Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kaa wavamia ufuo wa Carlifornia

Kaa wamevamia ufuo wa bahari wa California na kutengeza zulia la sentimita 40 kwa ukubwa.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

10 years ago

Uhuru Newspaper

Escrow kaa la moto



NA THEODOS MGOMBA, DODOMA KASHFA ya madai ya kuchotwa mabilioni ya shilingi kwenye akaunti ya ESCROW, imezidi kuwa moto kutokana na kuibua mjadala mkali bungeni kila kukicha. Tayari serikali iliagiza kufanyika kwa uchunguzi wa kina ili kubaini iwapo malipo hayo kwa Kampuni ya PAP, iliyonunua IPTL, yalifanyika kihalali, ambapo Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU), imepewa jukumu hilo. Hata hivyo, habari za kuaminika...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Posho kaa la moto bungeni

KINARA wa kudai nyongeza za posho kwa wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba, Richard Ndassa, jana aliwashambulia waandishi wa habari kwa kuandika habari zinazowagombanisha na wananchi.  Alisema vyombo hivyo vinalitumia...

 

9 years ago

Mwananchi

Kaa chonjo, saa mbaya

Ni kama alikuwa akisema “kaa chonjo, saa mbaya” wakati Rais Mteule Dk John Magufuli alipohutubia kwa mara ya kwanza tangu atangazwe kuwa mshindi wa mbio za urais.

 

9 years ago

Mtanzania

Unaibu Spika kaa la moto

tulia ackson>Jenister Mhagama ajitosa kumvaa Dk. Tulia Akson

>Wabunge washtukia figisufigisu ya mgombea kubebwa
>Ndugai apita bila kupingwa, Ukawa wamteua Medeye

NA WAANDISHI WETU, DODOMA

BAADA ya jana wabunge wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), kumpitisha aliyekuwa Naibu Spika wa Bunge la 10, Job Ndugai, kuwania kiti cha uspika, vita kubwa inaonekana kuanza katika nafasi ya Naibu Spika.

Taarifa zilizopatikana jana mjini hapa, zinasema kuwa katika nafasi hiyo, baadhi ya vigogo wa Serikali wanataka Dk. Tulia...

 

11 years ago

Mwananchi

Fedha za IPTL kaa la moto

>Tuhuma za ufisadi wa zaidi ya Sh200 bilioni katika akaunti ya Escrow ya Benki Kuu ya Tanzania (BoT) zinaonekana kuwa kaa la moto na jana zilitikisa Bunge na kuibua mvutano mkali.

 

11 years ago

Mwananchi

Katiba Simba kaa la moto

>Wakati mkutano wa mabadiliko ya Katiba ya Simba umepangwa kufanyika Machi 16 suala kubwa linalowapasua vichwa wanachama ni kipengele cha kutaka mtu aliyefungwa asiruhusiwe kugombea nyadhifa ndani ya klabu hiyo.

 

11 years ago

Habarileo

Bajeti kaa la moto bungeni

KAMATI ya Kudumu ya Bajeti imeonesha wasiwasi kuhusu ongezeko la haraka la deni la taifa na kusema hali hiyo inatishia ukuaji endelevu wa uchumi. Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Andrew Chenge aliliambia Bunge jana, ongezeko la ghafla la deni la taifa kutoka Sh trilioni 23.67 Machi mwaka jana, hadi Sh trilioni 30.56 Machi, mwaka huu, linadhihirisha wasiwasi wa matumizi mabaya ya fedha za umma.

 

11 years ago

Mwananchi

Warioba kaa pembeni -Tendwa

Aliyekuwa Msajili wa Vyama vya Siasa, John Tendwa amemtaka aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba kuacha kuitetea Rasimu ya Katiba kwa maelezo kuwa kazi yake ilikuwa ni kuiandaa na siyo kushawishi kila mtu akubaliane nayo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani