Julio: Msuva wa nini, ninaye Mrope
Kocha wa Mwadui FC, Jamhuri Kihwelo ‘Julio’ baada ya jana kusikia kuwa Simba imepanga kuifuata Yanga ili kumsajili winga wao machachari, Simon Msuva amedai klabu yake isingeweza kumfuata winga huyo kipindi hiki kwani tayari ina kiboko yake.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Whapl-f-NAY54FwrImRTK1V4BtKrHFT6hQdW5OBKMaBKvnJkG*-jGBtY8kLB7d4iDpMcDDKJD9wDwbqwKKW-vsL3BW7eQTh0/rihama.jpg)
RIYAMA: MCHUMBA NINAYE LAKINI…
10 years ago
Vijimambo16 Oct
MROPE: HALI MBAYA IMENIKIMBIZA STAND UNITED, WACHEZAJI SITA WAMETIMKA, WENGINE ZAIDI KUFUATA…
![](http://shaffihdauda.com/wp-content/uploads/2014/10/s3.png)
10 years ago
Vijimambo13 Feb
MCHUMBA NINAYE ILA NDOA SIYO LEO
![](http://api.ning.com/files/sRY-hG6lRQ9NpTdO4aV0wdOVzuM2JK4kVFMyVPjpVFM57GmRtUX44oFjB7k*qq195XvYIMzdI72JE2NtTZUymuNMqFjbtonU/peny.jpeg?width=650)
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/sRY-hG6lRQ9DwuMpq3OoUcqda50jEv8AqK1drcKTJZGJ0PhOxw-Esr57DgpjJPmudPR7i25UhNa2jT9sxvB09mwwsBVjuPHw/Penny.jpg)
PENNY: MCHUMBA NINAYE ILA NDOA SIYO LEO
9 years ago
Habarileo25 Oct
Msuva matumaini kibao
MFUNGAJI bora wa msimu uliopita wa ligi kuu bara, Simon Msuva amesema kuanzia benchi katika mechi tatu zilizopita hakumtii hofu ya kupoteza nafasi yake ya kuitumikia Yanga.
10 years ago
Mwananchi13 Jun
Msuva hakamatiki 2015
9 years ago
TheCitizen23 Nov
Msuva: Professionalism comes naturally
10 years ago
Vijimambo15 Apr
Yanga wamchanganya Msuva
![](http://www.mwanaspoti.co.tz/image/view/-/2685162/highRes/991420/-/maxw/600/-/ga0tf2/-/msuva+picha.jpg)
Straika wa Yanga, Simon Msuva, akiwa na zawadi yake ya mchele aliyopewa na shabiki wa timu yake kutokana na jitihada zake anazofanya uwanjani.
Msuva ambaye ni kinara wa mabao kwenye safu ya ufungaji bora baada ya kufunga 13, alizawadiwa kilo 30 za mchele wa Mbeya baada ya mechi yao na Mbeya City waliyoshinda 3-1 kumalizika. Zawadi hiyo imetolewa na shabiki maarufu wa Yanga, Ally Yanga.MASHABIKI wa soka wanamchanganya mshambuliaji wa Yanga, Simon Msuva lakini mwenyewe akasema kuwa...
9 years ago
Habarileo23 Dec
Simba haichomoki -Julio
KOCHA wa Mwadui FC Jamhuri Kihwelu ‘Julio’ amesema Simba haitapata nafasi ya kutamba mbele yao katika mchezo ujao kwa kuwa wamejipanga kutoa kipigo kikali.