Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KABURI LA SHEHE YAHYA LAJENGWA KIKRISTO

MAKUBWA! Kaburi la aliyekuwa Mnajimu Mashuhuri Afrika Mashariki, marehemu Shehe Yahya Hussein limejengwa tena baada ya hivi karibuni kubomolewa na watu wasiojulikana, lakini sasa limedaiwa kujengwa Kikristo na chini ya kiwango! Kaburi la aliyekuwa Mnajimu Mashuhuri Afrika Mashariki, marehemu Shehe Yahya Hussein baada ya kujengwa tena.
Akizungumza na Risasi Jumamosi juzi jijini Dar, msemaji wa familia ya Shehe Yahya, Maalim...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Kaburi la Sheikh Yahya lavunjwa Dar

>Watu wasiojulikana wamevunja makaburi, likiwamo la marehemu Sheikh Yahya Hussein lililopo jirani na Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH).

 

11 years ago

GPL

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI KUHUSU KUVUNJWA KABURI LA SHEIKH YAHYA HUSSEIN NA SHEIKH KASIM

Alhajj Maalim Hassan Yahya Hussein. Ndugu Wanahabari, Assalam Aleykum Kama mnavyojua kwamba kumetokea tukio la kusikitisha  la kuvunjwa kwa Makaburi ya Masheikh Wetu, wapendwa wetu,  wazazi wetu na viongozi wetu wa Dini  ya Kiisalam, Marehemu Sheikh Yahya Hussein Na Marehemu Sheikh Kassim Bin Juma, Usiku wa kuamkia tarehe 10/4/2012 katika viwanja vya Makaburi ya Tambaza Jirani na Hospitali ya Taifa ya Muhimbili. Tukio...

 

10 years ago

BBCSwahili

Wafanyakazi wa kikristo waachiwa Libya

Wafanyakazi kumi na watatu Wakristo kutoka Misri wameachiliwa huru baada ya kukamatwa nchini Libya.

 

9 years ago

Mwananchi

Madhehebu zaidi ya Kikristo yarekebisha ibada Oktoba 25

Wakati siku ya kupiga kura ikikaribia, madhehebu zaidi yametangaza kubadili muda wa ibada ili kuruhusu waumini wao kushiriki kikamilifu kwenye Uchaguzi Mkuu Oktoba 25.

 

11 years ago

Michuzi

hoja ya haja: Tamko la Jumuiya ya Kikristo Tanzania Linaturudisha Nyuma

Barua ya Wazi kwa Uongozi wa CCT juu ya Tamko la Mapatano ya Mkutano wa Halmashauri Kuu ya 48 ya Jumuiya ya Kikristo Tanzania la tarehe 3 Julai, 2014.
•   Sio la Kiponyaji, linatonesha Madonda•   Watu wa Mungu hawategemewi Kupotosha, Labda Wamepotoshwa


Na John Nkhundi Si kawaida yangu kulumbana na viongozi wa dini kwa sababu ya heshima waliyonayo katika jamii na matumaini ya waumini wao kwao.  Hata hivyo, leo nimelazimika kuandika baada ya kusoma tamko la Jumuiya ya Kikristo Tanzania (CCT)...

 

10 years ago

Michuzi

WAZIRI BERNARD MEMBE AFUNGUA MKUTANO MKUU WA UMOJA WA AKINAMAMA WA KIKRISTO, ZANZIBAR

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe akizungumza wakati akifungua Mkutano Mkuu wa Nne wa Umoja wa Kinamama wa Kikristo (UMAKI) wa Kanisa Angikana Dayosisi ya Zanzibar mjini Unguja jana. Kulia kwake ni Askofu Mkuu mstaafu wa Kanisa Anglikana.
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe (wa pili kulia), akipata maelezo kuhusu bidhaa za ujasiriamali za kikundi cha Umoja wa Kinamama wa Kikristo (UMAKI) wa Kanisa Angikana Dayosisi ya Zanzibar,...

 

11 years ago

Michuzi

Wafanyakazi wa Tume ya Kikristo ya Huduma za (CSSC) wakaribisha rasimi mwaka mpya 2014

 Mkurugenzi Mtendaji wa CSSC Bw. Peter Maduki akichukua Keki maalumu iliyoandaliwa katika kuukaribisha mwaka mpya 2014  Wafanyakazi wakishiriki mchezo wa kuigiza katika sherehe hizo.Kutoka kushoto ni Bw. Renatus Sona, Bw. Prosper Mwendi na Bw. Liberatus Chonya mwenye kipasa sauti aliyekuwa MC katika shughuli hiyoa    Mwenyekiti wa sherehe hiyo Bw. Renatus Sona akikabidhi zawadi kwa mmoja wa washindi katika sherehe hiyo Bi. Yuster Ng’owo  Mwenyekiti wa Kamati ya maandalizi Bw. Renatus...

 

9 years ago

BBC

Yahya's luck

How a runaway from West Africa got lucky in Europe

 

10 years ago

BBC

VIDEO: Who is Gambia's Yahya Jammeh?

Gambian President Yayah Jammeh says his forces have thwarted a coup attempt in the capital of Banjul.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani