John Kerry aionya Iran kuhusu Yemen
John Kerry ameionya Iran dhidi ya hatua yake ya kuwaunga mkono wapiganaji wa Houthi wanaopambana na serikali ya Yemen.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
StarTV09 Apr
John Kerry aionya Iran kuhusu mgogoro Yemen
Waziri wa maswala ya kigeni nchini Marekani John Kerry ameionya Iran dhidi ya hatua yake ya kuwaunga mkono wapiganaji wa Houthi wanaopambana na serikali ya Yemen.
Katika mahojiano ya Televisheni, John Kerry amesema Marekani itaiunga mkono nchi yoyote mashariki ya Kati itakayotishiwa na Iran.
Iran na MarekaniJana Iran ilituma meli mbili za kivita katika bandari ya Aden kuwaunga mkono waasi, ambao wanapambana kuudhibiti mji huo.
Marekani inaunga mkono muungano wa kijeshi unaoongozwa na Saudia...
9 years ago
MichuziTamko la Waziri wa Mambo ya Nje John Kerry kuhusu Uchaguzi wa Tanzania
Kwa niaba ya Rais Obama na watu wa Marekani, nawapongeza watu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa uchaguzi wa rais na wabunge ulioendelea kuthibitisha rekodi nzuri ya Tanzania katika kujenga demokrasia imara.Wakati Rais John Pombe Joseph Magufuli na serikali yake wakichukua majukumu yao, tunatarajia kuendelea na ubia wetu wa karibu na kuimarisha zaidi ushirikiano baina ya nchi zetu mbili tunapofanya...
10 years ago
BBCJohn Kerry in brief visit to Mogadishu
11 years ago
BBCSwahili22 Jun
John Kerry azuru Misri
11 years ago
BBCJohn Kerry will testify on Benghazi
10 years ago
BBCSwahili05 May
John Kerry azuru mji wa Mogadishu
10 years ago
BBCSwahili01 Jun
Baiskeli yamvunja mguu John Kerry
10 years ago
Habarileo24 Mar
Vuai aionya CUF kuhusu Muungano
NAIBU Katibu Mkuu wa CCM- Zanzibar, Vuai Ali Vuai amekitahadharisha Chama cha Wananchi (CUF) kijue kwamba Muungano ukivunjika basi Zanzibar nayo haitokuwa salama na itasambaratika.
11 years ago
BBCSwahili01 Mar
Obama aionya Urusi kuhusu Ukraine