JUMBA LA KIFAHARI ALILOHAMIA DAVIDO HUKO BANANA ISLAND NIGERIA.
NI Headlines za msanii kutokea Nigeria Davido ambae anamiliki vichwa vya habari nchini Nigeria baada ya kuhamia Banana Island huko lagos nchini Nigeria.
Davido anasema aliondoka alipokuwa akiishi zamani na kuhamia Banana Island kutokana na matunda ya wimbo wake wa Falling , sasa mashabiki wanajiuliza Je atakuwa amenunua Jumba hilo ama atakuwa amepanga.Kwanza nikujuze kidogo historia ya Banana Island ni kisiwa kidogo kilichotengenezwa huko Ikoyi Lagos nchini Nigeria na kikamalizika mwaka 2000...
CCM Blog
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/pog920fjmi8wjSxYm0QdJHk8-j2XQqea*b-KG0QTqZ5i5ud0IRe3JDtG7W5gUes2oqoMUxnumhoGxV9I1SwG*qGIbHIyzjX-/lulu.jpg)
BILIONEA AMPANGISHIA LULU JUMBA LA KIFAHARI
10 years ago
Dewji Blog06 Apr
Mashirika ya ndege ya Boeing 747-8 sasa yaja na ‘jumba la kifahari’ angani
Sehemu ya ndani chumbani kama inavyoonekana.
Na Andrew Chale wa Modewji blog, kwa msaada wa Mashirika ya Habari.
Huenda bado ujasikia juu ya baadhi ya ndege ndogo, za kati na zile kubwa zimekuja na mfumo mpya zaidi ndani ya ndege zao ikiwemo kutengeneza chumba cha kifahari ndani ya ndege kiasi cha kujiona kama upo nyumbani kwako kwenye jumba la kifahari.
Ndege ya Gulfstream G650, miongoni tu waliokuja na mfumo huo kwenye ndege yao hiyo ya usafiri wa anga kifahari, lakini kuna wachache...
10 years ago
VijimamboAJALI MBAYA ILIYOTOKEA HUKO UKONGA BANANA
11 years ago
BBCSwahili23 Mar
Jumba la wafu na wafungwa la Nigeria
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/vZjCFErHAhy5NXdhuGOol5494AYOhaWbFxJubPUj3P1eFywr0ji71Oia-hAzzExsegbt40S*iMZ51d1MfaqE73DtdKMu8tN1/Genevive.jpg?width=650)
WAJUE MASTAA WANANE WA NIGERIA WENYE MAJUMBA YA KIFAHARI
10 years ago
Bongo523 Aug
New Music Video: Kcee feat. Davido — ‘Ogaranya’ (Nigeria)
9 years ago
Mtanzania18 Dec
Linah, Feza jukwaa moja na Davido Nigeria leo
NA MWANDISHI WETU
WANAMUZIKI nyota wa Bongo fleva nchini, Estelina Peter Sanga ‘Linah Sanga’ na Feza Kessy, leo watapanda jukwaa moja na nyota kibao wa Nigeria, katika tamasha kubwa la mwaka la muziki lijulikanalo kwa jina la Soundcity Urban Festival, litakalofanyika Lagos, Nigeria.
Tamasha hilo pia litawashirikisha wasanii wakali nchini humo kama vile Davido, Kiss Daniel, Iyanya na Olamide, huku wengine wakiwa Victoria Kimani, Runtown, Sound Sultan, Lil Kesh, Ycee, Sean Tizzle na...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Z-JJSpQIZ6-N6*yjpOHbQjnUQWOHPzuAETRj57GW1Wna7P*8MCmbe79cou7yjECPfda-CR2RKOd6HfUfQVWUxZ04f7Cshj94/tiwaSaage.jpg?width=650)
TIWA SAVAGE, FLAVOUR, DAVIDO WASHINDWA KUPIGA KURA NIGERIA