Mchungaji afuta Ibada Oktoba 25
Mchungaji wa Kanisa la Ufunuo maarufu Mungu wa Bendera wilayani Bukombe Mkoa wa Geita, Heriyabwana Majebele amesema Oktoba 25 hakutakuwa na ibada kanisani hapo, badala yake waumini waende wakapige kura.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-Y-YDPOkQFC4/U3owcuNYOJI/AAAAAAAFjs0/PfpuBbRPCaQ/s72-c/unnamed+(18).jpg)
Ibada Maalum ya Miaka Mitano ya Ibada ya Kiswahili na Kusimikwa Mchungaji Ipyana Mwakabonga
![](http://4.bp.blogspot.com/-Y-YDPOkQFC4/U3owcuNYOJI/AAAAAAAFjs0/PfpuBbRPCaQ/s1600/unnamed+(18).jpg)
TAFAKARI: Neno la leo ni mtihani mkubwa sana manake Bwana Yesu anatuamuru kuwa tuwapende maadui zetu na kuwaombea wale ambao wanatuonea. Kiubinadamu ni kawaida kutaka kulipiza mabaya kwa mabaya. Hiyo ndiyo asili yetu. Lakini sisi Wakristo tunatakiwa maisha yetu yawe ni...
11 years ago
Michuzi16 May
Ibada Maalum ya Miaka Mitano ya Ibada ya Kiswahili na Kusimikwa Mchungaji Ipyana Mwakabonga - Juni 1, 2014 Kuanzia 3:30pm
![](https://1.bp.blogspot.com/-mOass4AqaZU/U2d7Y1z3-_I/AAAAAAAAAW4/n6Llkx8IWnw/s1600/IYK_Swahili_Invitation_5yr.jpg)
9 years ago
Mwananchi15 Oct
Madhehebu zaidi ya Kikristo yarekebisha ibada Oktoba 25
9 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-_VRPZ16Qxow/VgoFr0uvMKI/AAAAAAAAAxY/1m2r3_ksmYU/s72-c/IYK-Flier-Oct-04.png)
9 years ago
MillardAyo30 Dec
Kiongozi wa ibada alivyowashiwa moto baada ya kukatisha na hoverboard kwenye ibada.. (+Video)
Hoverboard ni jina la kiingereza lakini sina uhakika kama kuna jina rasmi la kiswahili limepatikana kuviita hivi vifaa… ni kama fashion sasahivi utaona mastaa kibao wanapost video wanatembea navyo !! Lakini kama haujaviweza tafadhali mtu wangu, hata usithubutu kuvijaribu.. Ripoti ya stori kwenye mtandao wa BBC inasema waumini kadhaa wamemshutumu Paroko mmoja wa Ufilipino ambae […]
The post Kiongozi wa ibada alivyowashiwa moto baada ya kukatisha na hoverboard kwenye ibada.. (+Video) appeared...
10 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-pQH5_2Dlgdo/VLVI9ZjqtwI/AAAAAAAAAmU/9Uqc05JqlRA/s72-c/IYK_Kusifu_Kuabudu.jpg)
Karibuni Ibada ya Kuabudu na Kusifu - Jumapili Januari 18, 2015 Ibada itaanza saa kumi kamili 4:00pm (EST)
![](http://4.bp.blogspot.com/-pQH5_2Dlgdo/VLVI9ZjqtwI/AAAAAAAAAmU/9Uqc05JqlRA/s1600/IYK_Kusifu_Kuabudu.jpg)
9 years ago
Mtanzania24 Nov
Magufuli afuta sherehe za Uhuru
*Asema zitaadhimishwa kwa wananchi kufanya usafi
*Akerwa na kipindupindu, wasomi wazungumzia uamuzi huo.
NA VERONICA ROMWALD, DAR ES SALAAM
RAIS Dk. John Magufuli, amefuta sherehe za Uhuru mwaka huu, na kusema Watanzania watasherehekea kwa kufanya usafi wa mazingira nchi nzima ili kukabiliana na ugonjwa wa kipindupindu.
Agizo la Rais Magufuli, lilitangazwa Dar es Salaam jana na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue, alipofanya ziara Hospitali ya Taifa Muhimbili.
Ziara hiyo, ililenga...
10 years ago
Habarileo14 Feb
Kikwete afuta ada sekondari
HATIMAYE Rais Jakaya Kikwete ametimiza ahadi yake aliyoitoa Agosti mwaka jana katika Chuo Kikuu cha Mzumbe cha Morogoro, kwamba amekusudia kufuta ada ya shule za sekondari nchi nzima.
9 years ago
Mtanzania10 Oct
Lowassa afuta nyayo za Dk. Slaa
Na Fredy Azzah, Karatu
MGOMBEA urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Edward Lowassa, jana aliutikisa Mji wa Karatu wakati akifanya mikutano yake ya kampeni iliyohudhuriwa na maelfu ya wananchi.
Lowassa ambaye anaungwa mkono na vyama vinne vya upinzani ambavyo ni Chadema, NCCR- Mageuzi, Chama cha Wananchi (CUF) na Natonal League for Democracy (NLD) vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) akitumia kauli mbiu yake ya ‘Mabadiliko, Lowassa’ alionekana kuamsha hamasa kubwa...