Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Jukata yatafuta suluhu

Jukwaa la Katiba Tanzania (Jukata) limeandaa mpango wa kusaka suluhu ya mvutano uliopo miongoni mwa wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba wa kundi la Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) na wale wanaounga msimamo wa CCM.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Jukata yamhadharisha JK

>Jukwaa la Katiba Tanzania (Jukata), limemtahadharisha Rais Jakaya Kikwete asiingie kwenye mtego wa wanasiasa wa chama chake cha CCM wanaoiponda Rasimu ya Katiba iliyowasilishwa bungeni Jumatatu kwa kuwa ndiyo iliyobeba maoni ya wananchi

 

11 years ago

BBCSwahili

Cuba yatafuta mwafaka na Marekani

Cuba ina matumaini ya kurejesha uhusiano na Marekani baada ya kuwekewa vikwazo

 

11 years ago

BBCSwahili

Marekani yatafuta mwafaka Afghanistan

Waziri wa maswala ya kigeni nchini Marekani John Kerry anaanza awamu ya pili ya mazungumzo nchini Afghanistan.

 

11 years ago

BBCSwahili

Cameroon yatafuta wachezaji Ulaya

Ujumbe wa kutoka nchini Cameroon wanatarajiwa kwenye nchi Ulaya kuwashawishi wachezajiwa wa nchi hiyo wanachezea katika nchi za ulaya kujiunga na timu ya taifa.

 

9 years ago

Habarileo

Serikali yatafuta mtaalamu abomoe ghorofa

WAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi amesema Sh bilioni moja zimetengwa kwa ajili ya kubomoa jengo lenye ghorofa 16 lililopo kwenye barabara ya Indira Gandhi, Dar es Salaam.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Serikali yatafuta mwekezaji usafiri wa treni

SERIKALI imeruhusu mtu yeyote mwenye uwezo wa kuwekeza katika usafiri wa treni ajitokeze, ili kuuboresha. Naibu Waziri wa Uchukuzi, Charles Tizeba, alieleza hayo mjini hapa jana katika kongamano la uwekezaji...

 

11 years ago

Habarileo

SMZ yatafuta sababu ya wingi wa vyeti bandia

WIZARA ya Katiba na Sheria ya Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imeanza kufanya ukaguzi kujua tatizo la wingi wa vyeti bandia vya vizazi na vifo nchini.

 

9 years ago

BBCSwahili

Runinga yatafuta msichana wa kuigiza Nicki Minaj

Kituo cha runinga cha ABC Family kimetangaza kwamba kitaandaa mahojiano mtandaoni kumtafuta msichana atakayemuigiza Nicki Minaj.

 

9 years ago

BBCSwahili

Malaysia yatafuta mmiliki wa ndege zilizoachwa uwanjani

Serikali ya Malaysia imeweka tangazo magazetini ikitafuta mmiliki wa ndege tatu aina ya Boeing 747 ambazo zimeachwa katika uwanja wa ndege Kuala Lumpur.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani