JWTZ MILIONEA ALIVYOUAWA KWA RISASI
![](http://api.ning.com:80/files/HH5EPnzPgDKwk3GWXb7vj15qYE3KLdCdP7qtel0ZbVWbh1JJRa-gz7FDAvJfFtH6TuZXHEHB2GBcwwbsiWDPaq-vE02jEozQ/milion.jpg)
Stori: Haruni Sanchawa na Makongoro Oging’ NI taharuki iliyojaa majonzi na simanzi kufuatia Jeshi la Wananchi wa Tanzania ‘JWTZ’ Kikosi cha CMTU jijini Dar kuondokewa na mpiganaji wake, Sajenti Yohana Lugendo Gweso (40) ambaye alikuwa milionea aliyepigwa risasi sita mwilini na kufariki dunia papo hapo. Mwili wa marehemu Sajenti Yohana Lugendo Gweso (40) wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/iPu63cE5yCAXvl9OVHbtJL-VnvOm106XYxOz-96-a9unRlsfbOGB8k*kQrihvTHCQgkzBZQhT2*PlfDMwFh4aTDpGC5B5jZT/mwingira.jpg)
MSAIDIZI WA MWINGIRA ALIVYOUAWA KWA RISASI
9 years ago
MillardAyo29 Dec
Baada ya kuuwawa kwa risasi kwa staa wa soka wa Honduras, staa mwingine tena kauwawa kwa risasi
Ikiwa ni zaidi ya wiki moja toka mchezaji wa timu ya taifa ya Honduras Arnold Peralta itangazwa kauwawa kwa risasi, December 28 mitandao mingi ya Ulaya imeripoti kifo cha staa mwingine wa soka aliyeuwawa kwa kupigwa risasi. December 27 aliyekuwa mchezaji wa timu ya taifa ya El Salvador Alfred Pacheco ameuawa kwa kupigwa na risasi wakati akiwa […]
The post Baada ya kuuwawa kwa risasi kwa staa wa soka wa Honduras, staa mwingine tena kauwawa kwa risasi appeared first on...
11 years ago
CloudsFM12 Jun
MAHAKAMA YAELEZWA JINSI BILIONEA ERASTO MSUYA ALIVYOUAWA KINYAMA KWA KUTUMIA BUNDUKI YA SMG
Bunduki ya kivita aina ya Sub Machine Gun (SMG) iliyotumika kumuua mfanyabiashara tajiri wa Mirerani, Erasto Msuya, ilinunuliwa kwa Sh4 milioni nchini Kenya, Mahakama imeelezwa.
Imeelezwa pia kwamba wauaji wanne waliokwenda eneo la tukio kutekeleza mauaji hayo, walilipwa Sh5 milioni kila mmoja na washirika wao wakilipwa Sh3 milioni kila mmoja.
Hayo yamo katika maelezo ya mashahidi 57 kwa washtakiwa yalisomwa mbele ya Hakimu Mkazi wa Mkoa Kilimanjaro, Munga Sabuni juzi na mawakili wa...
11 years ago
Mwananchi16 Feb
Jaguar; mwanamuziki milionea aliyeanza kwa kuosha magari
10 years ago
Bongo Movies26 Nov
5 years ago
BBCSwahili26 May
Rusty Hutson: Mwanamume aliyekuwa milionea kwa kununua visima 60,000 vya mafuta na gesi
11 years ago
Mwananchi12 Jun
Mahakama yaelezwa bilionea wa madini alivyouawa
10 years ago
Dewji Blog01 Sep
Pongezi kwa JWTZ kwa kutimiza miaka 50 tokea kuanzishwa
Askari wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) wakiwa kwenye maonyesho Katika Uwanja wa Taifa.Picha na Maktaba.
Na Josephat Lukaza – Lukaza Blog.
Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) leo limetimiza Miaka 50 toka Kuanzishwa kwake mnamo tarehe 1/09/1964. JWTZ ni moja ya Jeshi lililotajwa na Mtandao mmoja hivi karibuni kuwa Ni Jeshi lenye weredi wa hali juu Duniani kutokana na Operesheni ambazo wamewahi kuzifanya na...
11 years ago
Dewji Blog04 Jul
JWTZ yatambulika duniani kwa umahiri
Majeshi Maalum (Special Forces) ya Jeshi la Wananchi wa Tanzania yanayolinda amani Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) ni miongoni mwa vikosi bora 35 vya majeshi ya nchi mbali duniani vinavyokubali kuwa na ufanisi wa hali ya juu, uwezo mkubwa wa kupigana na vilivyofundishwa vizuri.
Kwa mujibu wa Mtandao wa Imgur Via Distractify, Tanzania na jeshi lake ni nchi pekee ya Afrika kuweza kuwa na majeshi yake miongoni mwa majeshi bora duniani.
Chini ya kichwa cha habari “35 Most...