Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kaa chonjo, saa mbaya

Ni kama alikuwa akisema “kaa chonjo, saa mbaya” wakati Rais Mteule Dk John Magufuli alipohutubia kwa mara ya kwanza tangu atangazwe kuwa mshindi wa mbio za urais.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

Najua wajua ya Capt. Gardiner G. Habash kuanza hivi karibuni ndani ya Michuzi TV - kaa chonjo

Hiki ni kipindi kingine tena kitachokujia hivi punde kupitia MICHUZI TV, kama ulivyoambiwa hapo. Usikonde. Show hii na nyingine nyingi za kusisimua utazipata kirahisi sana kiasi utashangaa. Kaa chonjo, mboga ipo jikoni - karibu itaiva. We kaa mkao wa kula tu...

 

11 years ago

BBCSwahili

Ebola:Nigeria yakaa chonjo

Serikali ya Nigeria yaweka hali ya tahadhari katika maeneo yote ya kuingia nchini humo kufuatia kugunduliwa kwa Ebola.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Hongera ukawa, lakini kaeni chonjo

OKTOBA 26, mwaka huu, vyama vinne vya siasa vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) vimeweka historia kwa kusaini makubaliano yatakayotumiwa na vyama vyao kutimiza malengo yao kisiasa. Umoja huo...

 

10 years ago

Dewji Blog

Tishio la EBOLA, wananchi wakae chonjo

ebola_QT1_1433[1]

Pichani ni baadhi ya  Daktari wakiwa wamembeba mgonjwa wa EBOLA picha kwa hisani ya Mtandao.

Na Hannah Mayige,  wa Chuo Kikuu Huria, OUT

TISHIO la ugonjwa wa Ebola unaoendelea kuuwa mamia ya watu Afrika Magharibi, umezua wasiwasi  mkubwa   kwa nchi za Afrika  na  dunia nzima  kwa  ujumla na kutakiwa watanzania kuchukua tahadhari  kubwa kudhibiti ugonjwa huo usiingie nchini.

Lazima  Serikali na wananchi  wazingatie masharti na tahadhari inayotolewa kimataifa kuudhibiti ugonjwa na utayari...

 

5 years ago

Michuzi

DC CHONJO ATHIBITISHA KUINGIA KWA TANI 90 ZA SUKARI MOROGORO.


MKUU wa Wilaya ya Morogoro, Mhe. Regina Chonjo, amethibitisha kuingia kwa Sukari tani 90 kufuatia kupanda kwa bei ya sukari katika Wialaya ya Morogoro.

Hayo ameyazungumza Mei 11, 2020 Ofisini kwake katika kikao cha waandishi wa habari juu ya suala la kupanda kwa bei ya Sukari katika Wilaya ya Morogoro.

Akizungumza na Waandishi wa habari, DC Chonjo, amesema suala la Sukari limekuwa changamoto sana na sio Wilaya ya Morogoro hata Mkoa Mzima wa Morogoro sukari imekuwa tatizo.

Chonjo, amesema...

 

5 years ago

Michuzi

DC CHONJO AKABIDHI MIFUKO 50 YA SARUJI SHULE YA MSINGI MJI MKUU


Na Farida Saidy, Morogoro.

Mkuu wa wilaya ya Morogoro, Mhe. Regina Chonjo, amekabidhi mifuko 50 ya Saruji (Cement)  kwa Uongozi wa Shule ya Msingi Mji Mkuu  kwa ajili ya ujenzi na ukarabati  wa madarasa  katika  shule hiyo iliyopo Halmashauri ya Manispaa ya Morogoro.

Tukio hilo la kukabidhi  mifuko hiyo ya Saruji 50 kwa ajili ya Ujenzi wa Madarsa,  limefanyika leo Februari 25,2020  katika Viwanja vya Shule ya Msingi Mji Mkuu.

Dc Chonjo, amekabidhi mifuko hiyo kwa Uongozi wa Shule ya Msingi Mji...

 

10 years ago

GPL

KAENI CHONJO OFM YATEGA KAMERA KILA KONA YA JIJI!

Mwandishi Wetu
KITENGO maalum cha Oparesheni Fichua Maovu (OFM) cha Global Publishers ambacho kimeendelea kujiimarisha kiutendaji, katika kuhakikisha kinafanya kazi yake ipasavyo, sasa imetega kamera kupitia mapaparazi wake ambao watakuwa wakizunguka kila kona ya Jiji la Dar es Salaam na vitongoji vyake, Risasi Mchanganyiko linakubapa kinaga ubaga. Padri wa Moshi alipofumaniwa na kitengo maalum cha Oparesheni Fichua Maovu...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani