Wizara yakanusha kutoroshwa kwa Twiga
Wizara ya Maliasili na Utalii imesema hakuna Twiga aliyetoroshwa kutoka mbuga za wanyama kwenda nje ya nchini na kwamba taarifa na picha zinazosambaa kwenye mitandao hazina ukweli wowote.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi
SERIKALI YAKANUSHA WANYAMA KUTOROSHWA NCHINI

Katibu Mkuu wa Wizara Maliasili na Utalii, Dkt. Adelhelm Meru (Pichani) ameziita habari hizo kuwa za uongo, uzushi na uchochezi.
Akiongea na waandishi wa habari jana jijini Dar es Salaam, Dkt. Meru alisema jambo hilo si la kweli na linalenga kuleta chuki dhidi ya serikali.
“Picha zile zimetolewa...
10 years ago
Mwananchi13 Aug
Wizara yakanusha kuwepo ebola nchini
11 years ago
Mwananchi26 Sep
World Map yakanusha kufungiwa na wizara
10 years ago
Michuzi
WIZARA YAKANUSHA MAIADAI YA ANAYEDAIWA KUUMBA MWENGE WA UHURU

Gazeti la Mwananchi la Tarehe 14/9/2015 toleo namba 5529 ukurasa wa 25 liliandika habari kuhusu Mwenge wa Uhuru chini ya kichwa cha Habari “Anayeumba Mwenge wa Uhuru” huyu hapa
Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo (WHVUM) ambayo ndiyo yenye dhamana ya Mwenge wa Uhuru inapenda kuufahamisha umma kwamba habari hiyo sio ya kweli na ni ya upotoshaji.

10 years ago
Michuzi
WIZARA YA NISHATI NA MADINI YAKANUSHA TAARIFA ZINAZOENEZWA KUWA NI ZAUONGO

WIZARA YA NISHATI NA MADINITAARIFA KWA UMMAHivi karibuni zimeibuka taarifa zinazosambazwa katika mitandao ya kijamii zikimnukuu Waziri wa Nishati na Madini, George B. Simbachawene akisema kuwa mitambo yote ya uzalishaji umeme nchini inamilikiwa na Kampuni binafsi.
Tunapenda kuutaarifu Umma kuwa taarifa hizi ni za uongo kwani Waziri Simbachawene hajawahi kutoa tamko la kuwa mitambo ya kuzalisha Umeme yote nchini ni ya kampuni binafsi bali alichosema ni kuwa,...
10 years ago
Mtanzania30 Mar
Askofu Gwajima ataka kutoroshwa Kimafia
Na Waandishi Wetu,Dar es Salaam
JESHI la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, linawashikilia wafuasi 15 wa Kanisa la Ufufuo na Uzima kwa tuhuma za kutaka kumtorosha Askofu Mkuu wa kanisa hilo, Josephat Gwajima.
Gwajima ambaye amelazwa katika Hospitali ya TMJ, Mikocheni Dar es Salaam, baada ya kupata mshituko wakati akihojiwa na makachero wa Jeshi la Polisi katika Kituo Kikuu cha Polisi jijini Dar es Salaam.
Taarifa iliyotolewa jana kwa vyombo vya habari na Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu...
11 years ago
Mwananchi02 Jul
Ndulu: BoT haiwezi kuzuia mabilioni kutoroshwa
11 years ago
Michuzi18 Jun
UHAMIAJI WAKANUSHA JUU YA MHAMIAJI ALIYEDAIWA KUTOROSHWA



Afisa Uhamiaji wa mkoa wa Arusha Daniel Nanomba amekanusha vikali taarifa za aliyekuwa Meneja Mauzo wa kampuni ya Tanzanite One,Jaques Beytel anayedaiwa kutoroshwa na kueleza kuwa mtu huyo alipatiwa notice ya kuondoka nchi ambapo Juni 10 mwaka huu...