Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Licha ya matatizo yake ya kiafya Penny: shisha siachi

26f29e9cdff937646b22556173b02244Peniel Mungilwa ‘Penny’

Na Imelda Mtema
MTANGAZAJI mwenye jina ambaye pia ni MC, Peniel Mungilwa ‘Penny’ amedai licha ya matatizo yake ya kiafya, hawezi kuacha kuvuta kilevi aina ya shisha kwani harufu yake inamfanya ajisikie vizuri.

Alitoa kauli hiyo huku kukiwa na madai kuwa amekuwa akitibiwa mara kwa mara maradhi ya pumu na wakati mwingine kulazwa hospitalini, lakini anapopata nafuu huanza tena kuvuta, kitu kinachomuongezea matatizo yanayohatarisha maisha yake.

“Siwezi kupinga kuwa sivuti...

Global Publishers

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

BBCSwahili

Coronavirus: Wataalamu wanasema nini kuhusu wenye matatizo ya kiafya?

Virusi vya corona vinaweza kumuathiri yeyote,lakini watu wenye matatizo ya kiafya na wazee wanadhaniwa kuwa katika hatari ya kuathirika zaidi na dalili zake.

 

9 years ago

Mwananchi

PIRAMIDI YA AFYA: Kurefusha uume na madhara yake kiafya

Leo tutaona njia maarufu ambazo zipo katika matangazo mbalimbali ikiwamo magazeti, mabango ya matabibu wa kienyeji, mitandaoni pamoja na zile zilizoshindwa kukidhi vigezo vya kutumika na kuingizwa katika miongozo ya matibabu ya Shirika la Afya Duniani (WHO).

 

9 years ago

Bongo5

Nicki Minaj kutumbuiza Angola licha ya wanaharakati kuipinga show yake

12327969_468705609983531_2040894811_n

Nicki Minaj atatumbuiza nchini Angola Jumamosi hii licha ya taasisi ya Human Rights Foundation kuipinga show hiyo.

12327969_468705609983531_2040894811_n

Minaj amethibitisha show hiyo kwenye Instagram.

“ANGOLA! R u ready for the show?!???! Can’t wait to see u guys! Get your tickets here,” ameandika rapper huyo wa YMCMB.

Baadaye rapper huyo aliandika kwenye Twitter:

“Every tongue that rises up against me in judgement shall be condemned.”

Minaj atatumbuiza kwenye party ya Christmas iliyoandaliwa na kampuni ya simu ya Unitel,...

 

11 years ago

Mwananchi

FIGO: Matatizo yake, tishio kwa maisha ya Watanzania

>Hapa duniani kuna maradhi aina nyingi yanayotisha, yakisumbua binadamu, kuwatia ulemavu hata kuwa chanzo cha uchumi kutetereka, wakati mwingine kusababisha kifo. Miongoni mwa maradhi hayo ni kuharibika kwa figo.

 

10 years ago

Vijimambo

LICHA YA KUTOKUWA NA MWENENDO MZURI KWENYE TIMU YAKE YA BWAWA LA MAINI KOCHA ASEMA



Balotelli haondoki ng'o, asema kochaMachezaji wa Liverpool Mario Balotelli
Mkufunzi wa Liverpool Brendan Rodgers amesema kuwa hana mipango ya kumuuza mshambuliaji wa kilabu hiyo Mario Baloteli wakati wa dirisha la uhamisho la mwezi Januari.
Mshambuliaji huyo mwenye umri wa miaka 24 na ambaye amefunga mabao mawili katika mechi 15 amehusishwa na uhamisho wa Inter Milan kulingana na gazeti dello Sport.
''Hicho si kitu nilichofikiria kufanya,kusema ukweli'', alisema Rodgers.
''Tumekuwa na mechi...

 

9 years ago

Bongo5

Tatizo kubwa la kiafya la Chege lilikaribia kutia doa utengenezaji wa video yake ya Sweety Sweety Afrika Kusini

CHEGE-NEW

Chege amesimulia changamoto kubwa iliyompata wakati akishoot video ya wimbo wake Sweety Sweety nchini Afrika Kusini na director Justin Campos.

CHEGE-NEW

Chege ameiambia Bongo5 kuwa moja ya changamoto kubwa iliyomkuta ni kupata maumivu ya kiuno hali ambayo ilisababisha kusitishwa kwa shughuli hiyo.

“Kuna ile short ya kwanza kabisa nilipata tatizo la maumivu ya kiuno, kilikuwa kinauma sana ikabidi tupumzike na director akanipa dawa,” amesema.

“Lakini nashukuru Mungu baada ya muda fulani kikapoa na...

 

9 years ago

GPL

MLELA: SANAA NGUMU ILA SIACHI

Staa wa filamu Bongo, Yusuf Mlela. Gladness Mallya STAA wa filamu Bongo, Yusuf Mlela amedai licha ya hali mbaya katika sanaa hiyo hivi sasa, lakini hawezi kuacha kwa vile ndiyo kazi yake. Akipiga stori na gazeti hili, Mlela alisema hali mbaya ya soko la sanaa inatokana na mambo ya uchaguzi kwani kila kitu sasa kimesimama kupisha tukio hilo kubwa linalotokea mara moja kila baada ya miaka mitano. “Ukweli sanaa ni ngumu sana kwa...

 

9 years ago

Habarileo

Serikali kuchunguza shisha

KATIBU Mkuu, Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Donan Mmbando ameitaka ofisi ya mkemia mkuu kuchunguza kilevi aina ya shisha.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani