Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


BILIONEA AMPANGISHIA LULU JUMBA LA KIFAHARI

Stori: Hamida Hassan, Gladness Mallya na Musa Mateja.
Madai mazito ya kushtua mtaani yanasema kwamba staa wa sinema za Kibongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’, mambo yake kwa sasa yapo juu ya mstari baada ya bilionea kutoka jijini Arusha (jina tunalihifadhi kwa sasa) kudaiwa kujitosa kumlea akianza kwa kumpangishia jumba kubwa la kifahari. Staa wa sinema za Kibongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’, akiwa na begi...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

CCM Blog

JUMBA LA KIFAHARI ALILOHAMIA DAVIDO HUKO BANANA ISLAND NIGERIA.


NI Headlines za msanii kutokea Nigeria Davido ambae anamiliki vichwa vya habari nchini Nigeria baada ya kuhamia Banana Island huko lagos nchini Nigeria.Davido anasema aliondoka alipokuwa akiishi zamani na kuhamia Banana Island kutokana na matunda ya wimbo wake wa Falling , sasa mashabiki wanajiuliza Je atakuwa amenunua Jumba hilo ama atakuwa amepanga.Kwanza nikujuze kidogo historia ya Banana Island ni kisiwa kidogo kilichotengenezwa  huko Ikoyi Lagos nchini Nigeria na kikamalizika mwaka 2000...

 

10 years ago

Dewji Blog

Mashirika ya ndege ya Boeing 747-8 sasa yaja na ‘jumba la kifahari’ angani

 

This Luxury Boeing 747-8 for the Super-Rich is a Palace in the SkyMost of us can’t afford to fly first-class, let alone buy our own jet. And even within that exclusive world, it’s a big step up from your standard private jet to a personalized Boeing 747-8. Greenpoint Technologies, of Kirkland, recently fitted out the industry’s first VIP 747-8 for a private, undisclosed client.Sehemu ya ndani chumbani kama inavyoonekana.

Na Andrew Chale wa Modewji blog, kwa msaada wa Mashirika ya Habari.

Huenda bado ujasikia juu ya baadhi ya ndege ndogo, za kati na zile kubwa zimekuja na mfumo mpya zaidi ndani ya ndege zao ikiwemo kutengeneza chumba cha kifahari ndani ya ndege kiasi cha kujiona kama upo nyumbani kwako kwenye jumba la kifahari.

rawimage-11

Ndege ya Gulfstream G650,  miongoni tu waliokuja na mfumo huo kwenye ndege yao hiyo ya usafiri wa anga kifahari, lakini kuna wachache...

 

9 years ago

Mwananchi

Majengo ya kifahari Moshi kubomolewa

Majengo ya kifahari yaliyojengwa ndani ya mita 60 kutoka kwenye vyanzo vya maji katika Manispaa ya Moshi mkoani Kilimanjaro yanatarajiwa kubomolewa wakati wowote kuanzia kesho.

 

11 years ago

BBCSwahili

Pistorius kuuza nyumba yake ya kifahari

Mwanariadha mlemavu wa Afrika Kusini Oscar Pistorious atauza nyumba yake ili aweze kumudu gharama ya kesi ya mauaji inayomkabili.

 

11 years ago

Tanzania Daima

‘Serikali iache kununua magari ya kifahari’

SERIKALI imeshauriwa kuacha kununua magari ya kifahari, badala yake fedha hizo zielekezwe katika kununua magari na kujenga majengo kwa ajili ya Jeshi la Polisi. Akiuliza swali bungeni jana, Mbunge wa...

 

11 years ago

GPL

Yondani amjengea baba yake nyumba ya kifahari

Kelvin Yondani. Na Khadija Mngwai
IMEBAINIKA kuwa, Beki wa Yanga, Kelvin Yondani, amemhamisha mji baba yake mzazi mzee Patrick Yondani kutoka Mwanza na kuhamia Dar es Salaam.
Yondani amekuwa na mafanikio makubwa katika kuichezea Yanga kutokana na umahiri wake ambapo amekuwa akiisaidia kutokana na kuwa beki bora. Kikizungumza na Championi Jumatatu, chanzo cha kuaminika kutoka Mwanza kinachokaa karibu na mzee huyo, kimeeleza...

 

10 years ago

Bongo Movies

LULU: Mimi ni Mchamungu,Mwenye Matarajio Makubwa Maishani…That’s Lulu

"Mimi ni mcha Mungu, mpenda maendeleo,ni mtu ambae nipo focused,ni mtu ambae nina matarajio makubwa,mtuambae nataka kufika mbali-That’s Lulu "

Muigizaji wa Filamu, Elizabeth Michael “Lulu” aliyasema  hayo leo akiwa studio kabla ya kuimbiwa wimbo Dogo Aslay msanii kutoka yamoto Band.

 

 

 

10 years ago

GPL

WAJUE MASTAA WANANE WA NIGERIA WENYE MAJUMBA YA KIFAHARI

Genevieve Nnaji
Hili ni jumba la mwigizaji Genevieve Nnaji ambalo alilinunua jijini Accra, Ghana. Jengo hilo lina thamani ya dola milioni nne (Sh. Bilioni 8.6) likiwa eneo la Achimota. Daniella Okeke
Huu ni mjengo unaotisha wa Daniella Okeke ambao una thamani ya mamilioni. Ini Edo Haya ni makazi ya Ini Edo, mmoja wa nyota maarufu wa filamu nchini Nigeria ambako… ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani