Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Aina mpya 27 za wanyama zagundulika misituni nchini

Profesa Neil Burgess, anayeongoza barani Afrika kwa utaalamu wa baioanuai na mwenyekiti mwenza wa TFCG, anasema milima ya tao la Mashariki imekuwa ikijulikana kwa muda mrefu kuwa na aina nyingi za viumbe ijapokuwa kumekuwa na ukosefu wa takwimu sahihi hasa katika maeneo sita kati ya 13 ya milima hiyo.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Ykileo

AINA MPYA YA UHALIFU UNAOKUJA KWA KASI NCHINI TANZANIA

Miongoni mwa makosa mtandao kuna lijulikanalo kama “Phishing” ambapo kosa hili limekua likidumu kwa muda sasa katika nchi mbali mbali na kwa upande wa Afrika ilizoeleka kuanzishiwa kutokea Naigeria pamoja na Ghana.


Nchi mbali mbali zimechukulia uhalifu huu kua ni hatari kwani unaweza kuwa na madhara makubwa kwa mtendewa ikiwa ni pamoja na kupelekea kufilisi mtu, kupata taarifa za watu kinyume na sheria/ makubaliano na hata wakati mwingine kupelekea kuleta madhara mengine kama kutumika...

 

5 years ago

Michuzi

WASIKILIZAJI WA WASAFI REDIO NCHINI KUJISHINDIA GARI MPYA AINA YA ALTEZZA

Na Al-Hassan, Michuzi TV
WASAFI Redio wameamua!Ndivyo unavyoweza kuelezea baada ya watangazaji wa kipindi cha the switch kinachorushwa na Wasafi Redio pamoja na Wasafi TV kuamua kuitoa gari aina ya Altezza kwa ajili ya kushindaniwa na wasikilizaji wao ikiwa ni sehemu ya kutimiza ndoto za vijana walio wengi ambao wanaamani kumiliki gari hiyo.
Hivyo ili kushinda gari hiyo , wasikilizaji wa Wasafi Redio, Wasafi TV pamoja na wale wanaofuatilia mitandao ya kijamii ya Wasafi watatakiwa kusikiliza...

 

10 years ago

BBCSwahili

Hifadhi ya wanyama yapata simba mpya UG

BBC imetembelea hifadhi ya wanyama pori ya Entebbe ambapo imepata simba dume mpya kutoka Afrika kusini kufuatia kufariki kwa simba dume wa pekee kibonge.

 

9 years ago

Michuzi

SERIKALI YAKANUSHA WANYAMA KUTOROSHWA NCHINI


Na Mwandishi wetu, Dar es SalaamSERIKALI imekanusha uvumi uliozagaa katika mitandao ya jamii wiki hii kuwa wanyama aina ya twiga wanatoroshwa kutoka pori tengefu la Loliondo na kupelekwa nje ya nchi.
Katibu Mkuu wa Wizara Maliasili na Utalii, Dkt. Adelhelm Meru (Pichani) ameziita habari hizo kuwa za uongo, uzushi na uchochezi.
Akiongea na waandishi wa habari jana jijini Dar es Salaam, Dkt. Meru alisema jambo hilo si la kweli na linalenga kuleta chuki dhidi ya serikali.
“Picha zile zimetolewa...

 

9 years ago

BBCSwahili

Aina mpya ya Malaria yatishia Waafrika

Watafiti wanaonya kuwa aina mpya ya Malaria isiyosikia dawa itahatarisha maisha ya mamilioni ya watu barani Afrika

 

10 years ago

Michuzi

ZEST YAZINDUA AINA MPYA YA SIMU

Na Mwandishi Wetu
Kampuni ya Kimataifa ya Zest imezindua simu mpya zenye huduma zote muhimu kwa bei nafuu.

Akizungumza wakati wa uzinduzi wa simu hizo jijini Dar es Salaam, Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni hiyo, Salum Awadh amesema kuwa simu hizo ambazo ni imara zitauzwa kwa bei nafuu ili kila mtu aweze kununua.

"tumeingiza sokoni simu mpya aina ya 7 Mobile ambazo zina huduma za mitandao ya kijamii ikiwemo Internet, Whatsap pamoja na Facebook huku bei yake ikiwa ni 35,000, aina nyingine ni Tablet...

 

11 years ago

Bongo5

Eid 2: TID kumdondosha Naziz kwenye ‘listening party’ ya album yake mpya ‘Mnyama na Wanyama’

Top in Dar, Khalid Mohamed atafanya party ya kusikiliza album yake mpya ‘Mnyama na Wanyama’ siku ya Eid Pili kwenye ukumbi wa Dar Live jijini Dar es Salaam. Katika party hiyo, rapper wa kundi la Necessary Noize la Kenya, Naziz ambaye ameshirikishwa pia kwenye album hiyo atakuwepo kumsindikiza. TID ameiambia Bongo5 kuwa uzinduzi rasmi wa […]

 

10 years ago

Mwananchi

NEEMA: Ugunduzi wabaini aina mpya ya viumbe

>Tanzania imegundua aina 27 za viumbe vipya jamii ya nyoka mijusi na vyura ambao hawapatikani eneo jingine duniani.

 

11 years ago

Michuzi

AIRTEL YAZINDUA SIMU MPYA AINA YA IPHONE 5S

Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Airtel, Bi. Beatrice Singano Mallya (wa pili kulia) akizungumza na waandishi wa habari wakati Kampuni ya Airtel kwa kushirikiana na Apple ilipofanya uzinduzi wa simu mpya ya iPhone 5s pamoja na ofa kabambe kwa wateja wa Airtel, katika hafla iliyofanyika jijini Dar es Salaam jana. Ofa hiyo itawawezesha wateja wa Airtel kupata sms 5000, muda wa maongezi dakika 1500 pamoja na kifurushi cha internet cha 3GB. Wanaoshuhudia ni Meneja Masoko wa Airtel, Prisca Tembo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani