SERIKALI YAKANUSHA WANYAMA KUTOROSHWA NCHINI
![](http://3.bp.blogspot.com/-7oKhHHpJyUc/VgvkJmbjLxI/AAAAAAAH77c/BEh6gurWy58/s72-c/images.jpg)
Na Mwandishi wetu, Dar es SalaamSERIKALI imekanusha uvumi uliozagaa katika mitandao ya jamii wiki hii kuwa wanyama aina ya twiga wanatoroshwa kutoka pori tengefu la Loliondo na kupelekwa nje ya nchi.
Katibu Mkuu wa Wizara Maliasili na Utalii, Dkt. Adelhelm Meru (Pichani) ameziita habari hizo kuwa za uongo, uzushi na uchochezi.
Akiongea na waandishi wa habari jana jijini Dar es Salaam, Dkt. Meru alisema jambo hilo si la kweli na linalenga kuleta chuki dhidi ya serikali.
“Picha zile zimetolewa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mwananchi01 Oct
Wizara yakanusha kutoroshwa kwa Twiga
10 years ago
Dewji Blog03 Apr
Serikali ya Mapinduzi ZNZ yakanusha wawakilishi kuihusisha serikali ya oman na upotevu wa nyaraka za serikali
Waziri wa nchi ofisi ya Makamu wa pili wa Rais Zanzibar Mohamed Aboud Mohamed.
Na MAELEZO ZANZIBAR
SERIKALI YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR IMEKANUSHA TAARIFA ZILIZOTOLEWA NA BAADHI YA VYOMBO VYA HABARI KWAMBA WAJUMBE WA BARAZA LA WAWAKILISHI WALIIHUSISHA SERIKALI YA OMAN NA UPOTEVU WA NYARAKA ZA SERIKALI.
HAYO YAMEELEZWA NA WAZIRI WA NCHI OFISI YA MAKAMU WA PILI WA RAIS ZANZIBAR MOHAMED ABOUD MOHAMED KATIKA TAARIFA YAKE ALIYOITOWA KWA VYOMBO VYA HABARI.
TAARIFA HIYO IMESEMA HAKUNA HATA MJUMBE...
10 years ago
Mwananchi30 Oct
Aina mpya 27 za wanyama zagundulika misituni nchini
10 years ago
Mwananchi10 Jan
Serikali idhibiti utoroshaji wanyama kwenda nje
10 years ago
Mwananchi13 Aug
Wizara yakanusha kuwepo ebola nchini
10 years ago
StarTV07 Nov
Serikali yakanusha biashara ya pembe za ndovu
Tanzania imeshtushwa na ripoti inayoelezea biashara haramu ya meno ya tembo kati ya baadhi ya viongozi wa nchi hiyo na China.
Serikali ya nchi hiyo imesema imesikitishwa na ripoti iliyotolewa na taasisi ya uchunguzi ya mazingira inayodai kwamba majangili wa kichina wakishirikiana na baadhi ya viongozi wa serikali ya Tanzania ndio wanaoangamiza idadi ya tembo kutokana na biashara haramu ya meno ya tembo.
Inadaiwa kwamba raia wa China walitumia ziara ya rais wao nchini humo kusafirisha...
9 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-Tza8Cm-LPds/VlhNHVkaWjI/AAAAAAAIInY/37ZNvyPC518/s72-c/Screen%2BShot%2B2015-11-24%2Bat%2B4.03.10%2BPM.png)
SERIKALI YAKANUSHA KUHUSU HAZINA KUACHWA TUPU
![](http://3.bp.blogspot.com/-Tza8Cm-LPds/VlhNHVkaWjI/AAAAAAAIInY/37ZNvyPC518/s640/Screen%2BShot%2B2015-11-24%2Bat%2B4.03.10%2BPM.png)
Serikali imekanusha taarifa zinazosambazwa na baadhi ya vyombo vya habari kuwa Rais mstaafu wa awamu ya nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete kuwa amekomba fedha hazina na kuiacha Serikali bila fungu lolote.
Hayo yamesemwa jijini dare es salaam na Kamishina wa Bajeti kutoka Wizara ya Fedha Bwa. John Cheyo huku akiwataka wananchi kupuuza habari hiyo kwani hazina ukweli wowote.
“Hazina inazo pesa za kutosha na tunajivunia kufanya uchaguzi wa mwaka huu, kununua mashine za BVR...
9 years ago
Habarileo14 Sep
Serikali yakanusha kuzuia watumishi kushiriki siasa
SERIKALI imekanusha kupiga marufuku ushiriki wa watumishi na rasilimali za umma katika kampeni za kisiasa na kuwataka Watanzania kupuuza upotoshaji huo. Aidha imesema kinachokatazwa ni ushiriki usiofuata utaratibu na kubainisha kwamba kiongozi wa serikali (Mkuu wa Wilaya ama Mkoa) akiwa katika kutekeleza majukumu yake katika maeneo hayo, hazuiwi kutumia vitendea kazi vyake.
11 years ago
Habarileo26 May
Serikali yakanusha kutohudumia mikopo Mifuko ya hifadhi
MIKOPO inayotolewa na Mifuko ya Hifadhi za Jamii nchini kwa serikali nchini inatolewa baada ya kudhibitishwa na Benki Kuu (BoT) na SSRA ambayo pia inasimamia ulipwaji wake ambao serikali inaendelea kulipa.