Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Just Got Paid: Lite Up wikiendi yako na bia maarufu Afrika!

Anza na “Just Got Paid” Azura tarehe 26 Septemba kuanzia saa 3 usiku mpaka kukuche ukijikita na midundo ya muziki wa ukweli pamoja na Castle LITE ya baridi. Endeleza wikiendi yako Jumamosi 27 Septemba kuanzia saa 7 mchana mpaka 2 usiku, kwa kujiachia na mUziki laini wakati jua likizama kwenye fukwe za Coral Beach katika […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

BIA YA CASTLE LITE YAZINDUA PROMOSHENI YA “LITE UP THE WEEKEND”

Meneja msaidizi wa Castle Lite, Victoria Kimaro akizungumza katika uzinduzi wa kampeni ya shindano la Lite Up The Weekend ambapo washindi watajipatia VIP tiketi ya kushiriki katika Yacht Party. Katikati ni Meneja wa Castle Lite Geofray Makau na pembeni ni meneja masoko wa Castle Lite Vimal Vaghmaria. Wanahabari wakielekea eneo la maegesho ya Yacht itakayotumika katika kilele cha cha kampeni ya Lite Up The Weekend.… ...

 

11 years ago

Michuzi

Castle lite Yazindua Promosheni ya Lite up the wekeend.!

 Meneja masoko wa bia ya Castle lite Vimal Vaghmaria  kushoto mwenye miwani,Meneja wa Castle lite  Geofray makau   katikati na Meneja msaidizi wa Castle lite Tanzania Victoria kimaro wakionyesha chupa ya bia hiyo kwenye uzinduzi wa kampeni ya shindano la kuwapata washindi wa Castle lite VIP Yacht Party ambapo washindi watafanya tamasha kubwa ndani ya Boti katika bahari ya Hindi.  Baadhi ya waandishi wa habari waliohudhuria uzinduzi huo katika Hotel ya Slip way washindi wa Castle lite VIP...

 

11 years ago

BBCSwahili

Kenyatta maarufu kwa Twitter Afrika

Rais wa Kenya uhuru Kenyatta ampiku Paul Kagame kama Rais anayejishughulisha zaidi kwenye mtandao wa Twitter Afrika.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Castle Lite yazindua Lite Up

KAMPUNI ya Bia Tanzania (TBL) kupitia kinywaji chake cha Castle Lite, jana ilizindua promosheni maalum ya ‘Lite Up The Weekend’ itakayoendeshwa kwa muda wa miezi mitatu. Kwa mujibu wa Meneja...

 

10 years ago

Mwananchi

Don Jazzy: Mlinzi aliyefanikiwa kuwa maarufu Afrika

Unapozungumzia watayarishaji wa muziki wanaofanya vizuri kwa sasa barani Afrika lazima jina la Don Jazzy litakuwa kwenye orodha hiyo.

 

10 years ago

BBCSwahili

Klabu ipi maarufu zaidi Afrika ligi ya England?

Kwa mashabiki wa soka barani Afrika, Ligi Kuu ya England ndio sasa basi, ndio mwisho wa kila kitu, ndio eneo lao la maabadi.

 

10 years ago

Michuzi

WANAHABARI MBEYA WATEMBELEA KIWANDA CHA BIA CHA TBL NA KUSHIRIKI SHINDANO LA KUONJA BIA

WAANDISHI wa Habari Mkoa wa Mbeya hivi karibuni walifanya ziara ya kutembelea kiwanda cha bia TBL Mbeya ambapo pia walipata nafasi ya kushiriki mashindano ya kuonja bia.
Katika shindano hilo, Mzoefu Saada Matiku ambaye ni mwandishi wa Chanel Ten aliibuka kidedea kwa kupata alama tano kwa tano ikiwa ni mara ya pili tangu apate nafasi kama hiyo kwenye mashindano ya mwaka juzi.
washindi wengine ni Kenneth Ngelesi wa Tanzania Daima aliyeibuka mshindi wa pili huku Merali Chawe wa Daily news...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani