Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Shule ya michezo ya Kikwete kuanza kunoa vipaji Jumatatu

SHULE ya Michezo ya Jakaya Kikwete iliyopo Kidongo Chekundu, Mnazi Mmoja katikati ya Jiji ya Dar es Salaam, Jumatatu ijayo itaanza kutoa mafunzo ya kukuza vipaji vya michezo kwa vijana.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

WAZIRI WA HABARI,VIJANA UTAMADUNI NA MICHEZO AKABIDHI VIFAA VYA MICHEZO KWA SHULE ZA SEKONDARI JIJINI DAR ES SALAAM‏

Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Mh. Dk. Fenella Mukangara (wa pili kushoto)akikabidhi moja ya vifaa vya michezo kwa mwanafunzi wa shule ya sekondari Kibasila, Simon  Nungu (kulia)Vifaa hivyo vya michezo vilivyotolewa na Vodacom Tanzania kwa ajili ya mashindano ya michezo mbalimbali itakayoanza hivi karibuni na kuzihusisha shule za sekondari kumi na mbili(12)za jijini Dar es Salaam.Wanaoshuhudia makabidhiano...

 

9 years ago

Mwananchi

Halmashauri zisaidie kuendeleza michezo, vipaji

Niko Bagamoyo, makazi mapya niliyochagua kuanza maisha. Bahati moja niliyoipata ni kuwa na makazi jirani kabisa na ofisi ya mkuu wa wilaya, Bomani, kifupi niko karibu na Serikali ya Bagamoyo.

 

11 years ago

Michuzi

TIMU NZIMA YA KUSAKA VIPAJI VYA UIGIZAJI TANZANIA YAELEKEA MKOANI MWANZA KWAAJILI YA KUANZA ZOEZI LA KUSAKA VIPAJI VYA UIGIZAJI TANZANIA

Timu nzima ya Tanzania Movie Talents kutoka kampuni ya Proin Promotions Limited wakiwa katika picha ya pamoja kabla ya kuanza safari ya kuelekea Mwanza kwaajili ya shindano la kutafuta Vipaji vya Uigizaji Tanzania ambapo shindano hili litaanzia katika Kanda ya Ziwa katika Mkoa wa Mwanza Kuanzia tarehe 5 April 2014 mahali ni Isamilo Lodge. Mdau Karimu Muhidin Michuzi na Baadhi ya vijana wa kazi katika timu ya kusaka vipaji wakiwa tayari kwa safari ya Mwanza. Mabasi yakiwa tayari kwa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Ndanda FC kuanza kujifua Jumatatu

TIMU ya Ndanda FC yenye maskani yake Kijiji cha Njenga, Kata ya Mwena, Tarafa ya Chikundi, Wilaya ya Masasi mkoani Mtwara, inatarajiwa kuingia kambini Jumatatu kwa ajili ya maandalizi ya...

 

11 years ago

GPL

MAXIMO AZUNGUMZA, KUANZA KAZI JUMATATU

Kocha Marcio Maximo akiongea na wanahabari (hawapo pichani) leo katika klabu ya Yanga. Kocha Marcio Maximo(katikati) akiwa na Kocha msadizi wake pia ni Mbrazili, Leornado Leiva Martins (kulia).…

 

9 years ago

Bongo5

Vanessa Mdee kuanza kuvumbua na kusimamia vipaji vingine

11419202_165666063787240_1338776917_n

Wasanii wanaofanikiwa nchini wameonekana kutofaidi mafanikio yao wao wenyewe na badala yake wameanza kusaidia vipaji vingine.

11419202_165666063787240_1338776917_n

Baada ya Diamond kuanzisha label yake ya WCB ambayo tayari imefanikiwa kumweka kwenye ramani Harmonize, Vanessa Mdee naye ataanza kufanya hivyo hivi karibuni.

Tayari ameanzisha kampuni yake, Mdee Music ambayo licha ya kusimamia kazi zake mwenyewe, itaanza pia kuvumbua na kusimamia vipaji vingine.

Vanessa ameiambia Bongo5 jana kuwa kampuni hiyo itakuwa ikifanya pia...

 

11 years ago

GPL

WIZARA YA HABARI, VIJANA, UTAMADUNI NA MICHEZO KUZINDUA TAMASHA LA VIPAJI‏

Mkurugenzi Mtendaji wa asasi ya ukuzaji vipaji vya sanaa na muziki (Unscripted Concert for Africa-Tanzania, UCA-Tz), Emmanuel Mushy (katikati) akizungumza na waandishi wa habari juu ya tamasha la UCA-Tz litakalofanyika kesho jijini Dar es Salaam. Wa kwanza kutoka kushoto ni Mwakilishi kutoka kampuni ya Zantel, Divine Mosi na Fadhil Nandonde kutoka UCA-Tz, kulia ni mwakilishi wa vijana kutoka nchini Uganda, Ms. Faridah Nalunkuma. ...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Azam kuanza kusaka makali ya Ligi Kuu Jumatatu

KIKOSI cha mabingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Azam FC, kinatarajiwa kuanza mazoezi kesho kuelekea msimu ujao ambapo itakuwa ikitetea taji hilo na kuiwakilisha nchi katika Ligi ya Mabingwa Afrika....

 

10 years ago

Raia Tanzania

Turudishieni shule zetu za vipaji maalumu

MWISHONI mwa miaka ya 1990 kulikuwa na utaratibu wa kupeleka wanafunzi katika shule zenye vipaji maalumu ili kuwapika zaidi katika fani mbalimbali kama sayansi, biashara na hisabati.

Shule zilizoogopwa ilikuwa ni Ilboru (Arusha), Tanga Technical (Tanga), Mzumbe (Morogoro), Kibaha (Pwani), Tabora Wavulana na Tabora Wasichana (Tabora), Kilakala Wasichana (Morogoro) na nyingine nyingi nilizizisahau hapa.

Wanafunzi waliopelekwa na kumaliza katika shule hizo walionekana makini, baadhi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani