JOLLY ENTERPRISES WAZINDUA SHOW ROOM MPYA NA GARI AINA YA MAHINDRA XUV 500
Viongozi wa Kampuni ya Mahindra Mgeni rasmi Mh.Raymond Mushi akikata utepe Mgeni rasmi akioneshwa gari aina ya Mahindra X UV 500…
GPL
Habari Zinazoendana
5 years ago
MichuziWASIKILIZAJI WA WASAFI REDIO NCHINI KUJISHINDIA GARI MPYA AINA YA ALTEZZA
WASAFI Redio wameamua!Ndivyo unavyoweza kuelezea baada ya watangazaji wa kipindi cha the switch kinachorushwa na Wasafi Redio pamoja na Wasafi TV kuamua kuitoa gari aina ya Altezza kwa ajili ya kushindaniwa na wasikilizaji wao ikiwa ni sehemu ya kutimiza ndoto za vijana walio wengi ambao wanaamani kumiliki gari hiyo.
Hivyo ili kushinda gari hiyo , wasikilizaji wa Wasafi Redio, Wasafi TV pamoja na wale wanaofuatilia mitandao ya kijamii ya Wasafi watatakiwa kusikiliza...
11 years ago
TheCitizen20 Mar
Organised crime to cost enterprises $500 billion
11 years ago
MichuziUJUMBE WA KAMPUNI YA MAHINDRA & MAHINDRA WAKUTANA NA RAIS SHEIN ZANZIBAR
11 years ago
MichuziDKT. SHEIN ATEMBELEA KIWANDA CHA MAHINDRA&MAHINDRA LTD MUMBAI, INDIA
10 years ago
Bongo Movies01 Oct
Gari Aina la BMW Alilopewa Kama Zawadi na Maneja Wake Martin Kadinda Lazua Maneno. Watu wahoji uwezo wa meneja wake huyo kumnunulia gari hilo huku ye akiendesha gari ''isiyoeleweka''.
Achana na lile gari aina ya Nissan Murano alilozawadiwa na mwandani wake, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, gari lingine aina ya BMW 545i aliloletewa Wema Isaac Sepetu ‘Beautiful Onyinye’ kwenye pati ya ‘bethidei’ yake ni utata mtupu na maswali kibao
NYUMBANI KWA MADAM
Pati hiyo ambayo iliandika historia katika ulimwengu maridhawa wa mastaa iliangushwa nyumbani kwa mwanadada huyo, Mtaa wa Bwawani, Kijitonyama jijini Dar, wikiendi iliyopita ambapo alitimiza umri wa miaka 26.
Katika shughuli...
10 years ago
MichuziKAMPUNIYA SIMU ZA MKONONI ZA HUAWEI WAZINDUA SIMU MPYA AINA YA HUAWEI P8
10 years ago
Dewji Blog01 Sep
Yamoto Band wazindua video yao kwa bonge la show Maisha Club, hizi ni picha za show nzima
Usiku wa Kuamkia leo Yamoto Band ambao wanafanya vizuri sana katika anga la Muziki kwa sasa, wamepiga Bonge la show ndani ya New Maisha Club wakiwa wanazindua Video ya wimbo wao Mpya “Niseme nisiseme” video ambayo imefanywa na Pabro kutoka kampuni ya D360,
Raymond Msanii kutoka Tiptop Connection nae alikuwepo kutoa sapoti kwa Yamoto Band.
10 years ago
VijimamboGARI AINA YA PAJERO iO INAUZWA
Gari inauzwa kwa bei nzuri tu na ipo Dar kwa atakayeipenda tuwasiliane kupitia mawasiliano hapo chini
SPECIFICATIONS ZA GARI HIYO NIMAKER: MITSUBISHIMODEL: PAJERO IOYoM: 1998CC: 1983Odo: 106,000 KMKWA MAWASILIANO0713327106/0756673327