MSAIDIZI WA MWINGIRA ALIVYOUAWA KWA RISASI
![](http://api.ning.com:80/files/iPu63cE5yCAXvl9OVHbtJL-VnvOm106XYxOz-96-a9unRlsfbOGB8k*kQrihvTHCQgkzBZQhT2*PlfDMwFh4aTDpGC5B5jZT/mwingira.jpg)
Na Mayasa Mariwata INASIKITISHA! Mchungaji kiongozi wa Kanisa la Efatha, Nabii Josephat Mwingira, mwishoni mwa wiki alimpoteza mkalimani wake, Adson Philip Cheyo aliyeuawa kwa kupigwa risasi katika viwanja vya Mlimani City jijini Dar es Salaam. Mazishi ya ya aliyekuwa msaidizi wa Mchungaji kiongozi wa Kanisa la Efatha, Nabii Josephat Mwingira , marehemu Adson Philip Cheyo yakiendelea.… ...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/HH5EPnzPgDKwk3GWXb7vj15qYE3KLdCdP7qtel0ZbVWbh1JJRa-gz7FDAvJfFtH6TuZXHEHB2GBcwwbsiWDPaq-vE02jEozQ/milion.jpg)
JWTZ MILIONEA ALIVYOUAWA KWA RISASI
9 years ago
MillardAyo29 Dec
Baada ya kuuwawa kwa risasi kwa staa wa soka wa Honduras, staa mwingine tena kauwawa kwa risasi
Ikiwa ni zaidi ya wiki moja toka mchezaji wa timu ya taifa ya Honduras Arnold Peralta itangazwa kauwawa kwa risasi, December 28 mitandao mingi ya Ulaya imeripoti kifo cha staa mwingine wa soka aliyeuwawa kwa kupigwa risasi. December 27 aliyekuwa mchezaji wa timu ya taifa ya El Salvador Alfred Pacheco ameuawa kwa kupigwa na risasi wakati akiwa […]
The post Baada ya kuuwawa kwa risasi kwa staa wa soka wa Honduras, staa mwingine tena kauwawa kwa risasi appeared first on...
11 years ago
CloudsFM12 Jun
MAHAKAMA YAELEZWA JINSI BILIONEA ERASTO MSUYA ALIVYOUAWA KINYAMA KWA KUTUMIA BUNDUKI YA SMG
Bunduki ya kivita aina ya Sub Machine Gun (SMG) iliyotumika kumuua mfanyabiashara tajiri wa Mirerani, Erasto Msuya, ilinunuliwa kwa Sh4 milioni nchini Kenya, Mahakama imeelezwa.
Imeelezwa pia kwamba wauaji wanne waliokwenda eneo la tukio kutekeleza mauaji hayo, walilipwa Sh5 milioni kila mmoja na washirika wao wakilipwa Sh3 milioni kila mmoja.
Hayo yamo katika maelezo ya mashahidi 57 kwa washtakiwa yalisomwa mbele ya Hakimu Mkazi wa Mkoa Kilimanjaro, Munga Sabuni juzi na mawakili wa...
11 years ago
Mwananchi12 Jun
Mahakama yaelezwa bilionea wa madini alivyouawa
9 years ago
Global Publishers05 Jan
Watu 8 akiwemo Msaidizi wa IGP Wafariki Dunia Kwa Kusombwa na Maji Dodoma
Eneo la tukio, maaskari wakiukagua mwili wa marehemu.
Gari walilopata nalo ajali
WATU 8 wamefariki dunia katika ajali iliyosababishwa na gari kusombwa na maji huku watu 6 wakiwa wa familia moja.
Kwa mujibu wa Kamanda wa polisi mkoa wa Dodoma, Davidi Misime amesema majira ya saa tatu usiku Jumapili, wananchi wa Kibaigwa walitoa taarifa jeshi la polisi kwa madai kwamba kuna gari limesombwa na maji na limetumbukia katika mkondo wa maji.
Amesema baada ya jeshi kupata taarifa hizo polisi...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/n7ZUxQJY0YtFZ0aCA-rlHTMbepAa1Lgw3nHYoQJiG2e6Fmz0IsbBbTjnY9-v7HLNQn-jltWu89RtGpoUKECb*ggRPKpaPVbU/mwigira.jpg?width=650)
MWINGIRA AGOMA KUPIMA UKIMWI
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/NvWHU5oq4TbJpCumJe73Df9tWkW1FmxkuLTI6ynQUsHKiStl43FDiWraekOw6hu6dd8ZbCY-Ja2eXcLKTO5ICZgAuPbuwsVn/mzungu.jpg?width=650)
MZUNGU AMBURUZA MWINGIRA KORTINI
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/mhrng7eeJg0g8vXOg-GNwNJiZ2FGxJA8JmPUe9IaEs1fw5xLkMwTMQ1WzyCPzGMrt0NI6XjYGvGeat6xhj7FVEfa291lIfce/MWINGIRA.jpg?width=650)
ANAYEDAIWA KUZAA NA MWINGIRA AZUA MAPYA
10 years ago
Mtanzania02 Jan
Nabii Mwingira amtabiria Nyalandu ukuu
Na Ratifa Baranyikwa, Dar es Salaam
SIKU chache baada ya kutangaza kujitosa rasmi kuwania ukuu wa dola, Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu, ameadhimisha sherehe za mwaka mpya wa 2015 katika Kanisa la Efatha huku Mchungaji wa Kanisa hilo, Josephat Mwingira, akimtabiria ushindi wa safari aliyoianza.
Zaidi Mwingira alisema neno hilo ni la kinabii na kusisitiza hakuna wa kumzuia Nyalandu kwa sababu ukuu umeamriwa juu yake.
Katika ibada hiyo ya mkesha wa mwaka mpya ambayo Nyalandu...