Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Hifadhi ya wanyama yapata simba mpya UG

BBC imetembelea hifadhi ya wanyama pori ya Entebbe ambapo imepata simba dume mpya kutoka Afrika kusini kufuatia kufariki kwa simba dume wa pekee kibonge.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Uvamizi Hifadhi ya Tarangire watishia uhai wa wanyama

HIFADHI ya Taifa ya Tarangire ilianzishwa mwaka 1970 kwa tangazo la serikali namba 160; lengo likiwa ni kuhifadhi makimbilio ya wanyama wakati wa majira ya kiangazi. Malengo mengine ya kuanzishwa...

 

10 years ago

Michuzi

Ndovu Special Malt yakabidhi vifaa vitakavyosaidia kukabiliana na Ujangili katika Hifadhi za Wanyama nchini

 Meneja wa Bia ya Ndovu Special Malt,Pamela Kikuli akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) juu ya muendelezo wa harakati zake za kusaidia kuimarisha ulinzi wa Wanyama aina ya Tembo ili wasiuwawe hapa nchini,ikiwa ni Bia iliyobeba jina la Mnyama huyo,ambapo wametoa vifaa mbali mbali vya kusaidia ulinzi huo,ikiwa ni pamoja na Darubini kubwa (Binoculars) na trimble GPS ambazo zitasaidia katika harakati za kupambana na ujangili katika mbuga za wanyama nchini.Kulia ni Meneja...

 

5 years ago

BBCSwahili

Mamba alienusurika mabomu ya Vita ya Pili ya Dunia afariki kwenye hifadhi ya wanyama mjini Moscow

Saturn alitolewa kama zawadi kwa hifadhi ya wanyama ya Berlin mwaka 1936 muda mfupi baada ya kuzaliwa nchini Marekani.

 

10 years ago

Michuzi

MKAZI wa Kijichi ajishindia nafasi ya kutembelea hifadhi ya wanyama ya Selous kupitia Ndovu Golden Experience

MKAZI wa Kijichi Jijini Dar es Salaam, Samson Marwa amejishindia nafasi ya kutembelea hifadhi ya wanyama ya Selous katika droo inayoendeshwa na bia ya Ndovu kupitia kampeini yake ya ‘Ndovu Golden Experience’.
Akizungumza na waandishi wa habari Jijini Dar es Salaam jana, Meneja wa bia ya Ndovu Victoria Kimaro alisema, mshindi huyu ameibuka kidedea baada ya kuwagaragaza wenzake katika kampeini hiyo na kupata nafasi ya kwenda katika hiyo hifadhi na mtu mmoja.
Victoria alisema, lengo la kuanzisha...

 

11 years ago

Habarileo

Jumuiya Tanzania yapata tuzo ya hifadhi Afrika

JUMUIYA ya Hifadhi ya Wanyamapori na Maliasili Tarafa ya Idodi na Pawaga (MBOMIPA) imejipatia Dola za Marekani 5,000, sawa na zaidi ya Sh milioni 8, baada ya kuwa moja kati ya asasi 10 barani Afrika iliyotwaa tuzo ya Ikweta.

 

10 years ago

Mwananchi

Aina mpya 27 za wanyama zagundulika misituni nchini

Profesa Neil Burgess, anayeongoza barani Afrika kwa utaalamu wa baioanuai na mwenyekiti mwenza wa TFCG, anasema milima ya tao la Mashariki imekuwa ikijulikana kwa muda mrefu kuwa na aina nyingi za viumbe ijapokuwa kumekuwa na ukosefu wa takwimu sahihi hasa katika maeneo sita kati ya 13 ya milima hiyo.

 

11 years ago

Bongo5

Eid 2: TID kumdondosha Naziz kwenye ‘listening party’ ya album yake mpya ‘Mnyama na Wanyama’

Top in Dar, Khalid Mohamed atafanya party ya kusikiliza album yake mpya ‘Mnyama na Wanyama’ siku ya Eid Pili kwenye ukumbi wa Dar Live jijini Dar es Salaam. Katika party hiyo, rapper wa kundi la Necessary Noize la Kenya, Naziz ambaye ameshirikishwa pia kwenye album hiyo atakuwepo kumsindikiza. TID ameiambia Bongo5 kuwa uzinduzi rasmi wa […]

 

5 years ago

BBCSwahili

Shambulio la simba la muacha mlinzi wa hifadhi na majeraha mabaya

Mwanamke huyo alishambuliwa na kujeruhiwa vibaya na simba hao katika hifadhi hiyo iliopo New South Wales, polisi wanasema.

 

10 years ago

Mwananchi

Simba yapata pigo Afrika Kusini kabla ya kuivaa Yanga

Klabu ya Simba imepata pigo jingine kabla ya kukutana na wapinzani wao wa jadi Yanga baada ya kipa wao Hussein Sharrif ‘Casillas’ kuumia ugoko katika mechi ya kirafiki ya kimataifa dhidi ya Orlando Pirates nchini Afrika Kusini walipoweka kambi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani