug
Nisha: Natamani Kuzaa Tena Ila….
Staa wa Bongo Movies , Salma Jabu ‘Nisha’ ambaye ni mama wa mtoto mmoja kiutani utani amefunguka kutamani kuzaa ila anahitaji ushauri azae na nani.
Nisha ambaye kwa sasa yupo nchini China, alitanhaza nia yake hiyo kupitia ukurasa wake kwenye mtandao wa Instagram.
"Mwaka huu mastaa wengi wamezaa na mimi nimetamani kuzaa tena dah.. lakini wakuzaa naye sasa nanii ... sponsor ana mkewe
gandalandizi?? atanifilisi...
Pls nishaurini jamaniii nna hamu kweliii...Niolewe na kuzaa na sponsor...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Ltz8IQUQkiKzqpZGuGxJce810u1xKLtDXHGBxX1CPHsB8lsN3yIw0n6XQ1O2mUlruIb3IJBCrVCNKToFkbUfX*P-6l0GNkef/wema7777.jpg)
WEMA, KAJALA TENA!
10 years ago
Bongo Movies25 May
Leo Kajala Awashukuru Wema na Petitman, Afungua Milango kwa Urafiki Tena
Binadamu tuliumbwa kuishi katika misingi ya ubinadamu na sio unyama kama waishivyo wanyama wa porini leo naomba kusema kutoka moyoni mwangu.. Najua kabisa nina wazazi wangu ndugu zangu na zaidi sana Mungu wangu ila kuna watu mpaka nakufa kamwe sintowasahau katika kuta za moyo wangu katika kipindi changu kigumu nilichopitia mlikuwa nembo namboni kubwa katika kuokoa maisha yangu...
Napenda kusema kuwa hata kwa haya yote tunayopitia bado ni madogo sana kuficha thamani yenu mliyoijenga juu...
10 years ago
Bongo Movies25 May
Leo Kajala Atoa Kinyongo, Kwa Mara Nyingine Awashukuru Wema na Petitman na Kufungua Milango ya Urafiki Tena
Binadamu tuliumbwa kuishi katika misingi ya ubinadamu na sio unyama kama waishivyo wanyama wa porini leo naomba kusema kutoka moyoni mwangu.. Najua kabisa nina wazazi wangu ndugu zangu na zaidi sana Mungu wangu ila kuna watu mpaka nakufa kamwe sintowasahau katika kuta za moyo wangu katika kipindi changu kigumu nilichopitia mlikuwa nembo namboni kubwa katika kuokoa maisha yangu...
Napenda kusema kuwa hata kwa haya yote tunayopitia bado ni madogo sana kuficha thamani yenu mliyoijenga juu...
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/Cmufrv6JsXU/default.jpg)
11 years ago
Bongo Movies19 Jul
Baada ya Kajala kudai Wema ni mnafiki,Wema aamua kujibu mapigo. 'Amlipua' vibaya Kajala
Ikiwa ni siku chache zimepita baada ya mwigizaji Kajala kudai kuwa mrembo Wema Sepeteu ni Mnafiki, hatimaye Mwanadada Wema Sepetu , amemlipua aliyekuwa shosti wake, Kajala Masanja ‘K’ ambaye wiki iliyopita alimwita mnafiki, habari ambayo ilisambaa katika mitandao mbalimbali ya kijamii.
Katika habari hiyo, Kajala alikaririwa akisema kwamba licha ya watu wengi kuamini wamepatana, hakuna ukweli kwani rafiki yake huyo ni mnafiki kufuatia kutomthamini na kutokuwa karibu naye kama zamani...