Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Madhehebu zaidi ya Kikristo yarekebisha ibada Oktoba 25

Wakati siku ya kupiga kura ikikaribia, madhehebu zaidi yametangaza kubadili muda wa ibada ili kuruhusu waumini wao kushiriki kikamilifu kwenye Uchaguzi Mkuu Oktoba 25.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

Mchungaji afuta Ibada Oktoba 25

Mchungaji wa Kanisa la Ufunuo maarufu Mungu wa Bendera wilayani Bukombe Mkoa wa Geita, Heriyabwana Majebele amesema Oktoba 25 hakutakuwa na ibada kanisani hapo, badala yake waumini waende wakapige kura.

 

9 years ago

Vijimambo

MAHUJAJI ZAIDI YA 700 WAFA KWA KUKANYAGANA WAKITEKELEZA IBADA YA HIJA

Profesa Ibrahim Lipumba, akisalimiana na Hujaji mwenzake kwenye msikiti mkuu wa Mecca, Saudi Arabia, wakati wa ibada ya Hija.KWA uchache Waislamu 717 wamefariki dunia kwa kukanyagana wakati wakitekeleza ibada ya Hija nje kidogo ya Maka (Mecca).Watislamu wengine 863 wamejeruhiwa kwenye kadhai hiyo iliyotokea wakati Waislamu wanaoshiriki ibada ya Hija, walipokuwa wakitekeleza tendo la kumrushia mawe shetani.Mkanyagano huo ambao umetokea kwenye daraja la bonde la Minna, kilomita chache kutoka...

 

11 years ago

Michuzi

Vodacom yarekebisha mfumo wa M-Pesa kwa soko la Afrika ya Kusini

Kampuni ya Vodacom imerekebisha mfumo wa M-Pesa kwa soko la Afrika Kusini ili kuleta mafanikio kama yaliyopatikana katika nchi za Kenya na Tanzania.
M-Pesa ilianzishwa Kenya mwaka 2007 na leo hii inatumiwa na watu zaidi ya  milioni 18 katika nchi zipatazo 13 kwa ajili ya kutuma pesa na za kibenki kwa kutumia simu ya mkononi.M-Pesa ilianzishwa Afrika ya Kusini mwaka 2011 ikiwa na wateja wa mwanzoni zaidi ya milioni moja lakini hadi leo haijaonyesha kukua kwa soko kama ilivyo kwa nchi za Kenya...

 

10 years ago

BBCSwahili

Wafanyakazi wa kikristo waachiwa Libya

Wafanyakazi kumi na watatu Wakristo kutoka Misri wameachiliwa huru baada ya kukamatwa nchini Libya.

 

11 years ago

GPL

KABURI LA SHEHE YAHYA LAJENGWA KIKRISTO

MAKUBWA! Kaburi la aliyekuwa Mnajimu Mashuhuri Afrika Mashariki, marehemu Shehe Yahya Hussein limejengwa tena baada ya hivi karibuni kubomolewa na watu wasiojulikana, lakini sasa limedaiwa kujengwa Kikristo na chini ya kiwango! Kaburi la aliyekuwa Mnajimu Mashuhuri Afrika Mashariki, marehemu Shehe Yahya Hussein baada ya kujengwa tena.
Akizungumza na Risasi Jumamosi juzi jijini Dar, msemaji wa familia ya Shehe Yahya, Maalim...

 

11 years ago

Michuzi

Ibada Maalum ya Miaka Mitano ya Ibada ya Kiswahili na Kusimikwa Mchungaji Ipyana Mwakabonga

NENO LA LEO: Luka 6: 27-28  Lakini nawaambia nyie mnaosikia, wapendeni adui zenu,watendeeni mema wale ambao wanaowachukia ninyi.  28 Wabarikieni wale ambao wanawalaani ninyi, Waombeeni wale ambao wanaowaonea ninyi.
TAFAKARI: Neno la leo ni mtihani mkubwa sana manake Bwana Yesu anatuamuru kuwa tuwapende maadui zetu na kuwaombea wale ambao wanatuonea. Kiubinadamu ni kawaida kutaka kulipiza mabaya kwa mabaya. Hiyo ndiyo asili yetu. Lakini sisi Wakristo tunatakiwa maisha yetu yawe ni...

 

9 years ago

MillardAyo

Kiongozi wa ibada alivyowashiwa moto baada ya kukatisha na hoverboard kwenye ibada.. (+Video)

Hoverboard ni jina la kiingereza lakini sina uhakika kama kuna jina rasmi la kiswahili limepatikana kuviita hivi vifaa… ni kama fashion sasahivi utaona mastaa kibao wanapost video wanatembea navyo !! Lakini kama haujaviweza tafadhali mtu wangu, hata usithubutu kuvijaribu.. Ripoti ya stori kwenye mtandao wa BBC inasema waumini kadhaa wamemshutumu Paroko mmoja wa Ufilipino ambae […]

The post Kiongozi wa ibada alivyowashiwa moto baada ya kukatisha na hoverboard kwenye ibada.. (+Video) appeared...

 

10 years ago

Vijimambo

Karibuni Ibada ya Kuabudu na Kusifu - Jumapili Januari 18, 2015 Ibada itaanza saa kumi kamili 4:00pm (EST)

Ibada ya Kiswahili inakukaribisha Rasmi katika Ibada ya Pili ya mwezi wa Januari 2015Kwa Baraka za Mungu tumebarikiwa kuanza mwaka 2015 kwa Ibada mbili kila mwezi,  Ibada ya pili itaongozwa na Kuabudu na Kusifu - Januari 18, 2015 Saa Kumi kamili 4:00pm*** www.iykcolumbus.org ***

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani