Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Tanzania kujifua kanda ya 5

Tanzania imeteua wachezaji wa timu ya taifa ya mpira wa wavu wa ufukweni kufuzu Kanda ya 5 kwa wanawake Afrika.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

TIMU YA TANZANIA "TAIFA STARS" YAENDELEA KUJIFUA

 Wachezaji wa timu ya taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' wakiwa katika mazoezi katika uwanja wa Olympia Park kujiandaa na mchezo wa fungua dimba dhidi ya timu ya Taifa ya Swaziland.Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) imeendelea na mazoezi katika uwanja wa Olympia Park kujiandaa na mchezo wa fungua dimba dhidi ya timu ya Taifa ya Swaziland.
Kocha mkuu wa timu ya Taifa Stars Mart Nooij amesema vijana wake wanaendelea vizuri na mazoezi, ikiwa leo ni siku ya pili kufanya mazoezi baada ya ...

 

10 years ago

Michuzi

VIJANA WAZIDI KUJIFUA KWA ROBO FAINALI YA DANCE 100% INAYODHAMINIWA NA VODACOM TANZANIA

Hassan Tofi mmoja wa washiriki wa Shindano la Dance 100% wa Kundi la Best Boys la Kigamboni jijini Dar es Salaam,akiwaongoza wenzake katika mazoezi yao yanayofanyika katika Viwanja vya Don Bosco Upanga ikiwa ni sehemu ya kujindaa na robo fainali ya shindano hilo itakayofanyika Agosti 23 mwezi huu. Shindano hilo limeandaliwa na EATV na kudhaminiwa na Vodacom Tanzania. Washiriki wa shindano la dance 100% wa kundi la Best Boys la Kigamboni jijini Dar es Salaam,wakiwa mazoezini katika viwanja...

 

10 years ago

BBCSwahili

Tanzania na michuano kanda ya 5 Afrika

Tanzania yachagua timu kuzikabili nchi nyingine za Afrika katika wavu.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Utambulisho wa gazeti la Tanzania Daima Kanda ya Ziwa

KAMPUNI ya Free Media imetambulisha gazeti la Tanzania Daima Kanda ya Ziwa. Hafla hiyo ilifanyika jijini Mwanza mwishoni mwa wiki katika Hoteli ya Villa Park na kudhaminiwa na kampuni inayotengeneza...

 

11 years ago

Habarileo

Tanzania, Afrika Kusini kuimarisha kanda maalum za uwekezaji

TANZANIA na Afrika Kusini zimeingia makubaliano ya kuunda vikosi kazi kuimarisha mamlaka za ukanda maalumu za uwekezaji katika nchi hizo. Hatua hiyo imekuja baada ya ujumbe wa maofisa kutoka Serikali ya Afrika Kusini kutembelea Mamlaka ya Ukanda Maalum ya Uwekezaji (EPZA) jana jijini Dar es Salaam.

 

10 years ago

Michuzi

TANZANIA MWENYEJI WA MKUTANO WA MABENKI YA AKIBA DUNIANI (WSBI) KANDA YA AFRIKA

Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya Posta Tanzania (TPB), Sabasaba Moshingi akifafanua jambo wakati wa mkutano na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana, kuhusu mkutano wa mabenki ya Akiba Duniani (WSBI) Kanda ya Afrika utakaofanyika kuanzia kesho jijini Dar es Salaam. Kulia ni Mkurugenzi wa Sheria wa benki hiyo, Mystika Ngongi.Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya Posta Tanzania (TPB), Sabasaba Moshingi akifafanua jambo wakati wa mkutano na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana, kuhusu...

 

10 years ago

Dewji Blog

Miss Kanda ya Kati Dorice Mollel akutana na Balozi wa Tanzania nchini Ujerumani

altAlFzJG1DY2zxBFLGNi25BmiZi0AbAj0wJczqpfwvgVvh

Miss Kanda ya Kati Dorice Mollel katika picha ya  pamoja na Balozi wa Tanzania nchini Ujerumani Mhe Philip Marmo nje jengo la ubalozi wa Tanzania jijini Berlin alipotembelea ubalozi huu akiwa kwenye program ya mwezi mmoja, na wenzake 8 (hawapo pichani) kutoka Chuo cha kumbukumbu ya Mwl. Nyerere.

Baada ya kutembelea ofisi za ubalozi wa Tanzania jijini Berlin, Mhe. Marmo aliwaelezea historia ya ushirikiano baina ya Ujerumani na Tanzania ambapo nchi hiyo imekuwa miongoni mwa wadau wa maendeleo...

 

10 years ago

GPL

MTANDAO WA JINSIA TANZANIA (TGNP) WAENDESHA MAFUNZO KWA WANAHABARI KANDA YA MASHARIKI

Mtoa mada Kenny Ngomuo akitoa mafunzo kwa waandishi wa habari (hawapo pichani). Wanahabari wakimsikiliza Kenny Ngomuo. Wanahabari wakifuatilia mafunzo hayo.…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani