Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Serikali idhibiti utoroshaji wanyama kwenda nje

Jana katika gazeti hili tulichapisha habari iliyokuwa ikieleza kuwa Polisi Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), inamshikilia raia wa Kuwait kwa tuhuma za kukutwa na kenge 149, kati yao 134 wakiwa hai akidaiwa kutaka kuwasafirisha.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Serikali kudhibiti utoroshaji wa madini nje ya nchi

Serikali imekua ikipoteza mapato mengi kutokana na utoroshwaji wa madini aina ya Tanzanite yanayopatikana nchini Tanzania pekee.  Kamishna wa Madini nchini,Eng Paul Massanja amesema leo wakati wa maonesho ya madini ya Vito yanayofanyika jijini hapa ambayo yanahudhuriwa na washiriki kutoka mataifa mbalimbali. Amesema kwa takwimu za mwaka 2013,Tanzania ilipata dola za marekani 38 milioni wakati nchi ya Kenya ilijipatia kiasi cha dola 100 milioni na India ilijikusanyia kitita cha dola 300...

 

11 years ago

Mwananchi

Mnyika aishukia Serikali utoroshaji fedha nje ya nchi

>Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni, imeilipua Serikali kwa kushindwa kudhibiti utoroshwaji mkubwa wa fedha kwenda nje.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kampuni yahusishwa vibali vya utoroshaji wanyama

KAMPUNI ya HAM Marketing and Gumbo Enterprise ya jijini Arusha imetajwa kuhusika katika uombaji wa vibali vya kukamata wanyama hai 154, wakiwemo Twiga wanne waliotoroshwa kwenda uarabuni kupitia uwanja wa Kimataifa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

‘Serikali idhibiti solar feki’

SERIKALI imeombwa kuziongezea nguvu mamlaka zake zinazodhibiti uingizwaji wa bidhaa nchini ili kuepuka kuwapo kwa bidhaa hafifu za umeme wa mionzi ya jua (solar). Wito huo ulitolewa jijini Dar es...

 

9 years ago

MillardAyo

Kilichowakuta Watumishi wanne wa serikali waliosafiri kwenda nje ya nchi bila ruhusa ya Rais Magufuli

Wakati Rais Magufuli anaingia madarakani alifuta safari za Watumishi wa serikali nje ya nchi na iwapo itatokea kuna safari za nje, ruhusa ni lazima itoke kwake au kwa katibu mkuu kiongozi, baada ya hayo kuna Watumishi wanne ambao wamekwenda nje ya nchi bila ruhusa yake, wamezungumziwa kwenye hii video hapa chini. Unataka kutumiwa MSG za […]

The post Kilichowakuta Watumishi wanne wa serikali waliosafiri kwenda nje ya nchi bila ruhusa ya Rais Magufuli appeared first on TZA_MillardAyo.

 

11 years ago

Mwananchi

Serikali idhibiti kilimo cha tumbaku-TTCF

Serikali imetakiwa kutunga sheria zitakazodhibiti kilimo na matumizi ya tumbaku nchini.

 

11 years ago

Mwananchi

Sakata la kutorosha wanyama hai kwenda Qatar laibuliwa bungeni

>Sakata la raia wa Pakistan, Kamran Ahmed anayekabiliwa na mashitaka ya kutorosha wanyamapori 150, wakiwamo twiga wanne kwenda Arabuni, juzi lilitinga Bungeni mjini Dodoma.

 

9 years ago

StarTV

Utoroshaji Nyara Za Serikali, Tanzanite  Maafisa sita KIA, askari matatani  

 

Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Amos Makalla ameagiza kusimamishwa kazi maafisa sita wa idara ya usalama katika uwanja wa ndege wa Kimataifa KIA pamoja na askari mmoja wa kituo kidogo cha polisi cha KIA sanjenti Edward Myaga baada ya kuhusishwa na tuhuma za kushirikiana na watoroshaji wa nyara za Serikali na madini aina ya Tanzanite yenye thamani zaidi ya shilingi bilioni 2.

Maafisa waliosimamishwa kazi ni pamoja na Kefa Langia, Tumaini Mkojera, Recho Shayo na Debora Komba.

Wengine ni Frank...

 

10 years ago

Michuzi

SERIKALI YAKANUSHA WANYAMA KUTOROSHWA NCHINI


Na Mwandishi wetu, Dar es SalaamSERIKALI imekanusha uvumi uliozagaa katika mitandao ya jamii wiki hii kuwa wanyama aina ya twiga wanatoroshwa kutoka pori tengefu la Loliondo na kupelekwa nje ya nchi.
Katibu Mkuu wa Wizara Maliasili na Utalii, Dkt. Adelhelm Meru (Pichani) ameziita habari hizo kuwa za uongo, uzushi na uchochezi.
Akiongea na waandishi wa habari jana jijini Dar es Salaam, Dkt. Meru alisema jambo hilo si la kweli na linalenga kuleta chuki dhidi ya serikali.
“Picha zile zimetolewa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani