Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Uvamizi Hifadhi ya Tarangire watishia uhai wa wanyama

HIFADHI ya Taifa ya Tarangire ilianzishwa mwaka 1970 kwa tangazo la serikali namba 160; lengo likiwa ni kuhifadhi makimbilio ya wanyama wakati wa majira ya kiangazi. Malengo mengine ya kuanzishwa...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Watalii waongezeka Hifadhi ya Tarangire

IDADI ya watalii wa nje na ndani wamekuwa wakiongezeka kila mwaka katika Hifadhi ya Tarangire iliyopo wilayani Simanjiro mkoani Manyara.

 

5 years ago

CCM Blog

WIZARA YA MALIASILI NA UTALII YAONYA UVAMIZI USHOROBA WA WANYAMA


Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii,Staslaus Kanyasu  akiwa pamoja na wajumbe wa kamati ya ulinzi na Usalama wilaya ya Babati, pamoja na mkurugenzi wa hoteli za chemchem Nicolaus Negri walipotembea   eneo la hifadhi ya Jamii ya Burunge, wilayani Babati mkoa wa Manyara, ambalo linakabiliwa na tatizo la uvamizi.



Mkurugenzi wa hoteli za Chemchem wilayani Babati mkoa wa Manyara,, Nicolaus Negri akiwa na  Naibu waziri wa Maliasili na Utalii, Staslaus Kanyasu, akielezea tatizo  la uvamizi katika...

 

11 years ago

Michuzi

Kamati ya Bunge ya Ardhi maliasili na mazingira yatembelea hifadhi ya taifa ya Tarangire

Mkurugenzi mkuu wa hifadhi za taifa,TANAPA,Allan Kijazi akiteta jambo na mwenyekiti wa kamati ya ardhi ,maliasili na mazingira Mh James Lembeli kabla ya kuanza kwa kikao cha kamati hiyo na watumishi wa hifadhi ya taifa ya Tarangire. Mwenyekiti wa kamati ya ardhi ,maliasili na mazingira ,Mh James Lembeli akizungumza wakati wa kikao cha kamati yake na watumishi wa hifadhi ya taifa ya Tarangire. Mkurugenzi mkuu shirika la hifadhi ya taifa,TANAPA,Allan Kijazi akizungumza jambo wakati wa...

 

11 years ago

Mwananchi

Sheria ya 2009 wanyamapori yatishia uhai wa hifadhi

Jumuiya za Hifadhi za Wanyamapori za Jamii (WMA) nchini zipo hatarini kufa kutokana na kuathiriwa na sheria mpya ya wanyamapori ya mwaka 2009 inayozuia jumuiya hizo kukusanya mapato katika maeneo yao.

 

10 years ago

BBCSwahili

Hifadhi ya wanyama yapata simba mpya UG

BBC imetembelea hifadhi ya wanyama pori ya Entebbe ambapo imepata simba dume mpya kutoka Afrika kusini kufuatia kufariki kwa simba dume wa pekee kibonge.

 

10 years ago

Michuzi

MKAZI wa Kijichi ajishindia nafasi ya kutembelea hifadhi ya wanyama ya Selous kupitia Ndovu Golden Experience

MKAZI wa Kijichi Jijini Dar es Salaam, Samson Marwa amejishindia nafasi ya kutembelea hifadhi ya wanyama ya Selous katika droo inayoendeshwa na bia ya Ndovu kupitia kampeini yake ya ‘Ndovu Golden Experience’.
Akizungumza na waandishi wa habari Jijini Dar es Salaam jana, Meneja wa bia ya Ndovu Victoria Kimaro alisema, mshindi huyu ameibuka kidedea baada ya kuwagaragaza wenzake katika kampeini hiyo na kupata nafasi ya kwenda katika hiyo hifadhi na mtu mmoja.
Victoria alisema, lengo la kuanzisha...

 

10 years ago

Michuzi

Ndovu Special Malt yakabidhi vifaa vitakavyosaidia kukabiliana na Ujangili katika Hifadhi za Wanyama nchini

 Meneja wa Bia ya Ndovu Special Malt,Pamela Kikuli akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) juu ya muendelezo wa harakati zake za kusaidia kuimarisha ulinzi wa Wanyama aina ya Tembo ili wasiuwawe hapa nchini,ikiwa ni Bia iliyobeba jina la Mnyama huyo,ambapo wametoa vifaa mbali mbali vya kusaidia ulinzi huo,ikiwa ni pamoja na Darubini kubwa (Binoculars) na trimble GPS ambazo zitasaidia katika harakati za kupambana na ujangili katika mbuga za wanyama nchini.Kulia ni Meneja...

 

5 years ago

BBCSwahili

Mamba alienusurika mabomu ya Vita ya Pili ya Dunia afariki kwenye hifadhi ya wanyama mjini Moscow

Saturn alitolewa kama zawadi kwa hifadhi ya wanyama ya Berlin mwaka 1936 muda mfupi baada ya kuzaliwa nchini Marekani.

 

5 years ago

Michuzi

SERIKALI: UHAI WA BINADAMU UNA THAMANI KUBWA KULIKO UHAI WA WANYAMAPORI

SERIKALI imetolea ufafanuzi wa kauli iliyotolewa na  baadhi ya Wananchi  wanaodai kuwa Wizara ya Maliasili na Utalii imekuwa ikithamini uhai wa wanyamapori kuliko uhai wa binadamu.
 Akizungumza na viongozi wa vijiji vitano vinavyopakana na Hifadhi ya Taifa ya Serengeti katika wilaya ya Serengeti mkoani Mara, Constantine Kanyasu amesema  uhai wa binadamu una thamani kubwa na kamwe hauwezi kufananishwa na uhai  wa wanyamapori 
Amesema licha ya  kuwa  binadamu anaaminika kuwa akili kuliko...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani