Jukata yamhadharisha JK
>Jukwaa la Katiba Tanzania (Jukata), limemtahadharisha Rais Jakaya Kikwete asiingie kwenye mtego wa wanasiasa wa chama chake cha CCM wanaoiponda Rasimu ya Katiba iliyowasilishwa bungeni Jumatatu kwa kuwa ndiyo iliyobeba maoni ya wananchi
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi13 May
Jukata yatafuta suluhu
10 years ago
Mtanzania13 Sep
Jukata: Sitta, Werema maadui wa Katiba
![Mwenyekiti wa Jukwaa la Katiba Tanzania Bw, Deus Kibamba](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/08/Deus-Kibamba.jpg)
Mwenyekiti wa Jukwaa la Katiba Tanzania Bw, Deus Kibamba
Na Michael Sarungi, Dar es Salaam
JUKWAA la Katiba Tanzania (Jukata) limesema Mwenyekiti wa Bunge Maalumu la Katiba, Samuel Sitta na Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Jaji Frederick Werema ni maadui waliosababisha mchakato wa upatikanaji wa Katiba Mpya kuharibika.
Akizungumza Dar es Salaam jana, Mwenyekiti wa Jukata, Deus Kibamba, alisema viongozi hao kwa nyakati tofauti kwa kutumia nyadhifa zao wameshindwa kutekeleza majukumu yao ipasavyo...
11 years ago
Tanzania Daima04 Jan
JUKATA kutoa tamko rasimu ya katiba
JUKWAA la Katiba Tanzania (JUKATA) linatarajia kutoa tamko kuhusiana na rasimu ya pili ya katiba baada ya kukutana kwa wiki nzima. Akizungumza na Tanzania Daima jana kwa njia ya simu,...
11 years ago
Tanzania Daima26 Apr
Jukata: Rais Kikwete si refa mzuri
JUKWAA la Katiba Tanzania (Jukata) limesema Rais Jakaya Kikwete, amepoteza urefa aliouvaa wakati anaanzisha mchakato wa kupata Katiba na kuvaa jezi ya chama kimoja. Jukata wameeleza kuwa kutokana na hali...
11 years ago
Tanzania Daima13 Feb
JUKATA yalalamikia uteuzi Bunge la Katiba
JUKWAA la Katiba (JUKATA) limesema uteuzi wa wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba uliofanywa na Rais Jakaya Kikwete umewapendelea zaidi makada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM). Uteuzi huo uliotangazwa mwishoni...
11 years ago
Tanzania Daima21 Mar
JUKATA wamwonya Sitta asiongeze muda wa Bunge
JUKWAA la Katiba Tanzania (JUKATA) limemtaka Mwenyekiti wa Bunge Maalumu la Katiba, Samuel Sitta, kuzingatia muda wa kumaliza shughuli za Bunge hilo. Kauli ya Jukata imekuja baada ya kuwepo kwa...
11 years ago
Tanzania Daima15 Mar
Jukata: Rais Kikwete ameshindwa Katiba mpya
JUKWAA la Katiba Tanzania (JUKATA) limesema Rais Jakaya Kikwete ameshindwa kutimiza ahadi ya kuwapatia Watanzania Katiba mpya kabla ya kumaliza uongozi wake. Kauli ya Jukata ilitolewa Dar es Salaam jana...
11 years ago
Tanzania Daima31 May
Jukata yaishauri NEC siku ya kupiga kura
JUKWAA la Katiba Tanzania (Jukata) limeishauri Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kuteua siku ya kazi kuwa siku ya kupiga kura badala ya siku za mwisho wa wiki. Pia limeishauri...
11 years ago
Mwananchi11 Aug
Jukata yataka Katiba mpya isubiri 2016