Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Jumuiya ya kimataifa yaombwa kusaidia huduma kambi ya Nyarugusu

IMG_6503

Mratibu Mkazi wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa na Mwakilishi wa Shirika la Maendeleo (UNDP), Alvaro Rodriguez (wa pili kulia) na ujumbe wake aliombatana nao Mwakilishi wa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Idadi ya watu duniani (UNFPA) nchini, Dkt. Natalia Kanem (wa pili kushoto) pamoja na Ofisa wa Mambo ya Nje kutoka Idara ya Ushirikiano wa Kimataifa katika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Maulidah Hassan (kushoto) kabla ya kuelekea kambi ya Nyarugusu walipita...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

Idadi ya wakimbizi Kambi ya Nyarugusu yaongezeka

Idadi ya wakimbizi kutoka Burundi wanaokimbia nchi yao na kuingia nchini Tanzania imefikia 91,661 hadi kufikia jana Jumanne.  Wakimbizi hao kwa sasa wamehifadhiwa katika Kambi ya Wakimbizi ya Nyarugusu iliyoko wilayani Kasulu mkoani Kigoma.

 

10 years ago

Michuzi

ZOEZI LA UHAKIKI WAKIMBIZI KAMBI YA NYARUGUSU LAFIKIA UKIKONGONI

Mratibu wa Idara ya Wakimbizi Kanda ya Kigoma, Tony Laiser akiwaongoza Wakimbizi wazee kutoka nchini Kongo leo kufanyiwa uhakiki wa taarifa zao ili watambulike rasmi kuwa ni wakimbizi katika Kambi ya Nyarugusu, iliyopo Wilaya ya Kasulu mkoani Kigoma. Zaidi ya familia za Wakimbizi 14,000 ikiwa ni sawa na Wakimbizi 68,000 wamefanyiwa uhakiki huo kambini hapo.Mratibu wa Idara ya Wakimbizi Kanda ya Kigoma, Tony Laiser (kulia) akimuhoji Mkimbizi kutoka nchini Burundi, Bibi Karumere...

 

9 years ago

Michuzi

IDADI YA WAKIMBIZI KUTOKA BURUNDI YAONGEZEKA KATIKA KAMBI YA NYARUGUSU

 Mkimbizi kutoka nchini Burundi, Jacqueline Elulu (mwenye mtoto), akisubiri kupata huduma ya afya katika kituo cha Red Cross kinachotoa huduma za afya kwa wakimbizi walioko katika kambi ya Nyarugusu iliyoko wilayani Kasulu mkoani Kigoma. Shirika la Red Cross ni mojawapo ya wadau wanaoshirikiana na Serikali kutoa huduma za afya katika kambi ya Nyarugusu. Mkimbizi kutoka Burundi akipata huduma ya maji katika moja ya vituo vya maji vilivyojengwa katika Kambi ya wakimbizi ya Nyarugusu.  Huduma...

 

9 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU WA WIZARA YA MAMBO YA NDANI ATEMBELEA KAMBI YA WAKIMBIZI NYARUGUSU.

 Mkurugenzi  wa  Idara  ya Wakimbizi  kutoka  Wizara    ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Harrison Mseke (kushoto) akizungumza  na watumishi wa mashirika  mbalimbali yaliyoko katika kambi ya Wakimbizi ya Nyarugusu iliyoko wilayani Kasulu mkoani Kigoma (hawapo pichani) wakati wa ziara ya Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mbarak Abdulwakil (kulia) aliyetembelea kambi hiyo jana.  Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mbarak Abdulwaki l(katikati), akiongozana na Mkuu wa Kambi...

 

9 years ago

Dewji Blog

Wakimbizi kutoka Burundi waendelea kuwasili kambi ya Nyarugusu, Kasulu Kigoma

PICHA 1Mkimbizi  kutoka  Burundi,  Philipo Nyandungulu,   akishuka  kutoka  kwenye  basi  baada  ya  kuwasili katika  kambi  ya  wakimbizi  ya  Nyarugusu  iliyoko  Kasulu  mkoani  Kigoma.   Idadi  ya  wakimbizi  kutoka  Burundi  imekuwa  ikiongezeka  siku  hadi  siku  na  Wizara  ya  Mambo  ya Ndani ya Nchi kwa kushirikiana na Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia Wakimbizi (UNHRC) imekuwa ikiwahifadhi kwa muda katika kambi hiyo.

PICHA 2

Baadhi ya wakimbizi kutoka nchini Burundi, wanaohifadhiwa katika...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Serikali yaombwa kusaidia chakula Ngorongoro

SERIKALI imeombwa kuchukua hatua za haraka kuhakikisha inasaidia wananchi waishio katika Tarafa ya Ngorongoro ambao hivi sasa wanakabiliwa na uhaba wa chakula na kuchangia mahudhurio duni ya wanafunzi shuleni. Ombi...

 

11 years ago

Habarileo

Canada yaombwa kusaidia umeme vijijini

SERIKALI imeiomba Canada kusaidia upatikanaji wa dola za Marekani milioni 300 (sawa na Sh bilioni 480) kwa ajili ya miradi ya kupeleka umeme vijijini.

 

10 years ago

BBCSwahili

NATO yaombwa kusaidia Afrika Magharibi

Ulaya imetoa wito kwa jumuia ya kujihami NATO kusaidia mapambano dhidi ya Ebola Afrika magharibi

 

10 years ago

Michuzi

WAKIMBIZI KAMBI YA NYARUGUSU WAMPOKEA KWA SHANGWE WAZIRI CHIKAWE WILAYANI KASULU

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe (wapili kushoto) akiwasalimia wacheza ngoma ya asili ya nchini Kongo iliyokuwa ikichezwa na wakimbizi wenye asili hiyo wakati alipokuwa anaingia katika Ukumbi wa Mikutano uliopo katika Kambi ya Wakimbizi ya Nyarugusu, Kasulu mkoani Kigoma kwa ajili ya kuzungumza nao. Waziri Chikawe alifanya mkutano na baadhi ya wakimbizi hao na kuwataka kulinda amani pamoja na kupinga ndoa za utotoni ambazo zinaendelea kushika kasi katika kambi hiyo kubwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani