Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ndulu: BoT haiwezi kuzuia mabilioni kutoroshwa

>Benki Kuu ya Tanzania (BoT), imesema haiwezi kuzuia utoroshaji wa mabilioni ya fedha ambayo hufichwa nje ya nchi na baadhi ya watu wakiwamo waliowahi kuwa watumishi wa umma.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mtanzania

Askofu Gwajima ataka kutoroshwa Kimafia

gwajimaNa Waandishi Wetu,Dar es Salaam
JESHI la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, linawashikilia wafuasi 15 wa Kanisa la Ufufuo na Uzima kwa tuhuma za kutaka kumtorosha Askofu Mkuu wa kanisa hilo, Josephat Gwajima.
Gwajima ambaye amelazwa katika Hospitali ya TMJ, Mikocheni Dar es Salaam, baada ya kupata mshituko wakati akihojiwa na makachero wa Jeshi la Polisi katika Kituo Kikuu cha Polisi jijini Dar es Salaam.
Taarifa iliyotolewa jana kwa vyombo vya habari na Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu...

 

9 years ago

Michuzi

SERIKALI YAKANUSHA WANYAMA KUTOROSHWA NCHINI


Na Mwandishi wetu, Dar es SalaamSERIKALI imekanusha uvumi uliozagaa katika mitandao ya jamii wiki hii kuwa wanyama aina ya twiga wanatoroshwa kutoka pori tengefu la Loliondo na kupelekwa nje ya nchi.
Katibu Mkuu wa Wizara Maliasili na Utalii, Dkt. Adelhelm Meru (Pichani) ameziita habari hizo kuwa za uongo, uzushi na uchochezi.
Akiongea na waandishi wa habari jana jijini Dar es Salaam, Dkt. Meru alisema jambo hilo si la kweli na linalenga kuleta chuki dhidi ya serikali.
“Picha zile zimetolewa...

 

9 years ago

Mwananchi

Wizara yakanusha kutoroshwa kwa Twiga

Wizara ya Maliasili na Utalii imesema hakuna Twiga aliyetoroshwa kutoka mbuga za wanyama kwenda nje ya nchini na kwamba taarifa na picha  zinazosambaa kwenye mitandao hazina ukweli wowote.

 

11 years ago

Michuzi

UHAMIAJI WAKANUSHA JUU YA MHAMIAJI ALIYEDAIWA KUTOROSHWA

IMG-20140618-WA0007 Afisa Uhamiaji wa mkoa wa Arusha Daniel Nanomba akikanusha vikali taarifa za  aliyekuwa Meneja Mauzo wa kampuni ya Tanzanite One,Jaques Beytel anayedaiwa kutoroshwa IMG-20140618-WA0006 Jaques Beytel anayedaiwa kutoroshwa   IMG-20140618-WA0008 Waandishi wa habari wakiwa kazini
Afisa Uhamiaji wa mkoa wa Arusha Daniel Nanomba amekanusha vikali taarifa za  aliyekuwa Meneja Mauzo wa kampuni ya Tanzanite One,Jaques Beytel anayedaiwa kutoroshwa na kueleza kuwa mtu huyo alipatiwa notice ya kuondoka nchi ambapo Juni 10 mwaka huu...

 

10 years ago

TheCitizen

How Ndulu’s queries on IPTL were ditched

The Attorney General’s office and Ministry of Energy and Minerals overruled queries raised by the Bank of Tanzania (BoT) on the legality of transferring $122 million (Sh207 billion) to the account of Pan Africa Power Solutions at Stanbic Bank, The Citizen can reveal today.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Gavana Ndulu akumbwa na kashfa

ALIYEKUWA mfanyakazi wa ndani wa Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania, Benno Ndulu, amedai  kutolipwa haki zake na mwajiri wake huyo baada ya kukatisha mkataba wa kazi nchini Marekani. Pia...

 

10 years ago

Mwananchi

Profesa Ndulu atetea noti za Tanzania

Dodoma. Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania, Profesa Benno Ndulu amesema karatasi zilizotumika kutengeneza noti za Tanzania zina ubora kwa kuwa wataalamu wamezithibitisha.

 

9 years ago

TheCitizen

Ndulu named Africa’s best central bank governor 2015

The Bank of Tanzania governor, Prof Benno Ndulu, has been awarded the ‘Central Bank Governor of the Year 2015 in Africa’ award for improving the continent’s investment climate.

 

9 years ago

Michuzi

PROFESA NDULU, ATUNUKIWA TUZO YA GAVANA BORA AFRIKA 2015

  GAVANA wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Professa Benno Ndulu (Pichani), ameshinda tuzo ya ‘Gavana Bora wa Afrika kwa mwaka 2015.

Tuzo hiyo inayojulikana kama ‘Central Bank Governor of the Year’ ilitolewa na taasisi ya Africa Investor (Ai) jijini New York, Marekani hivi karibuni katika mkutano wake wa nane uliohudhuriwa na zaidi watu 250 maarufu katika biashara, serikali, maendeleo, sekta ya fedha na wakuu wa nchi tano za Afrika.


Prof. Ndulu aliibuka kidedea kwa kuwashinda magavana wa benki...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani