Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


VODACOM YACHANGIA MWENGE WA UHURU

Mkuu wa Mkoa wa Kagera Kanali Mstaafu Fabian Massawe akiongea ofisini kwake mjini Bukoba wakati wa hafla fupi ya kupokea mchango wa Sh. 10 Milioni kutoka kampuni ya Vodacom Tanzania kwa ajili ya kuchangia sherehe ya uwashaji mwenge wa Uhuru kitaifa iliyofanyika Mkoani humo. Kutoka kushoto Ni Mkuu wa Vodacom Kanda ya Ziwa Domician Mkama, Mkuu wa Vodacom Foundation Yessaya Mwakifulefule na Meneja Uhusiano wa Nje wa Kampuni hioyo...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

Vodacom yachangia mbio za mwenge wa uhuru

Mkuu wa Mkoa wa Kagera Kanali Mstaafu Fabian Massawe akiongea ofisini kwake mjini Bukoba wakati wa hafla fupi ya kupokea mchango wa Sh. 10 Milioni kutoka kampuni ya Vodacom kwa ajili ya kuchangia sherehe ya uwashaji mwenge wa Uhuru kitaifa iliyofanyika Mkoani humo. Kutoka kushoto Ni Mkuu wa Vodacom Kanda ya Ziwa Domician Mkama, Mkuu wa Vodacom Foundation Yessaya Mwakifulefule na Meneja Uhusiano wa Nje wa Kampuni hioyo Salum Mwalim. Mkuu wa Mkoa wa Kagera Kanali Mstaafu Fabian Massawe...

 

5 years ago

Michuzi

Taasisi ya Vodacom Tanzania Foundation yachangia Shilingi Billion 2 kusaidia juhudi za serikali kupambana na COVID - 19

Mkurugenzi wa Vodacom Tanzania PLC, Hisham Hendi (Wapili kulia) akikabidhi mfano wa hundi yenye thamani ya Shilingi bilioni 2 leo kwa Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mh Ummy Mwalimu (Wa nne toka kulia), ili kusaidia juhudi za serikali katika kupambana na ugonjwa wa COVID-19 (Corona). Wengine ni Kaimu Mwenyekiti wa Bodi ya Vodacom Tanzania PLC, Magreth Ikongo ( Watatu kulia),Mkurugenzi wa Uhusiano na Mawasiliano Vodacom Tanzania PLC na Vodacom Foundation, Rosalynn...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mwenge wa uhuru kuzinduliwa Kagera

MWENGE wa uhuru utazinduliwa Mei 2 mwaka huu mkoani Kagera ambapo miradi yenye thamani ya zaidi ya sh bilioni 14 itazinduliwa. Katika shughuli za uzinduzi huo utakaofanyika kwenye Uwanja wa...

 

9 years ago

Mwananchi

'Anayeunda Mwenge wa Uhuru' huyu hapa

Licha ya kuteketeza mamilioni unapokimbizwa yeye analipwa sh250,000, sasa ni mlemavu.

 

10 years ago

Vijimambo

MBIO ZA MWENGE WA UHURU UKIWA PEMBA

KIONGOZI wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Tanzania mwaka 2015/2016, Juma Khatib Chum, akimkabidhi chandarua mtoto Fatmat Abdalla Mohammed, anayeishi na VVU mara baada ya kuonyesha hali halisi ya maisha yake katika kituo cha Ushauri nasaha ZAPHA+ mkabala na ofisi ya Halmashauri ya Chake Chake Pemba.MKUU wa Wilaya ya Mkoani isiwani Pemba Mhe:Hemed Suleiman Abdalla, akipima afya katika banda la ushauri nasaha linalomilikiwa na ZAPHA+ katika mkesha wa mwenge wa uhuru Tanzania Chake Chake Pemba.
MKUU wa...

 

10 years ago

Michuzi

MWENGE WA UHURU WAPOKELEWA MKOANI MANYARA

Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Elaston Mbwilo (kushoto) akijiandaa kupokea mwenge wa uhuru kutoka kwa Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Laurence Gama kwenye Kijiji cha Msitu wa Tembo Wilayani Simanjiro jana, ambapo kwenye Mkoa wa Manyara, Mwenge wa Uhuru unatarajia kutembelea miradi 56 yenye thamani ya shilingi bilioni 4.3. Kiongozi wa mbio za Mwenge wa Uhuru, Rachel Kassanda akikagua shamba darasa la vitunguu la mkulima Charles John Msangi wa Kijiji cha Lemkuna, mara baada ya mwenge kuingia Wilayani...

 

10 years ago

Michuzi

MWENGE WA UHURU KUFUNGUA MRADI WA MAJI WA KIBEDYA

Na. Andrew ChimeselaMwenge wa uhuru ambao kwa sasa uko Mkoani Morogoro, umepitia miradi mbalimbali ya maendeleo ukiwemo mradi wa maji uliogharimu  shilingi 555,227,710.40 na unatazamiwa kuwapatia maji safi na salama wananchi  10,534 ambao ni wakazi wa kijiji cha Kibedya  Wilayani Gairo. Mwenge huo ambao umeingia siku yake ya  pili, tangu kuwasili Mkoani Morogoro ukitokea Mkoani Tanga, na kukimbizwa Wilaya ya Mvomero, Leo ukiwa Wilayani Gairo umefungua mradi wa maji wenye matenki mawili yenye...

 

11 years ago

CloudsFM

MWENGE WA UHURU WAWASILI MKOA WA DAR ES SALAAM‏

Mkuu wa Wilaya ya Mafia Sauda Salum Mtondoo akikimbiza Mwenge wa Uhuru kwa ajili ya kuukabidhi tayari kuanza ziara yake Mkoani Dar es Salaam.

Mkuu wa Wilaya ya Mafia Sauda Salum Mtondoo (mwenye T-shirt nyeupe) akimkabidhi Mwenge wa Uhuru Mkuu wa Mkoa wa Pwani Bi. Mwantumu Mahiza leo jijini Dar es Salaam.

Mkuu wa Mkoa wa Pwani Bi. Mwantumu Mahiza akikimbiza mwenge wa Uhuru Tayari kwa kuukabidhi kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,Said Meck Sadiki.

(Picha na Hassan Silayo na Benjamin Sawe)

 

11 years ago

Dewji Blog

Mwenge wa Uhuru kuwasili Singida na kuzindua miradi ya bilioni 5.9

DSC01298

Mkuu wa Mkoa wa Singida Dk, Parseko Kone akizungumza na waandishi wa habari juu ya ujio wa Mwenge wa Uhuru Mkoani Humo.

DSC01290

Katibu Tawala wa Mkoa wa Singida Lianna Hassan akimkaribisha Mkuu wa Mkoa wa Singida kuzungumza na waandishi wa habari kuhusiana na ujio wa Mwenge wa Uhuru.

DSC01291

Wajumbe wa Mwenge akiwemo Afisa Utamaduni wa Wilaya ya Manyoni Salum Mkuya, na Afisa Michezo Mkoa wa Singida, Henry Kapera.

DSC01296

Wajumbe wa kamati ya Ulinzi na Usalama Mkoa wa Singida wakiwa kwenye kikao.

DSC01297

Wakimbiza...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani