Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MWENGE WA UHURU WAPOKELEWA MKOANI MANYARA

Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Elaston Mbwilo (kushoto) akijiandaa kupokea mwenge wa uhuru kutoka kwa Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Laurence Gama kwenye Kijiji cha Msitu wa Tembo Wilayani Simanjiro jana, ambapo kwenye Mkoa wa Manyara, Mwenge wa Uhuru unatarajia kutembelea miradi 56 yenye thamani ya shilingi bilioni 4.3. Kiongozi wa mbio za Mwenge wa Uhuru, Rachel Kassanda akikagua shamba darasa la vitunguu la mkulima Charles John Msangi wa Kijiji cha Lemkuna, mara baada ya mwenge kuingia Wilayani...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

MWENGE WA UHURU KUWASILI MKOANI SINGIDA,MAANDALIZI YAANZA

Mkuu wa Mkoa Singida Dkt. Parseko V. Kone akizungumza na waandishi wa habari juu ya mbio za mwenge wa uhuru Mkoani Singida kulia kwake ni katibu Tawala Mkoa wa Singida Liana Hassan.  Wajumbe wa kamati ya ulinzi na usalama Mkoa wa Singida (wa kwanza ni Kamanda wa Polisi Mkoa wa Singida ACP Geofrey Kamwela) wakimsikiliza Mkuu wa Mkoa wa Singida Dkt. Parseko V. Kone muda mfupi kabla ya kuelekea kijiji cha Rungwa tayari kwa kuupokea Mwenge wa UhuruMkoani Singida.   Wakimbiza Mwenge Mkoa wa...

 

10 years ago

Michuzi

Mwenge wa Uhuru wawasili Wilaya ya Mvomero mkoani Morogoro

 Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Dkt. Rajab Rutengwe akiwa ameshika mwenge wa Uhuru baada ya kupokea kwa Mkuu wa Mkoa wa Tanga Mhe. Said Magalula Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Dkt. Rajab Rutengwe (kushoto) akiwa amekumbatiana na Mkuu wa Mkoa wa Tanga Mhe. Said Magalula baada ya kukabidhiwa Mwenge wa Uhuru. Kiongozi wa mbio za Mwenge wa uhuru kitaifa Bw. Juma Khatibu  Chum akifungua kitambaa kama ishara ya kuzindua zoezi la uandikishaji wapiga kura Wilayani Mvomero lililofanyika  katika Kijiji cha Salawe...

 

11 years ago

Michuzi

ZIARA YA MWENGE WA UHURU WILAYANI KALAMBO MKOANI RUKWA LEO

Katibu Tawala wa Wilaya ya Nkasi Ndugu Festo Chonya wa pili kulia akimkabidhi Mwenge wa Uhuru Katibu Tawala wa Wilaya ya Kalambo Bi. Mapinduzi Severian mara baada ya kumaliza mbio zake wilayani Nkasi mapema leo asubuhi tarehe 22 Mei, 2014. Mratibu wa Mwenge Mkoa wa Rukwa Ndugu Abuubakar Serungwe kulia akitoa neno la shukurani kwa uongozi wa Wilaya ya Nkasi kwa ushirikiano walioutoa wakati Mwenge huo upo Wilayani humo. Kiongozi wa mbio za Mwenge kitaifa Bi. Rachel Kassanda akizindua rasmi...

 

11 years ago

Michuzi

ZIARA YA MBIO ZA MWENGE WA UHURU WILAYANI KALAMBO MKOANI RUKWA

Katibu Tawala wa Wilaya ya Nkasi Ndugu Festo Chonya wa pili kulia akimkabidhi Mwenge wa Uhuru Katibu Tawala wa Wilaya ya Kalambo Bi. Mapinduzi Severian mara baada ya kumaliza mbio zake wilayani Nkasi mapema leo asubuhi tarehe 22 Mei, 2014. Mratibu wa Mwenge Mkoa wa Rukwa Ndugu Abuubakar Serungwe kulia akitoa neno la shukurani kwa uongozi wa Wilaya ya Nkasi kwa ushirikiano walioutoa wakati Mwenge huo upo Wilayani humo. Kiongozi wa mbio za Mwenge kitaifa Bi. Rachel Kassanda akizindua...

 

11 years ago

Michuzi

MWENGE WA UHURU WAANZA MBIO ZAKE MKOANI RUKWA LEO

Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Eng. Stella Manyanya akipokea Mwenge wa Uhuru kutoka kwa Mkuu wa Mkoa wa Katavi (kulia) Dkt. Rajab Mtumwa Rutengwe mapema leo, baadae aliukabidhi Mwenge huo kwa Mkuu wa Wilaya ya Nkasi Ndugu Iddi Hassan Kimanta ambapo umeanza mbio zake katika Wilaya hiyo Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Eng. Stella Manyanya akisoma hotuba ya mapokezi ya Mwenge wa Uhuru mara baada ya kuwasili Mkoani Rukwa ukitokea Mkoa jirani wa Katavi mapema leo. Katika hotuba yake hiyo amesema Mwenge huo...

 

11 years ago

Michuzi

MWENGE WA UHURU 2014 WAMALIZA MBIO ZAKE MKOANI RUKWA LEO,

Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Eng. Stella Manyanya (katikati) akishiriki mbio za Mwenge wa Uhuru (2014) na viongozi wa mbio hizo kitaifa, viongozi na wafanyakazi wa Serikali, vyama vya siasa Mkoani Rukwa na wananchi muda mfupi kabla ya kukabidhi Mwenge huo kwa Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Mhe. Abass Kandoro baada ya Mwenge huo kukamilisha mbio zake Mkoani Rukwa leo tarehe 25-05-2014. Mwenge huo wa Uhuru mkoani Rukwa ulitembelea miradi ya maendeleo 28 na vikundi 27 vyote vikiwa na thamani ya zaidi ya Tsh....

 

11 years ago

GPL

DKT. BILAL AZINDUA SHEREHE ZA MBIO ZA MWENGE WA UHURU MKOANI KAGERA

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwasha Mwenge wa Uhuru wakati wa Sherehe za uzinduzi wa mbio za Mwenge huo zilizofanyika kwenye Uwanja wa Kaitaba, mjini Bukoba Mkoa wa Kagera leo Mei 2, 2014. Mwenge huo unatarajia kuitimisha mbio zake Oktoba 14 mkoani Tabora, ambapo zinatarajia kufungwa na mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Kikwete. Makamu wa Rais wa...

 

10 years ago

Vijimambo

MWENGE WA UHURU WATEKETEZA SHAHENA YA BANGI WILAYANI RORYA MKOANI MARA.


OCD wa Jeshi la Polisi Utegi wilayani Rorya (JINA LITAKUJIA HIVI PUNDE), amesema mapambano dhidi ya biashara na kilimo cha bangi wilayani Tarime, moja ya changamoto zake kubwa ni biashara hiyo haramu kufadhiliwa na wafanyabiashara wakubwa toka nchini Kenya.

OCD aliyasema hayo hivi karibuni, wakati alipokuwa akisimamia uteketezwaji wa kiasi cha tani moja za bangi, zoezi lililofanyika katika eneo maalum la uwanja wa Kituo cha Polisi Utegi. “Bangi inayolimwa Tarime na Rorya inasemekana...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani