Vuai aionya CUF kuhusu Muungano
NAIBU Katibu Mkuu wa CCM- Zanzibar, Vuai Ali Vuai amekitahadharisha Chama cha Wananchi (CUF) kijue kwamba Muungano ukivunjika basi Zanzibar nayo haitokuwa salama na itasambaratika.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
BBCSwahili01 Mar
Obama aionya Urusi kuhusu Ukraine
11 years ago
BBCSwahili02 Mar
Obama aionya Urusi kuhusu Ukrain
10 years ago
Dewji Blog30 Dec
Matukio ya kutishia amani ya nchi na usalama wa raia yatapungua kama mabalozi wa nyumba kumi watafanya kazi zao kwa uaminifu — Vuai Ally Vuai
Naibu Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar, Vuai Ally Vuai.
Na Anna Nkinda – Maelezo, Lindi
Matukio ya kutishia amani ya nchi na usalama wa raia yatapungua kama mabalozi wa nyumba kumi watafanya kazi zao kwa uaminifu kwani wao ni viongozi wa kwanza walio karibu na wananchi hivyo basi wanatakiwa kuwafahamu wakazi wa maeneo yao.
Hayo yamesemwa jana na Naibu Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar, Vuai Ally Vuai wakati akifungua semina ya siku moja ya uwezeshaji wa...
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-l0i_ga53EAY/VKJxkqytSfI/AAAAAAAG6kg/AxBOAjTwWvc/s72-c/33.jpg)
Matukio ya kutishia amani ya nchi na usalama wa raia yatapungua kama mabalozi wa nyumba kumi watafanya kazi zao kwa uaminifu - Vuai Ally Vuai
![](http://1.bp.blogspot.com/-l0i_ga53EAY/VKJxkqytSfI/AAAAAAAG6kg/AxBOAjTwWvc/s1600/33.jpg)
Matukio ya kutishia amani ya nchi na usalama wa raia yatapungua kama mabalozi wa nyumba kumi watafanya kazi zao kwa uaminifu kwani wao ni viongozi wa kwanza walio karibu na wananchi hivyo basi wanatakiwa kuwafahamu wakazi wa maeneo yao.
Hayo yamesemwa jana na Naibu Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar, Vuai Ally Vuai wakati akifungua semina ya siku moja ya uwezeshaji wa chama hicho kwa mabalozi (viongozi wa mashina) wa wilaya ya Lindi mjini.
Vuai...
10 years ago
BBCSwahili09 Apr
John Kerry aionya Iran kuhusu Yemen
10 years ago
StarTV09 Apr
John Kerry aionya Iran kuhusu mgogoro Yemen
Waziri wa maswala ya kigeni nchini Marekani John Kerry ameionya Iran dhidi ya hatua yake ya kuwaunga mkono wapiganaji wa Houthi wanaopambana na serikali ya Yemen.
Katika mahojiano ya Televisheni, John Kerry amesema Marekani itaiunga mkono nchi yoyote mashariki ya Kati itakayotishiwa na Iran.
![](http://ichef.bbci.co.uk/news/ws/624/amz/worldservice/live/assets/images/2015/04/02/150402180008_iran_640x360_ap_nocredit.jpg)
Jana Iran ilituma meli mbili za kivita katika bandari ya Aden kuwaunga mkono waasi, ambao wanapambana kuudhibiti mji huo.
Marekani inaunga mkono muungano wa kijeshi unaoongozwa na Saudia...
10 years ago
Dewji Blog04 Jul
CUF yatangaza kuuvunja muungano wa Ukawa Ikungi
Mwenyekiti wa CUF Wilaya ya Ikungi na ambaye pia ni Mjumbe wa Baraza kuu la uongozi Taifa,Bwana Athumani Henku akizungumza na mwandishi wa habari hizi(Picha Na Jumbe Ismailly).
Na Jumbe Ismailly,Ikungi
CHAMA Cha Wananchi (CUF) Wilaya ya Ikungi,Mkoani Singida kimesema kitaandika barua kwenda CUF Makao makuu kuomba kuvunja masharti kwenye wilaya ya Ikungi,Mkoani Singida yaliyofikiwa katika kikao cha pamoja cha vyama vilivyopo kwenye umoja wa Ukawa kuhusu kuachiana majimbo ya uchaguzi...
11 years ago
Mwananchi23 Apr
Kete ya Muungano imebaki mkononi mwa CCM na CUF
11 years ago
Zitto Kabwe, MB21 Apr
Maoni kuhusu Muungano v Shirikisho
Maoni kuhusu Muungano v Shirikisho
Zitto Kabwe, Mjumbe, BMK
Iwapo Tanzania ni Shirikisho (Federation) au ni Muungano (Union) ni jambo ambalo limekuwa likuzua utata kwa miaka mingi. Hivi sasa katika vikao vya Kamati za Bunge maalumu la Katiba jambo hili limezua mjadala mkubwa ambapo baadhi ya Wajumbe wanapendekeza kuwa neno Shirikisho litoke kwenye sura ya kwanza ya Rasimu ya Katiba na wengine wakipendekeza libakie au hata kuweka wazi kabisa kuwa Tanzania ni Jamhuri ya Shirikisho la...