Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


JUMUIYA YA VIJANA WASIO NA AJIRA YAZINDULIWA ZANZIBAR

Mratibu wa Jumuiya ya Vijana wasio na ajira Tanzania Nd. Ussi Said Suleiman akitoa maelezo kwa Baadhi ya Vijana wasio na ajira waliohudhuria katika Mkutano wa kuitambulisha Jumuiya hiyo uliofanyika katika ukumbi wa Water front Hall Rahaleo Mjini Zanzibar. Baadhi ya Vijana waliohudhuria katika Mkutano wa kuitambulisha Jumuiya mpya ya Vijana wasio na ajira Tanzania, wakimsikiliza Mratibu wa Jumuiya hiyo Nd. Ussi Said Suleiman (hayupo pichani). Mmoja wa Vijana wasio na ajira Zaituni Haji Mdigo ...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Mkutano wa tano wa Jumuiya ya Vijana wasio na ajira Tanzania (TUWEPO) zanzibar

 Mwenyekiti wa Jumuiya ya Vijana wasio na ajira Tanzania (TUWEPO) Ussi Said Suleiman akitoa maelezo mafupi ya Jumuiya hiyo na kumkaribisha mgeni rasmi Mwakilishi wa jimbo la Rahaleo Mhe. Nassor Salim Ali kuzungumza na wanajumuiya. Watendaji wa wakuu wa Jumuiya ya TUWEPO wakimskiliza kwa makini Mwakilishi wa jimbo la Rahaleo Mhe. Nassor Salim Ali (hayupo pichani) alipokuwa akiwahutubia. Mwakilishi wa jimbo la Rahaleo Mhe. Nassor Salim Ali akiwahutubia vijana wa Jumuiya ya TUWEPO katika...

 

10 years ago

Michuzi

Waingereza wajitosa kusaidia vijana wasio na ajira

Na Ripota Maalum.
Serikali ya Uingereza imebuni mbinu ya kuwasaidia vijana wa Tanzania katika kukabiliana na vikwazo katika soko la ajira kwa kuwapa maarifa na mikakati ya kujiajiri na kujinadi kwa waajiri .
Vikwazo vinavyowakabili vijana katika soko la ajira ni pamoja na kutokuwa na maarifa ya kupata kazi na tabia ambazo zitawawezesha kuwa karibu na wafanyakazi wenzao,kutoa maamuzi magumu , kutatua matatizo kuweka heshima na mwisho kuwa wawakilishi bora wa taasisi wanayotumikia .
Kwa kutambua...

 

11 years ago

Michuzi

JUMUIYA YA MARADHI YASIOAMBUKIZA (ZNCDA) YAZINDULIWA RASMI ZANZIBAR

 Kaimu Katibu wa Jumuiya ya Maradhi yasioambukiza Zanzibar (ZNCDA) akitoa maelezo ya Jumuiya yao katika uzinduzi wa Jumuiya hiyo uliofanyika viwanja vya Kibanda maiti Mjini Zanzibar  Mwenyekiti wa Jumuiya ya maradhi yasiyoambukiza Nchini Denmack(NCD) Bibi. Susanne Volqvartz ambao ni wafadhili wa (ZNCDA) akitoa salamu ya Jumuiya yake  katika sherehe ya uzinduzi wa  Jumuiya ya Maradhi yasioambukiza Zanzibar ulifanyika viwanja vya Kibanda maiti Mjini Zanzibar.
 Mgeni rasmin Mkurugenzi wa...

 

5 years ago

Michuzi

MITANDAO YA KIJAMII YAZIDI KUONGEZA WIGO WA AJIRA KWA VIJANA,'APP' YA BIDHAA YA KEKI YAZINDULIWA LEO JIJINI DAR

Mitandao ya kijamii   imeongeza wigo katika ajira kwa vijana kufanya ubunifu mbalimbali ikiwemo uuzaji wa bidhaa kwa kutumia mitandao hiyo.

Hayo yamesemwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Melisa Lilian Ringo wakati akizindua App kwa ajili ya Keki iliyofanyika leo, jijini Dar es Salaam.

Ringo amesema kuwa watu wanaohitaji Keki watakwenda kwenye mtandao na kufungua 'Melisa Cake'  na kuchagua aina mbalimbali za Keki.Amesema mteja akiingia katika App hiyo atachagua Keki aitakayo baada ya hapo ...

 

11 years ago

Michuzi

Dkt. Shein azindua Kongamano la ajira kwa Vijana leo Bwawani Zanzibar

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akifungua kongamano la siku mbili la Kitaifa la Ajira kwa Vijana katika ukumbi Salama Bwawani Hotel Mjini Unguja leo. Baadhi ya washiriki katika Kongamano la Kitaifa la Ajira kwa Vijana wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,alipokuwa akitoa hutuba yake ya ufunguzi leo katika ukumbi wa Salama Bwawani Hotel Mjini Unguja.Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.

 

5 years ago

Michuzi

HUSSEIN MAKUNGU 'BHAA' "NIKIPATA URAIS NITAKUZA UCHUMI WA ZANZIBAR NA AJIRA KWA VIJANA


NA ANDREW CHALE, ZANZIBAR

MWAKILISHI wa Jimbo la Mtoni na Mbunge wa Bunge la Jamhuri ya
 Muungano, kupitia nafasi tano za Uwakilishi, Mhe. Hussein Ibrahim Makungu maarufu "Bhaa' amechukua fomu ya kuwania kugombea Urais wa Zanzibar kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi CCM.

Bhaa amepongeza Demokrasia ndani ya CCM kwa wenye sifa kujitokeza kuwania nafasi hiyo nyeti na endapo atapitishwa kugombea Urais ameahidi ataleta mageuzi ya kiuchumi na ajira kwa Vijana huku kudumisha Muungano uliopo...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wasio na ajira rasmi kunufaika uchangiaji wa hiari PSPF

MABADILIKO katika sekta ya hifadhi ya jamii yameleta neema baada ya kuwepo na mabadiliko ya sheria ya mfuko. Sheria ya mfuko inaruhusu kusajili wanachama katika sekta zote za umma na...

 

10 years ago

Habarileo

'Wasio na ajira ni udongo ‘hatari’ wenye rutuba'

RAIS Jakaya Kikwete, amefananisha vijana wasio na ajira na udongo wenye rutuba, ambao unaweza kupandwa mbegu mbaya ya kuondoa uzalendo na wanasiasa na viongozi wa dini wenye msimamo mkali.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani