MLELA: SANAA NGUMU ILA SIACHI
![](http://api.ning.com:80/files/7fSVyjXLzVgxVJ7xR7A3mG-xD5K*c0J0Qi6d6359pykXaVmB9A00IAvJE0Ysd54B6PBc-OwXDuDDuXd5uyvl4ABVom*vCxpm/MLELA11.jpg?width=650)
Staa wa filamu Bongo, Yusuf Mlela. Gladness Mallya STAA wa filamu Bongo, Yusuf Mlela amedai licha ya hali mbaya katika sanaa hiyo hivi sasa, lakini hawezi kuacha kwa vile ndiyo kazi yake. Akipiga stori na gazeti hili, Mlela alisema hali mbaya ya soko la sanaa inatokana na mambo ya uchaguzi kwani kila kitu sasa kimesimama kupisha tukio hilo kubwa linalotokea mara moja kila baada ya miaka mitano. “Ukweli sanaa ni ngumu sana kwa...
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
Global Publishers23 Dec
Licha ya matatizo yake ya kiafya Penny: shisha siachi
Peniel Mungilwa ‘Penny’
Na Imelda Mtema
MTANGAZAJI mwenye jina ambaye pia ni MC, Peniel Mungilwa ‘Penny’ amedai licha ya matatizo yake ya kiafya, hawezi kuacha kuvuta kilevi aina ya shisha kwani harufu yake inamfanya ajisikie vizuri.
Alitoa kauli hiyo huku kukiwa na madai kuwa amekuwa akitibiwa mara kwa mara maradhi ya pumu na wakati mwingine kulazwa hospitalini, lakini anapopata nafuu huanza tena kuvuta, kitu kinachomuongezea matatizo yanayohatarisha maisha yake.
“Siwezi kupinga kuwa sivuti...
11 years ago
Mwananchi12 Apr
Dhana ya kikwetu kwetu itasaidia sanaa sanaa
9 years ago
Bongo Movies16 Aug
Mlela na ‘Kicheche’
Yusuph Mlela ametoa filamu ya ‘Kicheche’ ili kudhihirisha ubora wake katika uongozaji na uigizaji amesema.
Aidha, Mlela ambaye alikuwa akitumika kucheza kazi za wasanii wengine tangu kuingia katika tasnia hiyo, alisema ameamua kufanya kazi zake ili kuongeza kipato.
“Siku zote ukifanya kazi za watu itafikia mahali utakuwa huoni faida. Bora nifanye kazi zangu mwenyewe’,” alisema.
“Sipo tayari kuona wenzangu wanamiliki kampuni wakati na mimi nina uwezo wa kufanya hivyo.”
Chanzo:...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/OcxvxG4wHxabn0rUAW7aEaWDXztYqW9kvHqALw2w89CLwT0--bQ4bYIbck6xj8LZNvVOQBDt8PsRSkUi*HE1aKwZALSbM183/mlela.jpg?width=650)
MAPENZI YAMTESA MLELA
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/8l--NuzR*jGXxsS4B3jVoPnLymwPQrZD7PzN3CqYSIjMs-sfcAfoox4YmimbJJxA6nmCjx-VqkKVzPoS7dOAqUUyodT6Rp4U/mlela.jpg?width=650)
MLELA: ULEZI UMENIFICHA
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Miy5-5-cgYteqVIgNzIBFm4tT8di2cLrDAq-zweaMPvrTQJS1-8D0pZ90PReW7SIeWqerCP0*LI-WFn1vg3ZcXNZ-xOr-Gvl/mlela1.jpg?width=650)
MLELA AJIACHIA NA SHOMBESHOMBE ZENJI
10 years ago
Raia Tanzania24 Jul
Yusuph Mlela: Nikikupikia biriyani…
YUSUPH Mlela ni msanii maarufu wa filamu nchini aliyeweza kujijengea jina kutokana na kumudu kazi yake kwa kuigiza sehemu tofauti bila kujali uhusika anaouvaa.
Ni miongoni mwa wasanii wachache ambao wameweza kutunza heshima yao tofauti na wasanii wengine wanaotafuta umaarufu kwa kufanya mambo yanayokwenda kinyume na maadili.
Raia Tanzania imezungumza na Mlela ili kujua mambo mbalimbali ya maisha yake awapo nje ya sanaa kama ifuatavyo:
Raia Tanzania: Ukimzungumzia mlela...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/n6JmThHrscadNq2qXVrzF*OM1F7ioLtcYZSYW6NPM7vRUtfu*lCKLmjAPJQFWKLJuTKRQDz9bN2EgSR5qRaMWJxazANSh48z/mlela.jpg)
MLELA AMPIGA DONGO NORA
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/czF6wJsbSj3BKyO-f-eeCfoclBIas0LR2-vbqM-wwoitip3*cs417-gsm03l14KL3w5S3psa*u2EtH-oee1cACZN0wU*ldYe/mlela.jpg?width=650)
MLELA: UKIOA MSANII NI STRESS