Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Jokate azungumzia alivyojisikia baada ya kutumbuiza kwenye Fiesta Mwanza

Mwanamitindo na mtangazaji wa TV, Jokate Mwegelo ameizungumzia show yake ya kwanza kwenye jukwaa la Serengeti Fiesta 2014 jijini Mwanza. Akizungumza na Bongo5 baada ya kumaliza show hiyo iliyofanyika (July 9) katika uwanja wa CCM kirumba Mwanza, Jokate alisema huo ni mwanzo tu wa muziki wake kwani amejipanga vizuri. “Nimejisikia vizuri kwa sababu ni mara […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo5

‘Kwaheri Tanzania’ Davido atoa shukrani zake baada ya kutumbuiza kwenye Fiesta!

Kuanzia Ijumaa iliyopita kulikuwa na taarifa kuwa mahakama ya Kisutu jijini Dar es Salaam imemzuia Davido kutumbuiza kwenye show ya Fiesta jijini Dar es Salaam kwakuwa msanii huyo alikuwa ameshaingia mkataba wa show nyingine na kituo cha redio cha Times FM kilichokuwa kimepanga kuwa na tamasha November 1. Hata hivyo huenda Clouds FM walimpa ofa […]

 

10 years ago

Bongo5

Mwana FA kutumbuiza kwa mara ya kwanza kwenye Fiesta mwaka huu mjini Singida

Baada ya kupagawisha wananchi wa Mbeya na shoo kali mwishoni mwa wiki iliyopita, tamasha la Serengeti Fiesta 2014 linaelekea Singida kukata kiu ya mashabiki wake ambao walikuwa wakilisubiri kwa hamu. Shoo hiyo iliyokuwa ikisubiriwa kwa hamu imepangwa kufanyika hapo October 3, katika uwanja wa Namfua. Wasanii watakaotumbuiza ni pamoja na Mwana FA, Nikki II, Makomando, […]

 

11 years ago

Michuzi

BAADA YA SHINYANGA,MWANAMUZIKI NYOTA WA INJILI KUTOKA AFRIKA KUSINI REBECCA MALOPE KUTUMBUIZA JIJINI MWANZA LEO



Mwimbaji Mahiri wa muziki wa nyimbo za Kiroho a.k.a Injili,Rose Muhando akiimba wimbo wake mpya wa Facebook na Twitter mbele ya mashabiki wake,katika uwanja wa Kambarage mapema jioni ya leo mkoani Shinyanga,ikiwa ni sehemu ya muendelezo wa tamasha la Pasaka.Tamasha hilo linaloandaliwa na Msama Promotions Ltd  kesho jumapili linaendelea katika uwanja wa CCM Kirumba jijiini Mwanza,ambapo Nyota wa Nyimbo za Injili kutoka nchini Afrika Kusini,Rebecca Malope atawatumbuiza wakazi wa jiji hilo...

 

11 years ago

CloudsFM

Hii ndio list ya wasanii watakao panda kwenye jukwaa la Fiesta Mwanza 2014

Msimu wa Fiesta 2014 umeshaanza na show ya kwanza itafanyika kwenye uwanja wa CCM Kirumba tarehe 9/8/2014o siku ya Jumamosi. Hii ni list ya wasanii watakaofanya show kwenye jukwaa la Fiesta.

Diamond Platinumz
Shaa
Mkubwa na Wanae
Young Killer
Ney Wa Mitego
Mr Blue
Linah
Makomando
Madee
Young Dee
Super Nyota

Pamoja na suprise mbalimbali kwenye jukwaa hilo. Watu wangu wa Mwanza kaeni tayari tutakutana maeneo ya huko

 

10 years ago

Bongo5

T-Pain wa Marekani kuja Tanzania mwezi ujao, kutumbuiza na Diamond kwenye uzinduzi wa Radio mpya, Mwanza

Mfalme wa Auto-Tune, T-Pain kutoka Marekani anatarajia kuja Tanzania mwezi ujao na kutumbuiza jijini Mwanza, kwenye tamasha la uzinduzi wa radio mpya iitwayo Jembe Fm ya jijini humo. T-Pain ambaye jina lake halisi ni Faheem Rashad Najm, hatakuwa peke yake kwenye tamasha hilo lililopewa jina la Step Up, bali atakuwa na msanii mwenyeji wake Diamond […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani