Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Waingereza wajitosa kusaidia vijana wasio na ajira

Na Ripota Maalum.
Serikali ya Uingereza imebuni mbinu ya kuwasaidia vijana wa Tanzania katika kukabiliana na vikwazo katika soko la ajira kwa kuwapa maarifa na mikakati ya kujiajiri na kujinadi kwa waajiri .
Vikwazo vinavyowakabili vijana katika soko la ajira ni pamoja na kutokuwa na maarifa ya kupata kazi na tabia ambazo zitawawezesha kuwa karibu na wafanyakazi wenzao,kutoa maamuzi magumu , kutatua matatizo kuweka heshima na mwisho kuwa wawakilishi bora wa taasisi wanayotumikia .
Kwa kutambua...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

JUMUIYA YA VIJANA WASIO NA AJIRA YAZINDULIWA ZANZIBAR

Mratibu wa Jumuiya ya Vijana wasio na ajira Tanzania Nd. Ussi Said Suleiman akitoa maelezo kwa Baadhi ya Vijana wasio na ajira waliohudhuria katika Mkutano wa kuitambulisha Jumuiya hiyo uliofanyika katika ukumbi wa Water front Hall Rahaleo Mjini Zanzibar. Baadhi ya Vijana waliohudhuria katika Mkutano wa kuitambulisha Jumuiya mpya ya Vijana wasio na ajira Tanzania, wakimsikiliza Mratibu wa Jumuiya hiyo Nd. Ussi Said Suleiman (hayupo pichani). Mmoja wa Vijana wasio na ajira Zaituni Haji Mdigo ...

 

10 years ago

Michuzi

Mkutano wa tano wa Jumuiya ya Vijana wasio na ajira Tanzania (TUWEPO) zanzibar

 Mwenyekiti wa Jumuiya ya Vijana wasio na ajira Tanzania (TUWEPO) Ussi Said Suleiman akitoa maelezo mafupi ya Jumuiya hiyo na kumkaribisha mgeni rasmi Mwakilishi wa jimbo la Rahaleo Mhe. Nassor Salim Ali kuzungumza na wanajumuiya. Watendaji wa wakuu wa Jumuiya ya TUWEPO wakimskiliza kwa makini Mwakilishi wa jimbo la Rahaleo Mhe. Nassor Salim Ali (hayupo pichani) alipokuwa akiwahutubia. Mwakilishi wa jimbo la Rahaleo Mhe. Nassor Salim Ali akiwahutubia vijana wa Jumuiya ya TUWEPO katika...

 

10 years ago

BBCSwahili

Vijana wajitosa kuuza Mbao Tanzania

Nguvu kazi inayotumika katika kukata miti na kupasua mbao wilayani mufindi mkoani Iringa nyanda za juu kusini inatoka kwa vijana.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wasio na ajira rasmi kunufaika uchangiaji wa hiari PSPF

MABADILIKO katika sekta ya hifadhi ya jamii yameleta neema baada ya kuwepo na mabadiliko ya sheria ya mfuko. Sheria ya mfuko inaruhusu kusajili wanachama katika sekta zote za umma na...

 

10 years ago

Habarileo

'Wasio na ajira ni udongo ‘hatari’ wenye rutuba'

RAIS Jakaya Kikwete, amefananisha vijana wasio na ajira na udongo wenye rutuba, ambao unaweza kupandwa mbegu mbaya ya kuondoa uzalendo na wanasiasa na viongozi wa dini wenye msimamo mkali.

 

10 years ago

Michuzi

WAKALA WA AJIRA TANZANIA WAELEZA MIKAKATI YAO YA KUWASAIDIA VIJANA WANAOKUBWA NA JANGA LA KUKOSA AJIRA

Afisa Habari wa Wakala wa Ajira Tanzania (TaESA) Jamilah Mbarouk akiongea na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam kuelezea mkakati wao wa kuanzisha mafunzo ili kuweza kuwasaidia vijana wahitimu ili wakabiliane na soko la ajira, Wakala umekuwa ukitoa mafunzo ya namna ya kushindania fursa za ajira. Mafunzo haya yamevutia watafutakazi wengi ambao tayari wako sokoni na walioko vyuoni. Aidha mafunzo haya yamewabadilisha vijana wengi waliohudhuria kuhusu suala zima la kuajiriwa na...

 

10 years ago

Michuzi

VIJANA WAFURIKA BANDA LA TBL MAONESHO YA AJIRA KWA VIJANA DAR

 Vijana kutoka vyuo mbalimbali wakiwa katika semina ya jinsi ya kutafuta ajira kwenye taasisi mbalimbali wakati wa Maonesho ya Ajira kwa Vijana, kwenye Ukumbi wa Don Bosco, Upanga, Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. Baadhi ya wanafunzi wa vyuo vikuu wakijaza kwenye fomu za kutafuta ajira katika Banda la Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), wakati wa Maonesho ya vijana wa vyuo ya kupata fursa ya ajira katika taasisi mbalimbali  (Careers Fair 2014) katika Ukumbi wa Don Bosco, Upanga, Dar es Salaam....

 

11 years ago

Bongo5

Siku ya Vijana Duniani: ‘Vijana na Afya ya Akili’, Tusipokabiliana na ukosefu wa ajira na kupewa nguvu ya maamuzi, hatutaweza

Miaka 15 iliyopita, Umoja wa Mataifa uliitangaza August 12 kila mwaka, kuwa ‘Siku ya Vijana Duniani’ ambapo kauli mbiu ya mwaka huu inasema ‘Vijana na Afya ya Akili’. Kwa mujibu wa andiko kutoka Umoja wa Mataifa, asilimia 20 ya vijana duniani kote hupata tatizo linalohusiana na afya ya akili kila mwaka. Hatari zaidi hutokea katika […]

 

10 years ago

Habarileo

Kituo cha biashara kusaidia kuongeza ajira

KITUO cha Kimataifa cha Biashara (ITC) kimesema kipo tayari kutumia rasilimali zilizopo Zanzibar kuisaidia serikali kutekeleza mkakati wake wa kuongeza ajira kwa vijana na wanawake.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani