Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Jordan Mbaga anyemelea Same Magharibi

HARAKATI za wanasiasa wa vyama mbalimbali kuonesha nia za kutaka kugombea ubunge katika majimbo tofauti nchini zinazidi kushika kasi wakati huu wa kuelekea uchaguzi mkuu wa 2015. Jordan Mbaga ni...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

TANGAZO LA KIFO CHA MICHAEL JAPHET MBAGA NA JOHN JAPHET MBAGA

FAMILIA ya marehemu mzee Japhet Mbaga, wa Dar es Salaam kwa masikitiko makubwa inatangaza vifo vya kaka zao wapendwa, MICHAEL NA JOHN JAPHET MBAGA, vilivyotokea hapa DSM siku ya jumapili na jumatatu.
Mazishi yanatarajiwa kufanyika makaburi ya Kinondoni, siku ya alhamisi tarehe 3 Septemba, 2015 saa 10.00 jioni. 
Ratiba ya kutoa heshima za mwisho itafanyika siku hiyo hiyo, saa 7.00 mchana nyumbani kwa Mary Rusimbi (Mkurugenzi Mkuu, WOMEN FUND TANZANIA) eneo la Tabata - shule, nyumba za...

 

11 years ago

GPL

DEVOTHA MBAGA ANASA!

Devota Mbaga. Na Brighton Masalu
MSANII aliyefanya poa kwenye filamu kadhaa ikiweko ya Malaika, Devotha Julius Mbaga ‘The First Born’ yuko katika wakati mgumu kufuatia kunasa ujauzito ambao kwa sasa siyo siri tena. Akizungumza na mwandishi wetu hivi karibuni, mmoja wa rafiki wa msanii huyo (jina kapuni) alisema kuwa licha ya msanii huyo kufanya siri juu ya ujauzito huo, lakini kwa sasa dalili zinaonesha kuwepo kwa...

 

11 years ago

Mwananchi

Mbaga, Yayo, Singano wanatisha

Mshambuliaji wa JKT Ruvu, Idd Mbaga ameweka rekodi ya kufunga bao la mapema zaidi huku Mganda wa Coastal Union, Yayo Kato akifunga goli la kwanza katika mzunguko wa pili wa Ligi Kuu Tanzania Bara.

 

10 years ago

TheCitizen

Mbaga, Same: A hidden travel gem

My acquaintance and I left Arusha in the early morning  for a long drive to Same, one of the towns in Kilimanjaro Region located on the highway to Tanga and Dar es Salaam.

 

10 years ago

GPL

DEVOTHA MBAGA AGEUKIA UFUGAJI

Na Imelda Mtema
Staa wa filamu za Kibongo, Devotha Mbaga baada ya kuona filamu zinazingua ameamua kugeukia ufugaji wa ng’ombe ambapo amejichimbia kijijini maeneo ya Chanika jijini Dar. Staa wa filamu za Kibongo, Devotha Mbaga akimnyunyuzia Ng'ombe dawa ya kuulia wadudu. Akichonga na Ijumaa, Devotha alisema kuwa si kama ameacha kabisa sanaa lakini kutokana na muda mwingi kubaini unapotea kwenye filamu ambayo haimlipi...

 

11 years ago

GPL

DEVOTHA MBAGA AZIMIA MSIBANI, ALAZWA

Stori: Gladness Mallya na Hamida Hassan
MASKINI! Siku chache baada ya kutoa wosia kuwa akifa asizikwe kwa mbwembwe, mwigizaji Devotha Mbaga amezimia ghafla wakati wa kuaga mwili wa mwongozaji wa filamu na vipindi mbalimbali Bongo, marehemu George Otieno ‘Tyson’. Mwigizaji maarufu wa Bongo Movie Devotha akiwa amelazwa hospitalini baada ya kuzimia ghafla wakati wa kuaga mwili wa mwongozaji wa filamu Bongo, marehemu...

 

10 years ago

Daily News

Mourners pay last respects to TTCL PR manager Mbaga


Mourners pay last respects to TTCL PR manager Mbaga
Daily News
HUNDREDS of media people and other residents paid their last respects to the body of Tanzania Telecommunications Company Limited (TTCL) Public Relations Manager, Mr Amin Mbaga, who died in Dar es Salaam on Monday. He passed away at Regency ...

 

10 years ago

Michuzi

TANGAZO LA KIFO CHA MAMA NENDIWE JAPHET MBAGA

Familia ya marehemu mzee Japhet Mbaga, wa Dar es Salaam inasikitika kutangaza kifo cha mama yao, NENDIWE MBAGA, kilichotokea hospitali ya Mama Ngoma, Mwenge, siku ya Jumatano mchana, tarehe 13 Mei 2015 kwa ugonjwa wa pneumonia. Mama Nendiwe ni mama mzazi wa MARY RUSIMBI, Hillary Mbaga, Michael Mbaga, Rose Mshana, Stella Mbaga na John Mbaga.Mazishi yanatarajiwa kufanyika makaburi ya Kinondoni, siku ya Jumapili tarehe 17 Mei 2015 saa 10.00 jioni. Ratiba ya kutoa heshima za mwisho itafanyika...

 

10 years ago

Mwananchi

PROFESA MBAGA: Mchumi aliyetumikia Canada, Benki ya Dunia

>Taifa lolote duniani haliwezi kuendelea bila kuwa na wachumi wanaopima na kuweka mizania ya kiuchumi kwa lengo la kusaidia ukuaji wake na kusonga mbele.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani