Hamilton akumbwa na msongo wa mawazo
Bosi wa timu ya Mercedes Toto Wolff ametanabaisha kuwa dereva wa timu hiyo Lewis Hamilton ataerejea katika hali yake baada ya kupoteza mchezo.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
11 years ago
BBCSwahili02 Jul
Msongo wa mawazo,majonzi na kilio
10 years ago
Habarileo09 Mar
‘Mfumo umeongeza msongo wa mawazo’
TAASISI inayopigania haki na mahitaji ya msingi ya wenye tatizo la afya ya akili imesema magonjwa ya akili yanachangia asilimia 13 katika kukosesha ufanisi wa maisha.
10 years ago
Mwananchi08 Feb
Bupropion dawa ya kupunguza msongo wa mawazo
10 years ago
Mwananchi31 Oct
Phiri: Simba wana msongo wa mawazo
10 years ago
Bongo Movies19 Apr
Wema, Wolper Walewa Chakari!,Kisa Msongo wa Mawazo
Mastaa warembo kutoka Bongo Movies, Wema Isaac Sepetu na Jacqueline Wolper Massawe, wamejikuta wakipiga ulabu hadi kulewa chakari, kisa kikielezwa kwamba wana msongo wa mawazo.
Gazeti la Risasi la jana, limeripoti kuwa tukio hilo lilijiri hivi karibuni, usiku mnene kwenye pati ya kuzaliwa (birthday) ya meneja wa kampuni ya Wema ya Endless Fame almaarufu Petit Man iliyofanyika kwenye nyumba ya jamaa mmoja maeneo ya Kinondoni-Manyanya jijini Dar na kuhudhuriwa na mastaa kibao.
Katika pati...
5 years ago
BBCSwahili25 Jun
Mwanamuziki Maarufu wa Tanzania aacha muziki kutokana na msongo wa mawazo
11 years ago
Mwananchi21 Jun
Msongo wa mawazo, vifo kwa vijana chanzo ni kukosa ajira
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-0VL9qN8ye4c/XveK1H4-3YI/AAAAAAALvro/2EA0VKB_CKQpmZk-pDIUAsjGKS50Z_0ogCLcBGAsYHQ/s72-c/IMG-20200612-WA0124%2B%25282%2529.jpg)
MSONGO WA MAWAZO, CHANGAMOTO KWA MADEREVA JUU YA COVID-19, UNAVYOCHANGIA AJALI ZA BARABARANI
![](https://1.bp.blogspot.com/-0VL9qN8ye4c/XveK1H4-3YI/AAAAAAALvro/2EA0VKB_CKQpmZk-pDIUAsjGKS50Z_0ogCLcBGAsYHQ/s400/IMG-20200612-WA0124%2B%25282%2529.jpg)
Msongo wa mawazo kwa madereva wa safari ndefu ikiwemo malori na mabasi,kutokana najanga la covid-19 umetajwa kuwa chanzo cha ajali za barabarani.
Janga la Corona lililongia hapa nchini mapema mwezi wa tatu mwaka 2020,limevuruga halihaisi ya utendaji kazi,limepunguza uzalishaji hivyo madereva wengi kukosa muda wa kupumzika,hujawa na uchovu,kutokula mlo kamili,pamoja na uchovu wa kuendesha gari kwa muda mrefu,yote haya yana,unaosababisha kinga zao za mwili kushuka na kuwa...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/rkFK1BYzsGh*pqzA-tveWRipSLDexjYh*A3oc1G9S8jGQeUZb6ocYv5wMG2d78AMx5uU0SUtu6u-NH-49sRFfExSk18rwsuY/Penny.jpg)
PENNY AKUMBWA NA MAUZUZA!