Gavana Ndulu akumbwa na kashfa
ALIYEKUWA mfanyakazi wa ndani wa Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania, Benno Ndulu, amedai kutolipwa haki zake na mwajiri wake huyo baada ya kukatisha mkataba wa kazi nchini Marekani. Pia...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo21 Dec
Padri akumbwa na kashfa
KANISA Katoliki limeingia kwenye kashfa baada ya mmoja wa mapadri wake katika Jimbo Katoliki Singida, Deogratius Makuri kufikishwa kwenye Mahakama ya Mwanzo Utemini mjini hapa, akituhumiwa kushindwa kutunza mtoto wake mwenye umri wa mwaka mmoja.
9 years ago
MichuziPROFESA NDULU, ATUNUKIWA TUZO YA GAVANA BORA AFRIKA 2015
GAVANA wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Professa Benno Ndulu (Pichani), ameshinda tuzo ya ‘Gavana Bora wa Afrika kwa mwaka 2015.
Tuzo hiyo inayojulikana kama ‘Central Bank Governor of the Year’ ilitolewa na taasisi ya Africa Investor (Ai) jijini New York, Marekani hivi karibuni katika mkutano wake wa nane uliohudhuriwa na zaidi watu 250 maarufu katika biashara, serikali, maendeleo, sekta ya fedha na wakuu wa nchi tano za Afrika.
Prof. Ndulu aliibuka kidedea kwa kuwashinda magavana wa benki...
Tuzo hiyo inayojulikana kama ‘Central Bank Governor of the Year’ ilitolewa na taasisi ya Africa Investor (Ai) jijini New York, Marekani hivi karibuni katika mkutano wake wa nane uliohudhuriwa na zaidi watu 250 maarufu katika biashara, serikali, maendeleo, sekta ya fedha na wakuu wa nchi tano za Afrika.
Prof. Ndulu aliibuka kidedea kwa kuwashinda magavana wa benki...
10 years ago
Zitto Kabwe, MB03 May
Maelezo ya Gavana Prof Benno Ndulu Kuhusu Kushuka kwa Thamani ya Shilingi ya Tanzania kwa Kamati ya Fedha Uchumi na Biashara
Maelezo ya Gavana Prof Benno Ndulu Kuhusu Kushuka kwa Thamani ya Shilingi ya Tanzania kwa Kamati ya Fedha Uchumi na Biashara
View this document on Scribd
10 years ago
GPLPENNY AKUMBWA NA MAUZUZA!
Na Imelda Mtema Prizenta wa Kituo cha Radio E-FM cha jijini Dar, Penniel Mungilwa ‘VJ Penny’ anadaiwa kukumbwa na mauzauza yaliyodaiwa ni mapepo na kujikuta akipiga makelele barabarani. Prizenta wa Kituo cha Radio E-FM cha jijini Dar, Penniel Mungilwa ‘VJ Penny’. Habari kutoka kwa shuhuda wetu zilidai kwamba, ishu hiyo ilijiri maeneo ya Makongo jijini Dar es Salaam, juzikati wakati staa huyo akielekea...
11 years ago
GPLMCHUNGAJI AKUMBWA NA GONJWA LA AJABU
Stori: Makongoro Oging’
WAKATI waumini wa makanisa mbalimbali wamekuwa wakiamini kuwa wachungaji ni watu wenye uwezo wa kuwaondolea matatizo yao, yakiwemo magonjwa, Mchungaji Langeni Mwasibira (39) wa Kanisa la Baptist, lililopo Kyela mkoani Mbeya yupo hoi hospitalini Muhimbili jijini Dar es Salaam. Mchungaji Langeni Mwasibira. Mchungaji huyo yupo katika mateso makubwa baada ya gonjwa la ajabu kumkumba na kuwapa hofu...
11 years ago
GPLMTOTO AKUMBWA NA GONJWA LA AJABU!
Na Mwandishi Wetu MTOTO Mariam Shabani (5) aishiye Bunju A Zone Kizota nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam ambaye alizaliwa akiwa mzima, amekumbwa na ugonjwa wa ajabu unaowashangaza wazazi wake. Mtoto Mariam Shabani akiwa katika mateso baada ya kupatwa na gonjwa la ajabu. Mzazi wa mtoto huyo, Idd Shaban aliwaambia waandishi wetu kuwa mwanaye akiwa mchanga alisadikika kuwa na matatizo ya ubongo lakini ukuaji wake ulikuwa...
10 years ago
BBCSwahili26 May
Hamilton akumbwa na msongo wa mawazo
Bosi wa timu ya Mercedes Toto Wolff ametanabaisha kuwa dereva wa timu hiyo Lewis Hamilton ataerejea katika hali yake baada ya kupoteza mchezo.
11 years ago
BBCSwahili27 May
Mswati akumbwa na Tisho la kufilisika
Taarifa kutoka nchi ya kifalme ya Swaziland zasema kima cha fedha katika benki kuu ya nchi hiyo kimebaki dola laki 8 pekee.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
12-February-2025 in Tanzania