Ndanda FC kuanza kujifua Jumatatu
TIMU ya Ndanda FC yenye maskani yake Kijiji cha Njenga, Kata ya Mwena, Tarafa ya Chikundi, Wilaya ya Masasi mkoani Mtwara, inatarajiwa kuingia kambini Jumatatu kwa ajili ya maandalizi ya...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPLMAXIMO AZUNGUMZA, KUANZA KAZI JUMATATU
9 years ago
Habarileo05 Nov
Shule ya michezo ya Kikwete kuanza kunoa vipaji Jumatatu
SHULE ya Michezo ya Jakaya Kikwete iliyopo Kidongo Chekundu, Mnazi Mmoja katikati ya Jiji ya Dar es Salaam, Jumatatu ijayo itaanza kutoa mafunzo ya kukuza vipaji vya michezo kwa vijana.
11 years ago
Tanzania Daima15 Jun
Azam kuanza kusaka makali ya Ligi Kuu Jumatatu
KIKOSI cha mabingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Azam FC, kinatarajiwa kuanza mazoezi kesho kuelekea msimu ujao ambapo itakuwa ikitetea taji hilo na kuiwakilisha nchi katika Ligi ya Mabingwa Afrika....
5 years ago
CCM BlogUCHUKUAJI FOMU ZA KUGOMBEA UONGOZI KWA TIKETI YA CCM KUANZA JUMATATU IJAYO
CCMCCM Blog, Dar es Salaam
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimepuliza rasmi kipyenga cha mchakato wa kuwapata watakaobeba bendera ya Chama katika kugombea Urais, Ubunge, Uwakilishi na Udiwani katika kinyang'anyiro cha Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba mwaka huu.
Kulingana na ratiba iliyotolewa leo na Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC), Itikadi na Uenezi Humphrey Polepole mchakato wa kuwapata wanaoomba kugombea Urais...
10 years ago
MichuziVikao vya Kamati za Kudumu za Bunge kuanza Jijini Dar es Salaam Jumatatu
Kwa tangazo hili waheshimiwa Wabunge wote mnaombwa kuwasili Dar es Salaam siku ya Jumapili tarehe 19 Oktoba 2014.
Kamati za Bunge katika vikao hivi vitakavyodumu hadi tarehe 2 Novemba 2014 zitapokea na kujadili pamoja na mambo mengine Muswada wa Marekebisho ya Sheria...
11 years ago
Dewji Blog26 Apr
Kamati za Bunge kuanza kazi Jumatatu tarehe 28 Aprili 2014 Jijini Dar Es Salaam
Afisa Habari wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Owen Mwandumbya akielezea kuhusu kufanyika kwa vikao vya Kamati za Bunge vinavyotarajia kuanza tarehe 28 Aprili hadi 4 Mei, 2014, Jijini Dar es Salaam kabla ya kuanza Mkutano wa Bunge wa Bajeti tarehe 6 Mei, 2014.(Picha na Tiganya Vincent-BMK-Dodoma).
Press Release – Kuanza Kamati April 28, 2014 by moblog
10 years ago
Michuzinews alert: Gadner G. Habash atinga EFM, kuanza kusikika hewani Jumatatu saa tisa alasiri
10 years ago
BBCSwahili29 Apr
Tanzania kujifua kanda ya 5
9 years ago
MichuziCosota, CMEA kuanza kulipa mirahaba kwa wanamuziki kuanza Januari mwakani