Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Msongo wa mawazo,majonzi na kilio

Hapa ndipo homa kali ya Ebola ilipowafikisha wakazi wa mataifa ya Afrika Magharibi

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

‘Mfumo umeongeza msongo wa mawazo’

TAASISI inayopigania haki na mahitaji ya msingi ya wenye tatizo la afya ya akili imesema magonjwa ya akili yanachangia asilimia 13 katika kukosesha ufanisi wa maisha.

 

10 years ago

BBCSwahili

Hamilton akumbwa na msongo wa mawazo

Bosi wa timu ya Mercedes Toto Wolff ametanabaisha kuwa dereva wa timu hiyo Lewis Hamilton ataerejea katika hali yake baada ya kupoteza mchezo.

 

10 years ago

Mwananchi

Phiri: Simba wana msongo wa mawazo

Wakati kocha wa Simba, Patrick Phiri akisema wachezaji wake wengi wameathirika kisaikolojia kutokana na matokeo yasiyoridhisha, mshambuliaji wake, Amissi Tambwe ametishia kuondoka.

 

10 years ago

Mwananchi

Bupropion dawa ya kupunguza msongo wa mawazo

Bupropion ni dawa inayotumika kupunguza msongo wa mawazo. Dawa hii pia hutumika kusaidia watu wanaotaka kuacha kuvuta sigara.

 

10 years ago

Bongo Movies

Wema, Wolper Walewa Chakari!,Kisa Msongo wa Mawazo

Mastaa warembo kutoka Bongo Movies,  Wema Isaac Sepetu na Jacqueline Wolper Massawe, wamejikuta wakipiga ulabu hadi kulewa chakari, kisa kikielezwa kwamba wana msongo wa mawazo.

Gazeti la Risasi la jana, limeripoti kuwa tukio hilo lilijiri hivi karibuni, usiku mnene kwenye pati ya kuzaliwa (birthday) ya meneja wa kampuni ya Wema ya Endless Fame almaarufu Petit Man iliyofanyika kwenye nyumba ya jamaa mmoja maeneo ya Kinondoni-Manyanya jijini Dar na kuhudhuriwa na mastaa kibao.
Katika pati...

 

10 years ago

BBCSwahili

Kilio na majonzi kwa waliouawa Mandera

Familia za wachimba machimbo ya kokoto waliouawa na Al Shabaab mjini Mandera leo waliwapokea wapendwa wao baada ya miili yao kufikishwa chumba cha kuhifadhi maiti cha City mjini Nairobi

 

5 years ago

BBCSwahili

Mwanamuziki Maarufu wa Tanzania aacha muziki kutokana na msongo wa mawazo

Vanessa mdee ni miongoni mwa wanamuziki maarufu wa kike nchini Tanzania na barani Afrika.

 

11 years ago

Mwananchi

Msongo wa mawazo, vifo kwa vijana chanzo ni kukosa ajira

Vijana wanatajwa kuwa ni chachu ya maendeleo na nguzo kubwa katika mapinduzi ya kiuchumi kwa taifa.

 

5 years ago

Michuzi

MSONGO WA MAWAZO, CHANGAMOTO KWA MADEREVA JUU YA COVID-19, UNAVYOCHANGIA AJALI ZA BARABARANI


Vero Ignatus.

Msongo wa mawazo kwa madereva wa safari ndefu ikiwemo malori na mabasi,kutokana najanga la covid-19 umetajwa kuwa chanzo cha ajali za barabarani.

Janga la Corona lililongia hapa nchini mapema mwezi wa tatu mwaka 2020,limevuruga halihaisi ya utendaji kazi,limepunguza uzalishaji hivyo madereva wengi kukosa muda wa kupumzika,hujawa na uchovu,kutokula mlo kamili,pamoja na uchovu wa kuendesha gari kwa muda mrefu,yote haya yana,unaosababisha kinga zao za mwili kushuka na kuwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani