Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WASIKILIZAJI WA WASAFI REDIO NCHINI KUJISHINDIA GARI MPYA AINA YA ALTEZZA

Na Al-Hassan, Michuzi TV
WASAFI Redio wameamua!Ndivyo unavyoweza kuelezea baada ya watangazaji wa kipindi cha the switch kinachorushwa na Wasafi Redio pamoja na Wasafi TV kuamua kuitoa gari aina ya Altezza kwa ajili ya kushindaniwa na wasikilizaji wao ikiwa ni sehemu ya kutimiza ndoto za vijana walio wengi ambao wanaamani kumiliki gari hiyo.
Hivyo ili kushinda gari hiyo , wasikilizaji wa Wasafi Redio, Wasafi TV pamoja na wale wanaofuatilia mitandao ya kijamii ya Wasafi watatakiwa kusikiliza...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

JOLLY ENTERPRISES WAZINDUA SHOW ROOM MPYA NA GARI AINA YA MAHINDRA XUV 500

Viongozi wa Kampuni ya Mahindra
Mgeni rasmi Mh.Raymond Mushi akikata utepe
Mgeni rasmi akioneshwa gari aina ya Mahindra X UV 500…

 

10 years ago

Bongo Movies

Gari Aina la BMW Alilopewa Kama Zawadi na Maneja Wake Martin Kadinda Lazua Maneno. Watu wahoji uwezo wa meneja wake huyo kumnunulia gari hilo huku ye akiendesha gari ''isiyoeleweka''.

Achana na lile gari aina ya Nissan Murano alilozawadiwa na mwandani wake, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, gari lingine aina ya BMW 545i aliloletewa Wema Isaac Sepetu ‘Beautiful Onyinye’ kwenye pati ya ‘bethidei’ yake ni utata mtupu na maswali kibao

NYUMBANI KWA MADAM
Pati hiyo ambayo iliandika historia katika ulimwengu maridhawa wa mastaa iliangushwa nyumbani kwa mwanadada huyo, Mtaa wa Bwawani, Kijitonyama jijini Dar, wikiendi iliyopita ambapo alitimiza umri wa miaka 26.
Katika shughuli...

 

10 years ago

StarTV

Airtel yazindua promoseni mteja kujishindia gari.

Na Grace Semfuko,

Dar Es Salaam.

 

Kampuni ya simu za Mkononi ya Airtel imezindua promosheni ya Airtel Yatosha zaidi ambapo wateja wanaotumia vifurushi vya Airtel yatosha watapata fursa kujishindia gari aina ya IST lenye thamani ya Shilingi milioni 15.

 

Promosheni hiyo ambayo itafanyika katika kipindi cha miezi miwili imelenga kutoa zawadi ya gari moja kila siku kwa wateja wake waliojiunga na kifurushi cha siku, wiki na mwezi.

 

Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Kampuni ya Airtel Beatrice...

 

10 years ago

Mwananchi

Aina mpya 27 za wanyama zagundulika misituni nchini

Profesa Neil Burgess, anayeongoza barani Afrika kwa utaalamu wa baioanuai na mwenyekiti mwenza wa TFCG, anasema milima ya tao la Mashariki imekuwa ikijulikana kwa muda mrefu kuwa na aina nyingi za viumbe ijapokuwa kumekuwa na ukosefu wa takwimu sahihi hasa katika maeneo sita kati ya 13 ya milima hiyo.

 

11 years ago

Ykileo

AINA MPYA YA UHALIFU UNAOKUJA KWA KASI NCHINI TANZANIA

Miongoni mwa makosa mtandao kuna lijulikanalo kama “Phishing” ambapo kosa hili limekua likidumu kwa muda sasa katika nchi mbali mbali na kwa upande wa Afrika ilizoeleka kuanzishiwa kutokea Naigeria pamoja na Ghana.


Nchi mbali mbali zimechukulia uhalifu huu kua ni hatari kwani unaweza kuwa na madhara makubwa kwa mtendewa ikiwa ni pamoja na kupelekea kufilisi mtu, kupata taarifa za watu kinyume na sheria/ makubaliano na hata wakati mwingine kupelekea kuleta madhara mengine kama kutumika...

 

11 years ago

Michuzi

UNHCR WAKABIDHI GARI MPYA KWA AJILI YA IDARA YA WAKIMBIZI NCHINI.

 Waziri wa Mambo ya Ndani Mhe. Mathias Chikawe (kushoto) akipokea ufungua wa gari kutoka kwa Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi Duniani (UNHCR), Bi. Joyce Mends-Cole. Gari hiyo ambayo ni mpya aina ya Toyota Land Cruiser imetolewa na Shirika hilo kwa ajili ya kusaidia shughuli mbalimbali za kiutendaji zifanywazo na Idara ya Wakimbizi nchini iliyopo ndani ya Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi. Tukio la makabidhiano hayo lilifanyika katika ofisi za wizara...

 

11 years ago

Dewji Blog

UNHCR wamkabidhi gari mpya Waziri Chikawe, kwa ajili ya Idara ya Wakimbizi nchini

PIX 1

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe (kushoto) akipokea ufungua wa gari kutoka kwa Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi Duniani (UNHCR), Joyce Mends-Cole. Gari hiyo ambayo ni mpya aina ya Toyota Land Cruiser imetolewa na Shirika hilo kwa ajili ya kusaidia shughuli mbalimbali za kiutendaji zifanywazo na Idara ya Wakimbizi nchini iliyopo ndani ya Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi. Tukio la makabidhiano hayo lilifanyika katika ofisi za wizara...

 

11 years ago

Michuzi

Gari i aina ya iveco linauzwa

 Gari hili lina siku 4 tu toka lifike kutoka Uingereza. Lipo Sinza karibu na Sheli ya Big Bonn Petrol Station jijini Dar es salaam. Lina hali nzuri na tayari kuanza kazi wakati wowote. Madalali hawatakiwi....Kama unalihitaji kwa maelewano piga simu namba 0754283155

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani