Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Julio: Natamani kunoa vijana

ALIYEKUWA Kocha Msaidizi wa Simba, Jamhuri Kihwelu ‘Julio’, amesema mawazo yake kwa sasa ni kufundisha soka la vijana au timu ya nje ya Tanzania. Julio, baada ya mzunguko wa kwanza...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Simba kunoa kucha ‘Sauzi’

TIMU ya Simba itakwenda nchini Afrika Kusini kusaka makali ya Ligi Kuu ya Bara itakayoanza Septemba 20, badala ya visiwani Zanzibar. Awali kambi ya timu hiyo ilikuwa iwe Zanzibar ambako...

 

10 years ago

Habarileo

UDA kunoa madereva, makondakta

KERO za makondakta ikiwemo matusi na lugha chafu kwa abiria, zimesababisha Shirika la Usafiri Dar es Salaam (UDA), kuamua kuanzisha chuo cha usafirishaji kitakachoitwa UDA Academy, kitakachotoa elimu kwa madereva na makondakta wake na wananchi watakaotaka kusomea fani ya usafirishaji.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Barcelona kunoa makocha Karume leo

MAKOCHA wa timu ya FC Barcelona ya Hispania, wamewasili nchini kutoa mafunzo ya mbinu za soka kwa makocha wa Tanzania. Ujio wa makocha hao wanaoshirikiana na bia ya Castle Lager,...

 

9 years ago

Mtanzania

Yanga kunoa makali Kombe la Mapinduzi

Kikosi-Yanga NA ZAINAB IDDY,  DAR ES SALAAM

TIMU ya Yanga tayari imewasili Zanzibar kwa ajili ya kushiriki michuano ya Kombe la Mapinduzi itakayoanza kesho huku wakitamba kutwaa ubingwa na kusaka makali kwa ajili ya michuano ya Klabu Bingwa Afrika.

Katika mashindano ya Mapinduzi, Yanga imepangwa kundi B ikiwa na Azam, Mtibwa Sugar na Mafunzo ya Zanzibar ambapo inatarajia kufungua dimba kesho kwa kuvaana na Mafunzo.

Kikosi hicho kinachonolewa na kocha Hans Vans Pluijm na msaidizi wake, Juma Mwambusi,...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Barcelona kunoa makocha Ligi Kuu

MAKOCHA wa FC Barcelona ya Hispania, wanatarajia kuendesha mafunzo kwa makocha wa hapa nchini yatakayonyika Agosti 1 na 2, katika Uwanja wa Karume, jijini Dar es Salaam kuboresha kiwango cha...

 

9 years ago

Habarileo

Shule ya michezo ya Kikwete kuanza kunoa vipaji Jumatatu

SHULE ya Michezo ya Jakaya Kikwete iliyopo Kidongo Chekundu, Mnazi Mmoja katikati ya Jiji ya Dar es Salaam, Jumatatu ijayo itaanza kutoa mafunzo ya kukuza vipaji vya michezo kwa vijana.

 

10 years ago

Mwananchi

Simba kunoa makali mbele ya Orlando Pirates Sauzi leo

Simba inashuka uwanjani kuikabili Orlando Pirates ya Afrika Kusini ukiwa ni mchezo wa maandalizi ya mechi yao dhidi ya Yanga inayatarajiwa kufanyika Oktoba 18 kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.

 

10 years ago

GPL

KAJALA: NATAMANI KUPATANA NA WEMA

Stori: Imelda Mtema
SIKU chache baada ya mtangazaji Penniel Mungilwa ‘VJ Penny’ kupatana na Beutiful Onyinye, Wema Isaac Sepetu, mwigizaji Kajala Masanja ‘Kay’ naye ameibuka na kuweka bayana kuwa hata yeye yupo radhi na anatamani kupatana na Wema ambaye wameogelea kwenye bifu miezi kadhaa sasa. Waigizaji wa filamu Bongo, Kajala Masanja ‘Kay’ na Wema Sepetu wakati wakiwa pamoja. Kajala...

 

10 years ago

Bongo Movies

Davina: Kuna Wakati Natamani…

“MOYO wangu umegandwa na mavumbi, macho yamepofuka kwa machozi, kwani mateso yangu hayapimiki kwa mizani, kila mtu ananihukumu kwa uongo na hadithi za kutunga juu ya ndoa yangu pasipo kujua ukweli,” ndivyo anavyoanza kusimulia staa wa filamu za Kibongo, Halima Yahya ‘Davina’ akielezea wakati mgumu anaokutana nao baada ya kuwepo na mgogoro kwenye ndoa yake.

Akizungumza kwa njia ya simu na mwandishi wetu hivi karibuni, msanii huyo alisema kila mahali anapopita ananyooshewa vidole kwa watu...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani