Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WIZARA YAKANUSHA MAIADAI YA ANAYEDAIWA KUUMBA MWENGE WA UHURU


Gazeti la Mwananchi la Tarehe 14/9/2015 toleo namba 5529 ukurasa wa 25 liliandika habari kuhusu Mwenge wa Uhuru chini ya kichwa cha Habari “Anayeumba Mwenge wa Uhuru” huyu hapa


Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo (WHVUM) ambayo ndiyo yenye dhamana ya Mwenge wa Uhuru inapenda kuufahamisha umma kwamba habari hiyo sio ya kweli na ni ya upotoshaji.


Mwenge wa Uhuru ni Chombo maalum na moja ya alama nyeti za Taifa la Tanzania. Mwenge wa Uhuru ni chombo chenye hadhi ya pekee na hivyo...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

VODACOM YACHANGIA MWENGE WA UHURU

Mkuu wa Mkoa wa Kagera Kanali Mstaafu Fabian Massawe akiongea ofisini kwake mjini Bukoba wakati wa hafla fupi ya kupokea mchango wa Sh. 10 Milioni kutoka kampuni ya Vodacom Tanzania kwa ajili ya kuchangia sherehe ya uwashaji mwenge wa Uhuru kitaifa iliyofanyika Mkoani humo. Kutoka kushoto Ni Mkuu wa Vodacom Kanda ya Ziwa Domician Mkama, Mkuu wa Vodacom Foundation Yessaya Mwakifulefule na Meneja Uhusiano wa Nje wa Kampuni hioyo...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mwenge wa uhuru kuzinduliwa Kagera

MWENGE wa uhuru utazinduliwa Mei 2 mwaka huu mkoani Kagera ambapo miradi yenye thamani ya zaidi ya sh bilioni 14 itazinduliwa. Katika shughuli za uzinduzi huo utakaofanyika kwenye Uwanja wa...

 

9 years ago

Mwananchi

'Anayeunda Mwenge wa Uhuru' huyu hapa

Licha ya kuteketeza mamilioni unapokimbizwa yeye analipwa sh250,000, sasa ni mlemavu.

 

10 years ago

Michuzi

MWENGE WA UHURU WAPOKELEWA MKOANI MANYARA

Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Elaston Mbwilo (kushoto) akijiandaa kupokea mwenge wa uhuru kutoka kwa Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Laurence Gama kwenye Kijiji cha Msitu wa Tembo Wilayani Simanjiro jana, ambapo kwenye Mkoa wa Manyara, Mwenge wa Uhuru unatarajia kutembelea miradi 56 yenye thamani ya shilingi bilioni 4.3. Kiongozi wa mbio za Mwenge wa Uhuru, Rachel Kassanda akikagua shamba darasa la vitunguu la mkulima Charles John Msangi wa Kijiji cha Lemkuna, mara baada ya mwenge kuingia Wilayani...

 

10 years ago

Vijimambo

MBIO ZA MWENGE WA UHURU UKIWA PEMBA

KIONGOZI wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Tanzania mwaka 2015/2016, Juma Khatib Chum, akimkabidhi chandarua mtoto Fatmat Abdalla Mohammed, anayeishi na VVU mara baada ya kuonyesha hali halisi ya maisha yake katika kituo cha Ushauri nasaha ZAPHA+ mkabala na ofisi ya Halmashauri ya Chake Chake Pemba.MKUU wa Wilaya ya Mkoani isiwani Pemba Mhe:Hemed Suleiman Abdalla, akipima afya katika banda la ushauri nasaha linalomilikiwa na ZAPHA+ katika mkesha wa mwenge wa uhuru Tanzania Chake Chake Pemba.
MKUU wa...

 

11 years ago

Michuzi

Vodacom yachangia mbio za mwenge wa uhuru

Mkuu wa Mkoa wa Kagera Kanali Mstaafu Fabian Massawe akiongea ofisini kwake mjini Bukoba wakati wa hafla fupi ya kupokea mchango wa Sh. 10 Milioni kutoka kampuni ya Vodacom kwa ajili ya kuchangia sherehe ya uwashaji mwenge wa Uhuru kitaifa iliyofanyika Mkoani humo. Kutoka kushoto Ni Mkuu wa Vodacom Kanda ya Ziwa Domician Mkama, Mkuu wa Vodacom Foundation Yessaya Mwakifulefule na Meneja Uhusiano wa Nje wa Kampuni hioyo Salum Mwalim. Mkuu wa Mkoa wa Kagera Kanali Mstaafu Fabian Massawe...

 

9 years ago

Mwananchi

Wizara yakanusha kutoroshwa kwa Twiga

Wizara ya Maliasili na Utalii imesema hakuna Twiga aliyetoroshwa kutoka mbuga za wanyama kwenda nje ya nchini na kwamba taarifa na picha  zinazosambaa kwenye mitandao hazina ukweli wowote.

 

10 years ago

Mwananchi

World Map yakanusha kufungiwa na wizara

>Kampuni ya World Map Consultants inayojihusisha na kutoa ushauri wa uhakiki na upimaji wa viwanja imekanusha madai ya kufungiwa kufanya kazi na kudai  inaendelea  na utekelezaji wa majukumu yake kama kawaida.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani