Utambulisho wa gazeti la Tanzania Daima Kanda ya Ziwa
KAMPUNI ya Free Media imetambulisha gazeti la Tanzania Daima Kanda ya Ziwa. Hafla hiyo ilifanyika jijini Mwanza mwishoni mwa wiki katika Hoteli ya Villa Park na kudhaminiwa na kampuni inayotengeneza...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-NuCSr6_VHwU/XvIRsclFctI/AAAAAAALvFI/ysgX1sU3-XUwNxwZSZv6PGpdqlXTZRbbQCLcBGAsYHQ/s72-c/9fb3e778-14a6-4884-9b37-79d0d2831735.jpg)
5 years ago
BBCSwahili23 Jun
Gazeti Tanzania Daima lapigwa marufuku kuchapishwa na kusambazwa ndani na nje ya Tanzania
5 years ago
MichuziMAMLAKA YA MAWASILIANO TANZANIA -TCRA KANDA YA ZIWA YAADHIMISHA SIKU YA HAKI YA MTUMIAJI DUNIANI
Mamlaka Ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Kanda ya Ziwa imeadhimisha Siku ya Haki ya Mtumiaji Duniani (World Consumer Rights Day) leo Machi 9,2020 kwa kutoa elimu kwa wanafunzi wa Chuo cha Ufundi Stadi VETA Mkoa wa Shinyanga juu ya haki za watumiaji wa Huduma za Mawasiliano.
Akizungumza, Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Kanda ya Ziwa Mhandisi Francis Mihayo alisema TCRA Kanda ya Ziwa imeadhimisha siku hii leo Machi 9,2020 ambapo Kidunia itafanyika Machi 15,2020 kwa kauli mbiu ya...
11 years ago
Dewji Blog09 Apr
Washindi 3 Bora wa Shindano la kusaka vipaji vya uigizaji Tanzania kwa kanda ya ziwa kupatikana leo
Majaji wa Shindano la Kusaka Vipaji vya Uigizaji Tanzania lijulikanalo kama Tanzania Movie Talents, Single Mtambalike (kulia), Yvonne Chery (Katikati) na Roy Sarungi (Kushoto) wakipitia alama za washiriki kwaajili ya kuweza kuwatangaza washindi waliofanikiwa kuingia hatua ya tatu ambapo wanachukuliwa washiriki 30 kwaajili ya kupata mchujo wa washindi watatu bora ambao wataibuka na Kitita Cha Shilingi laki 5 kila Mmoja kwa Kanda ya Ziwa na baadae kujiunga na washindi wengine watatu...
10 years ago
Dewji Blog14 Sep
Warembo Miss Tanzania 2014 wawasili kambini, kanda ya ziwa waendesha gari yao hadi Dar
Na Father Kidevu Blog
Wanyange 30 wanaowania taji la Redd’s Miss Tanzania 2014 jana wameingia kambini tayari kwa safari ya fainali za Miss Tanzania 2014 zitakazo fanyikia mapema mwezi Oktoba jijini Dar es Salaam.
Warembo hao waliowasili kwa muda tofauti kuanzaia saa 12 alfajiri ya jana na kupokelewa na waandaaji wa Miss Tanzania katika hoteli ya JB Belmont iliyopo katikati ya jiji la maraha la Dar.
Warembo kutoka Kanda ya Ziwa walitia fora pale warembo hao walipowasili kambini hapo wakiwa...
11 years ago
MichuziHATIMAYE WASHINDI WATATU WA MASHINDANO YA KUSAKA VIPAJI VYA UIGIZAJI (TANZANIA MOVIE TALENTS) KWA KANDA YA ZIWA WAPATIKANA LEO JIJINI MWANZA
10 years ago
Vijimambo"IMETOSHA" YAJITAMBULISHA KANDA YA ZIWA
10 years ago
Mtanzania10 Jun
Lowassa atesa kanda ya Ziwa
Na Waandishi Wetu
WAZIRI Mkuu wa zamani, Edward Lowassa ameendelea kutesa katika mikoa ya Kanda ya Ziwa anakopita kutafuta wadhamini akitafuta kuteuliwa mgombea urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Lowassa alianza kusaka wadhamini alipotua mkoani Mwanza wiki iliyopita ambako alipata mapokezi makubwa huku maelfu ya wana CCM wakijitokeza kumdhamini.
Hadi sasa Lowassa ametembelea mikoa ya Mwanza ambapo alidhaminiwa na wanachama 2676 , Geita, Mara, Mjini na Magharibi Zanzibar na Kaskazini na...
9 years ago
Habarileo16 Aug
Waandishi Kanda ya Ziwa wafundwa
WAANDISHI wa habari nchini, wametakiwa kutekeleza wajibu wao kwa kufuata maadili na misingi ya uandishi wa habari hususan za uchunguzi wakati huu wa kuelekea Uchaguzi Mkuu.