Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kaa tayari kwa ‘Movement’ mpya ya WBTA na Tanzania mpya!!!

Monika & Us_00000 copyMiongoni mwa viongozi waandamizi wa WBTA, ambao ni mapacha, Frank na Francis (kulia). Kushoto kwao ni mdogo wao, Monica Ntevi.

WBTA

Ni harakati zilizoanzishwa na vijana watatu Frank & Francis Ntevi  na Eben Had, ambao wote ni wanafunzi wanaosoma chuo kikuu UDSM, kwa lengo la kuwanyanyua,  kusapoti wasomi wote wenye moyo na Sanaa.

Kwa sasa wameanzia ndani ya UDSM, ikiwemo wameanza kusaidia kutoa sapoti kwa  UDSM X BAND  kwa kuwatengenezea albamu art kwa kushirikiana na  mwanafunzi mwingine...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Africanjam.Com

KAA TAYARI KWA "FAST AND FURIOUS 8" HII NDIO TAREHE ITAKAYOZINDULIWA..

Hata hatujaisahau Fast and Furious 7, tumeletewa habari kwamba mwendelezo unaendelea wa mfululizo wa movie hizo kwenye sehemu ya 8 ambapo Fast 8 inatarajiwa kutoka April 14th. 2017.It has already been confirmed that Dwayne “The Rock” Johnson will reprise his role as Luke Hobbs in the ‘Furious 7’ sequel and James Wan is reportedly eyed to return as director for the eighth instalment of the movie franchise.

fast 8 2

 

10 years ago

Bongo Movies

Dhana: Kazi Mpya ya Riyama, Kaa Mkao wa Kula

Mwaka ndio huo tumeshauanza, na kazi ndio hizi zipo jikoni karibu kutoka, Hii ni ya mwigizaji anaesifiwa kwa kuvaa vizuri (kwa heshima) sio mwigine ni, Rihaya Ally, filamu inaitwa Dhana,kwamaneno mafupi  akizungumzia ujio wa filamu hii Riyama alisema;

“Dhana....... Mbayaaaaaaaaaa!! Kazini kazi ya mikono yangu wadau kaeni mkao wakula”

Tukae mkao wa kula,tuisubiri

 

9 years ago

MillardAyo

Kaa tayari kuipokea zawadi siku ya ‘boxing day’ kutoka kwa Alikiba December 26 Dar es Salaam..

Star wa muziki Bongo, Alikiba a.k.a ‘King Kiba‘ ambaye siku chache zilizopita ameachia ngoma yake na mkali wa masauti, Christian Bella amekuja na good news ambayo ni zawadi tutakayoipokea December 26 2015 siku ya boxing day !! Tumeona post nyingi za Alikiba akiwa kwenye show nje ya TZ, ikiwemo Ulaya na Marekani, Alikiba kaona zawadi […]

The post Kaa tayari kuipokea zawadi siku ya ‘boxing day’ kutoka kwa Alikiba December 26 Dar es Salaam.. appeared first on...

 

10 years ago

GPL

11 years ago

Tanzania Daima

Katiba mpya tayari tumeliwa

TUMELIWA! Katiba mpya tuliyodanganywa itatokana na wananchi, mchakato wake umehodhiwa na kuvurugwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM). Tangu awali CCM hawakuwa na wazo wala dhamira ya kuandika Katiba mpya isipokuwa...

 

10 years ago

Michuzi

JK mwapisha balozi mpya wa Tanzania nchini Rwanda, apokea hati za utambulisho kutoka kwa balozi mpya wa Rwanda nchini leo

  Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimwapisha balozi mpya wa Tanzania nchini Rwanda Mhe. Ali li Iddi Siwa katika hafla iliyofanyika ikulu jijini Dar es Salaam leo.Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipokea  hati za utambulisho kutoka kwa balozi mpya wa Rwanda nchini Tanzania Mhe. Eugene Segore Kayihura katika hafla iliyofanyika ikulu jijini Dar es Salaam leo.

 

10 years ago

Bongo5

Akon aachia nyimbo 5 mpya kwa mpigo kutoka kwenye album mpya ‘Stadium’

Baada ya ukimya wa muda mrefu Akon ameachia nyimbo tano mpya kutoka kwenye album yake mpya anayotarajia kuitoa iitwayo “Stadium” ambayo itakuwa na nyimbo za genre tano tofauti. Akon ameachia nyimbo hizo kupitia website yake Akon.com Album ya “Stadium” itakuwa na album tano ndani yake na kila moja itawakilisha genre moja ambazo ni Euro, Pop, […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani