Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Sheria ya 2009 wanyamapori yatishia uhai wa hifadhi

Jumuiya za Hifadhi za Wanyamapori za Jamii (WMA) nchini zipo hatarini kufa kutokana na kuathiriwa na sheria mpya ya wanyamapori ya mwaka 2009 inayozuia jumuiya hizo kukusanya mapato katika maeneo yao.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

SERIKALI: UHAI WA BINADAMU UNA THAMANI KUBWA KULIKO UHAI WA WANYAMAPORI

SERIKALI imetolea ufafanuzi wa kauli iliyotolewa na  baadhi ya Wananchi  wanaodai kuwa Wizara ya Maliasili na Utalii imekuwa ikithamini uhai wa wanyamapori kuliko uhai wa binadamu.
 Akizungumza na viongozi wa vijiji vitano vinavyopakana na Hifadhi ya Taifa ya Serengeti katika wilaya ya Serengeti mkoani Mara, Constantine Kanyasu amesema  uhai wa binadamu una thamani kubwa na kamwe hauwezi kufananishwa na uhai  wa wanyamapori 
Amesema licha ya  kuwa  binadamu anaaminika kuwa akili kuliko...

 

11 years ago

Mwananchi

Maambukizi ya Ukimwi yatishia uhai wa watoto

>Maambukizi ya ugonjwa wa Ukimwi kutoka kwa mama kwenda kwa mtoto yameelezwa kuwa tishio na asilimia 50 ya watoto wanaozaliwa na virusi vya ugonjwa huo hupoteza maisha ndani ya miaka miwili tangu kuzaliwa wasipopatiwa dawa za kupunguza makali ya virusi (ARV).

 

11 years ago

Habarileo

Mamlaka ya Hifadhi ya Wanyamapori

KATIKA kuhakikisha kunakuwa na uhifadhi endelevu wa wanyamapori nchini, serikali imetangaza kuanzisha Mamlaka ya Hifadhi ya Wanyamapori inayotarajiwa kuanza kazi mwishoni mwa mwezi huu huku makao yake makuu yakiwa mkoani Morogoro.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Uvamizi Hifadhi ya Tarangire watishia uhai wa wanyama

HIFADHI ya Taifa ya Tarangire ilianzishwa mwaka 1970 kwa tangazo la serikali namba 160; lengo likiwa ni kuhifadhi makimbilio ya wanyama wakati wa majira ya kiangazi. Malengo mengine ya kuanzishwa...

 

9 years ago

Michuzi

NISHATI YA JOTOARDHI KUIPANDISHA HADHI HIFADHI YA WANYAMAPORI SELOUS

 Mkurugenzi wa Mipango na Maendeleo ya Biashara, Mhandisi Kato Kabaka (aliyesimama) kutoka Kampuni ya Uendelezaji Jotoardhi Tanzania, akitoa elimu ya nishati ya Jotoardhi kwa wafanyakazi wa hifadhi ya wanyamapori Selous na jinsi gani nishati hiyo itaongeza idadi ya watalii. Wafanyakazi wa hifadhi ya wanyamapori Selous na kampuni ya uendelezaji wa Jotoardhi Tanzania wakimsikiliza kwa makini Mhandisi Kato Kabaka (hayuko pichani) alipokuwa akiwaelimisha namna nishati ya Jotoardhi itakavyoongeza...

 

11 years ago

BBCSwahili

Tutu aunga mkono sheria ya kujitoa uhai

Aliyekuwa Askofu mkuu nchini Afrika kusini Desmond Tutu amesema kuwa anaunga mkono mjadala wa kujitoa uhai,

 

10 years ago

Michuzi

NYALANDU AFUNGUA MKUTANO WA SIKU MBILI WA MAJADILIANO KUHUSU UBORESHAJI WA MFUMO WA USIMAMIZI NA UENDESHAJI MAENEO YA JUMUIA YA HIFADHI YA WANYAMAPORI TANZANIA

 WAZIRI waMaliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu, akisalimiana na baadhi ya wadau wa masuala ya uhifadhi na utalii alipowasili kufungua mkutano wa majadiliano kuhusu uboreshaji wa mfumo wa usimamizi na uendeshaji Maeneo ya Jumuia ya Hifadhi ya Wanyamapori Tanzania (WMA), ulioanza jana Julai 2, 2015, katika hotel ya Naura Spring, jijini Arusha. WAZIRI waMaliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu, akisalimiana mdau wa masuala ya uhifadhi na utalii Willy Chambulo, alipowasili kufungua mkutano wa...

 

10 years ago

Vijimambo

NYALANDU (MB), AFUNGUA MKUTANO WA SIKU MBILI WA MAJADILIANO KUHUSU UBORESHAJI WA MFUMO WA USIMAMIZI NA UENDESHAJI MAENEO YA JUMUIA YA HIFADHI YA WANYAMAPORI TANZANIA, ULIOANZA JANA JULAI 2, 2015, JIJINI ARUSHA.

Imetayarishwa na theNkoromo Blog WAZIRI waMaliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu, akisalimiana na baadhi ya wadau wa masuala ya uhifadhi na utalii alipowasili kufungua mkutano wa majadiliano kuhusu uboreshaji wa mfumo wa usimamizi na uendeshaji Maeneo ya Jumuia ya Hifadhi ya Wanyamapori Tanzania (WMA), ulioanza jana Julai 2, 2015, katika hotel ya Naura Spring, jijini Arusha. WAZIRI waMaliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu, akisalimiana mdau wa masuala ya uhifadhi na utalii Willy Chambulo,...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Sheria zinachangia uharibifu Hifadhi ya Mlima Kilimanjaro

SHERIA za usimamizi wa masuala ya hifadhi na misitu asili zimebainika kuwa sababu ya kuwepo kwa vitendo vya uharibifu wa mazingira katika Hifadhi ya Mlima Kilimanjaro. Sheria zinazotumika hadi sasa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani